King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,380
- 99,177
Nchi tumewakabidhi washamba - Zitto
Hahaha, umezibuka.Tunashabihiana kwenye hii falsafa yako hapo juu mkuu ntafurahi kama utakuwa una binti nije nioe kwako aisee,itakuwa ni faraja sana kuwa na baba mkwe kama wewe,hata kama ndoa itakuwa ya bomani freshi tu.
Shida yetu watanzania tumeweka siasa mbele kuliko umoja wetu na manufaa ya nchi.unakuta mbunge anakubali au anakataa kwa msimamo wa chama bila kuangalia maslai ya nchi.Nchi tumewakabidhi washamba - Zitto
Ndio shida iliyopo ,ccm wanaua nchi......nchi za wenzetu walioendelea wanafanya kazi 24/7 hakuna kulala.Shida yetu watanzania tumeweka siasa mbele kuliko umoja wetu na manufaa ya nchi.unakuta mbunge anakubali au anakataa kwa msimamo wa chama bila kuangalia maslai ya nchi.
GUEST ZINAFWATAAAA KUANZIAA SATISA KAZIKAZIIIIIWakuu,
Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.
Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.
Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.
1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.
2) Vyuma kukaza
Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.
3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.
Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..🤣🤣🤣
MKUUUWakuu,

Ataje kiwango chake cha elimu asijekua ni mvuvi kama yule aliepewa ugavana wa bandari ya salaamMpaka upewe taarifa rasmi wewe ni waziri wa mipango, fedha, viwanda, waziri mkuu au makakamu wa rais? Jitaje ili tukujuwe.
Waungwana tumekuelewa Mkuu!!Kumradhi mkuu wangu.
Kumradhini watu wote mlionipa hadhi kubwa, nimewaangusha. Si kwamba siheshimu hadhi kubwa mnayonipa, la. Naiheshimu sana.
Ila, naheshimu zaidi ukweli wa nafsi yangu. Sitaki kuwa mnafiki. Sitaki kujisikia kumtukana mtu, halafu niogope kumtukana eti kwa sababu Kiranga nina hadhi kubwa nitaonekanaje na watu. Hayo si maisha yangu. Mimi napenda kuishi kwa uhuru wangu.
Naomba msinipe hadhi kubwa sana ili mtu akiniletea maneno ya kunya niweze kumharishia bomu la Hiroshima na kufuatiwa na la Nagasaki na kumaliza vita kabisa.
Huyu hayawani kiguluguja asiye ubongo wala uti wa mgongo nimemuweka kwenye ignore list nisione anachoandika, ili kusudi nisimtukane matusi makubwa zaidi nikawachafua watu wenye staha zenu.
Kuna watu wana matatizo yao ya kisaikolojia, wanataka umaarufu kwa kujibizana na Kiranga. Nikiwajua nawaweka ignore list tu, hata post zao sizioni tena.
Kwa muungwana mimi muungwana kupita kipimo.
Na kwa mwanaharamu mimi ni hayawani.
Hii ni kanuni kubwa sana, hata kwenye diplomasia za kimataifa ipo.
Inaitwa "reciprocity". Kwenye physics ni Newton's Third Law of Motion. Every action has an equal and opposite reaction.
Daima usitegemee kunivunjia heshima, halafu nikakuchekea.
Ukiendelea kuniheshimu Chief, nina heshima sana. Yani heshima itaweza hata kuvuka JF tupange mipango ya maana ya maisha nje ya JF, tupeane channel za kutoka, tuelimishane, tukae vikao vya kufurahi, tuuguzane, tuzikane.
Mtu anayeniletea maneno ya kunya sina haja ya kumuheshimu, hata kama mtaona matusi si hadhi yangu.
I am a licentious libertine, debauching debonair. With perfect pitch and what the French call "savoir faire".
Kutukana si tatizo kwangu.
Tatizo ni kutukana matusi yanayofaa, kwa mtu anayefaa, kwa muda unaofaa.
Ndiyo maana huwezi kuona nimetukana mtu anayejiheshimu, bila sababu.
Bia inasaidia nini Kunywewa mchana zaidi ya kupoteza nguvu kazi mchana?Wakuu,
Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.
Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.
Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.
1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.
2) Vyuma kukaza
Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.
3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.
Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Duh..! Ngoja nipite kimyaWacha kunifananisha na vitu vya kijinga.
Siku nitakayoacha mlango wazi makusudi ukute nimemuinamisha Mama yako namfirigua doggystyle ndiyo utakaponipa heshima yangu baba yako wa kufikia.
Wewe ni mwendawazimu kichaaWacha kunifananisha na vitu vya kijinga.
Siku nitakayoacha mlango wazi makusudi ukute nimemuinamisha Mama yako namfirigua doggystyle ndiyo utakaponipa heshima yangu baba yako wa kufikia.
He is speaking his mind mkuuWewe ni mwendawazimu kichaa