Rev. Masanilo kukemea

Rev nakushauri uachanae na mipombe. Check ilivyokuharibu sura. Utadhani wale wazee wa somalia wanaoelekea kufa na njaa

I am Full Time Alcoholic, Drugs and Sexy Addicts

Ili kumuokoa anahitaji mwana saikolojia kwa sababu yeye mwenyewe kakiri.
 
Mchekeshaji aliyekuwa anakuja juu kwa kasi Mohammed Abdallah "KINYAMBE" amefariki dunia leo usiku huko nyumbani kwao Mbeya.
Mmoja wa wanandugu wa Kinyambe ameithibitisha kuwa, msanii huyo wa filamu ambaye pia alikuwa akijulikana kwa jina la James, amefariki baada ya kuugua kwa siku kadhaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom