Rev. Masanilo kukemea

NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,492
1,311
Namuomba rev masanilo aombee wana jf na akemee post za ajabu ajabu zisizokuwa na maadili zishindwe kabisa!
 
Namuomba rev masanilo aombee wana jf na akemee post za ajabu ajabu zisizokuwa na maadili zishindwe kabisa!

yeye mwenyewe sometimes ana post za ajabu hivyo hana ubavu wa kuwakemea wengine. Hata comment yake pale chini ya mabandiko yake inatia hasira kweli. Nadhani huyu ni Rev aliyetengwa na kanisa.
 
Zitashindwaje wakati ye ni kinara wa kuzituma hizo post na kuchangia kila post tata?
Sisi yatupasa kumuomba REV atujulishe, je ile safari yake alifika salama?
 
yeye mwenyewe sometimes ana post za ajabu hivyo hana ubavu wa kuwakemea wengine. Hata comment yake pale chini ya mabandiko yake inatia hasira kweli. Nadhani huyu ni Rev aliyetengwa na kanisa.

Ndugu mrudie muumba wako kabla adhabu na laana hajakuangukia! Kumbuka mapigo mapigo ya wanaisrael kule jangwani!
 
Namuomba rev masanilo aombee wana jf na akemee post za ajabu ajabu zisizokuwa na maadili zishindwe kabisa!

Ninafanya sala zikiambatana na mafungo! Asante sana button thanks sina hapa! Mod wamechakachua
 
Ndugu mrudie muumba wako kabla adhabu na laana hajakuangukia! Kumbuka mapigo mapigo ya wanaisrael kule jangwani!

Huyu ndiye Rev Masanilo (nadhani hii Rev haimaanishi Reverend). Hebu cheki bandiko lake chini lilivyo kinyume na maadili ya ki Reverend

I am Full Time Alcoholic, Drugs and Sexy Addicts - mwisho wa kunukuu

E-mail: masanilo@jamiiforums.com
 
huyu ndiye rev masanilo (nadhani hii rev haimaanishi reverend). Hebu cheki bandiko lake chini lilivyo kinyume na maadili ya ki reverend

i am full time alcoholic, drugs and sexy addicts - mwisho wa kunukuu​

e-mail: masanilo@jamiiforums.com

Bora yeye ni mkweli hao wengine mh!
 
Nemo judex causa sua...he cannt b a judge in his own cause....teh teh
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom