Retrenchment huko TBL pengine hiki ndio chanzo?

Retrenchment huko TBL pengine hiki ndio chanzo?

2) Vyuma kukaza

Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.

Inamaana wazee wa vyombo wote kwa wingi wao walikuwa wanatumia fedha chafu? na kwa sasa hazipo na wao hawakai bar au kutoa ofa? HAPANA MKUU TUSIWE NA MAJIBU YA REJAREJA KWA MASUALA MAZITO KAMA HAYA.

Utafiti usio wa kishabiki unatakiwa ufanyike kwa wafanyabiahara na sio wazee wa mwisho wa mwezi ili kujua uhalisia na ukweli wa hali ngumu, Ni ngumu kwa kipindi hiki mtu anayepokea mshahara kujua kama kuna hali ngumu ila ni rahisi kwa mfanya biashara kujua uhalisia na uelekeo.. Binafsi utafiti wangu mdogo nilioufanya kwenye sekta ya ujenzi nimeona kasi ya ujenzi imepungua tofauti na mwanzo na biashara ya vifaa vya ujenzi hasa wale wafanya biashara wenye maduka madogo ya vifaa vya ujenzi kuwa na hali ngumu.,, utafiti huu unatosha kabisa kuufanya maeneo ya mbezi juu, mbezi beach, segerea tabata, bunju, tegeta, goba, kigamboni, jaribu kuwahoji vijana wa maeneo hayo ambao ni mafundi au saidia fundi na wauza viwanja utapata majibu sahihi..

Wakati kukiwa na malalamiko hayo bado bei ya vifaa kama cement, nondo, mabati, aluminium na bidhaa nyingine bado bei zipo palepale au zinazidi kupaa..sijui hali hii inaashiria nini kama kuna hali ngumu lakini bei ya bidhaa zinakwenda juu au kubaki palepale kulipokuwa na afadhali, wataalamu wa uchumi watatuambia hapa..

Viongozi wetu waliowengi hawaishi uhalisia baadala yake wanaongozwa na siasa,hesabu za kwenye makaratasi na porojo za wanasiasa.Tukiishi kwa kufuata uhalisia basi viongozi wengi watajua mengi nawatatatua matatizo mengi ya wananchi.
 
Kiranga, una hadhi kubwa sana hapa kwenye jukwaa, hii sio njia ya wewe kuifuata.
Kumradhi mkuu wangu.

Kumradhini watu wote mlionipa hadhi kubwa, nimewaangusha. Si kwamba siheshimu hadhi kubwa mnayonipa, la. Naiheshimu sana.

Ila, naheshimu zaidi ukweli wa nafsi yangu. Sitaki kuwa mnafiki. Sitaki kujisikia kumtukana mtu, halafu niogope kumtukana eti kwa sababu Kiranga nina hadhi kubwa nitaonekanaje na watu. Hayo si maisha yangu. Mimi napenda kuishi kwa uhuru wangu.

Naomba msinipe hadhi kubwa sana ili mtu akiniletea maneno ya kunya niweze kumharishia bomu la Hiroshima na kufuatiwa na la Nagasaki na kumaliza vita kabisa.

Huyu hayawani kiguluguja asiye ubongo wala uti wa mgongo nimemuweka kwenye ignore list nisione anachoandika, ili kusudi nisimtukane matusi makubwa zaidi nikawachafua watu wenye staha zenu.

Kuna watu wana matatizo yao ya kisaikolojia, wanataka umaarufu kwa kujibizana na Kiranga. Nikiwajua nawaweka ignore list tu, hata post zao sizioni tena.

Kwa muungwana mimi muungwana kupita kipimo.

Na kwa mwanaharamu mimi ni hayawani.

Hii ni kanuni kubwa sana, hata kwenye diplomasia za kimataifa ipo.

Inaitwa "reciprocity". Kwenye physics ni Newton's Third Law of Motion. Every action has an equal and opposite reaction.

Daima usitegemee kunivunjia heshima, halafu nikakuchekea.

Ukiendelea kuniheshimu Chief, nina heshima sana. Yani heshima itaweza hata kuvuka JF tupange mipango ya maana ya maisha nje ya JF, tupeane channel za kutoka, tuelimishane, tukae vikao vya kufurahi, tuuguzane, tuzikane.

Mtu anayeniletea maneno ya kunya sina haja ya kumuheshimu, hata kama mtaona matusi si hadhi yangu.

I am a licentious libertine, debauching debonair. With perfect pitch and what the French call "savoir faire".

Kutukana si tatizo kwangu.

Tatizo ni kutukana matusi yanayofaa, kwa mtu anayefaa, kwa muda unaofaa.

Ndiyo maana huwezi kuona nimetukana mtu anayejiheshimu, bila sababu.
 
Aisee kama ni kweli retrenchment ya 85%, ni pigo kubwa sana kwenye sekta ya ajira na uwekezaji.

Hivi kweli inawezekana kiwanda kikaretrench 85% ya workforce yake na bado kikawa kinazalisha effectively?

Itapendeza kama Waziri wa viwanda na biashara na pia Waziri wa kazi wakatia neno kuhusu haya yanayojiri.
 
Hili katazo la watu kunywa asubuhi halitufai kanda ya ziwa. Sisi ni wavuvi wa Samaki, saa kumi ndio tunaingia kutupa kokoro zetu nyavu na wengine nyavu za dagaa. Tunazivua saa nne usiku adi saa sita. Tunalala saa saba, nane hadi saa mbili asubuhi. Ukiingia baa japo masaa mawili tu unakamatwa, eti unalewa muda wa kazi! Nani kakwambia nchi nzima wanafanya kazi mchana?. Ndio maana tunaitaji serekali ya majimbo ili tutunge sheria zinazoendana na mazingira yetu. Bia tulishasahau sasa ni komoni vichocholoni!. Viwanda visiyumbe kwa nini?.
Comment of the day.
Huu utaratibu wa sheria ndogo ndogo kama hizi inapaswa ziwe zinatungwa kutokana na sehemu husika.
Hata India na Marekani wana sheria tofauti za kuuza vileo kulingana na jimbo husika.
 
TBL walikua wanabebwa na konyagi, viroba vimefungiwa mapato yamepungua. Naamini vitarudi tu siku moja
Ila muda mfupi wa kuuza vinywaji umeongeza kushuka kwa mauzo. Pombe kuanza kuuzwa saa kumi alafu saa tano baa zifungwe ni hatari sana ..
 
Comment of the day.
Huu utaratibu wa sheria ndogo ndogo kama hizi inapaswa ziwe zinatungwa kutokana na sehemu husika.
Hata India na Marekani wana sheria tofauti za kuuza vileo kulingana na jimbo husika.
Ni ajabu kukataza watu wa majiji kunywa pombe kabla ya saa kumi!! Alafu kunywa kuanzia saa kumi mwisho saa tano! Hatari sana
 
Siku hizi Mabar meupe tu,kuna Bar kubwa tu zina wafanyakazi wengi tu katikati ya wiki mauzo ya vinywaji kuna nyingine hata 50k Huwa hazifikishi Kwa siku.Na Baadhi ya Pub nadhani hata elfu kumi huenda ni shida
 
Write your reply...kufungua bar saa kumi wanufaika wakubwa ni police, kichwa ni 50000, hakuna kesi ilio fika kwa pilato.
 
Write your reply...kufungua bar saa kumi wanufaika wakubwa ni police, kichwa ni 50000, hakuna kesi ilio fika kwa pilato.
Vivyo hivyo kuendelea kuuza pombe baada ya saa 5 usiku wanufaika ni polisi, hakuna kesi inayofika kwa Pilato.
Mwenye bar 50,000 -100,000/-,
kila mteja anaekamatwa 10,000 - 50,000/-.
 
Wakuu,

Kuna mbunge amesema TBL imepunguza 85% ya wafanyakazi na kitengo cha finance kuhamishiwa Mauritius.

Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko huu ambao kama kweli upo inabidi serikali ufanye review ili kuona namna ya kusaidia mlipa kodi huyu mkubwa kabisa.

Kwa haraka hizi zinaweza kuwa sababu kubwa kabisa kuyumba kwa biashara ya TBL.

1) Udhibiti wa muda wa kuuza vinywaji
- Baa zote zimepigwa marufuku kuuza pombe hadi ifike saa 10 jioni na mwisho ni saa tano usiku. Hili katazo kiukweli litakuwa limeua sana mauzo. Serikali iangalie upya namna ya kurekebisha hili ikiwezekana kila halmashauri ijiwekee utaratibu kufatana na changamoto za maeneo yao.

2) Vyuma kukaza

Hili pia limechangia kutokana na kubanwa kwa fedha chafu zilizokuwa kwenye mzunguko ingawa isingeleta athari kubwa sana kama serikali isingejiongezea kitanzi cha muda wa biashara.

3) ...tunaweza kuongeza sababu zingine lakini ni vyema serikali ikaangalia namna ya kuokoa ajira za vijana wetu kwa marekebisho ambayo ni madogo tu.

Wazee wa vyombo tunategemewa na taifa kata maji kama mamba ..🤣🤣🤣
pombe tunywe kistaraabu ila ikafikia kama ndugu zetu wa malawi na zambia
 
Eti kunywa bia mpaka saa kumi, huu ujinga hautatuacha salama
Na wale wanaofanya shift za usiku wanywe saa ngapi? Huu uongozi unatufanya guinea pig experiments na utakuta wengi tuu
 
Kumradhi mkuu wangu.

Kumradhini watu wote mlionipa hadhi kubwa, nimewaangusha. Si kwamba siheshimu hadhi kubwa mnayonipa, la. Naiheshimu sana.

Ila, naheshimu zaidi ukweli wa nafsi yangu. Sitaki kuwa mnafiki. Sitakikujisikia kumtukana mtu, halafu niogope kumtukana eti kwa sababu Kiranga nina hadhi kubwa nitaonekanaje na watu. Hayo simaisha yangu. Mimi napenda kuishi kwa uhuru wangu.

Naomba msinipe hadhi kubwa sana ili mtu akiniletea maneno ya kunya niweze kumharishia bomu la Hiroshima na kufuatiwa na la Nagasaki na kumaliza vita kabisa.

Huyu hayawani kiguluguja asiye ubongo walauti wa mgongo nimemuweka kwenye ignore list nisione anachoandika, ili kusudi nisimtukane matusi makubwa zaidi nikawachafua watu wenye staha zenu.
Anayetumia lugha hii ni muungwana na hakuna jinsi isipokuwa ku accept apology. Na umechukua hatua muafaka. Shukran.
 
Binafsi sina taarifa rasmi juu ya mtikisiko.....nami piaaaaa SiNAaaaa
 
Vivyo hivyo kuendelea kuuza pombe baada ya saa 5 usiku wanufaika ni polisi, hakuna kesi inayofika kwa Pilato.
Mwenye bar 50,000 -100,000/-,
kila mteja anaekamatwa 10,000 - 50,000/-.
kwa pilato kesi haziendi kwa sababu mahakama zinatumia vifungu vya sheria, tamko la MKUU muda wake kisheria miezi 3 imeisha na hajatamka lingine.
 
Kumradhi mkuu wangu.

Kumradhini watu wote mlionipa hadhi kubwa, nimewaangusha. Si kwamba siheshimu hadhi kubwa mnayonipa, la. Naiheshimu sana.

Ila, naheshimu zaidi ukweli wa nafsi yangu. Sitaki kuwa mnafiki. Sitaki kujisikia kumtukana mtu, halafu niogope kumtukana eti kwa sababu Kiranga nina hadhi kubwa nitaonekanaje na watu. Hayo si maisha yangu. Mimi napenda kuishi kwa uhuru wangu.

Naomba msinipe hadhi kubwa sana ili mtu akiniletea maneno ya kunya niweze kumharishia bomu la Hiroshima na kufuatiwa na la Nagasaki na kumaliza vita kabisa.

Huyu hayawani kiguluguja asiye ubongo wala uti wa mgongo nimemuweka kwenye ignore list nisione anachoandika, ili kusudi nisimtukane matusi makubwa zaidi nikawachafua watu wenye staha zenu.

Kuna watu wana matatizo yao ya kisaikolojia, wanataka umaarufu kwa kujibizana na Kiranga. Nikiwajua nawaweka ignore list tu, hata post zao sizioni tena.

Kwa muungwana mimi muungwana kupita kipimo.

Na kwa mwanaharamu mimi ni hayawani.

Hii ni kanuni kubwa sana, hata kwenye diplomasia za kimataifa ipo.

Inaitwa "reciprocity". Kwenye physics ni Newton's Third Law of Motion. Every action has an equal and opposite reaction.

Daima usitegemee kunivunjia heshima, halafu nikakuchekea.

Ukiendelea kuniheshimu Chief, nina heshima sana. Yani heshima itaweza hata kuvuka JF tupange mipango ya maana ya maisha nje ya JF, tupeane channel za kutoka, tuelimishane, tukae vikao vya kufurahi, tuuguzane, tuzikane.

Mtu anayeniletea maneno ya kunya sina haja ya kumuheshimu, hata kama mtaona matusi si hadhi yangu.

I am a licentious libertine, debauching debonair. With perfect pitch and what the French call "savoir faire".

Kutukana si tatizo kwangu.

Tatizo ni kutukana matusi yanayofaa, kwa mtu anayefaa, kwa muda unaofaa.

Ndiyo maana huwezi kuona nimetukana mtu anayejiheshimu, bila sababu.
Tunashabihiana kwenye hii falsafa yako hapo juu mkuu ntafurahi kama utakuwa una binti nije nioe kwako aisee,itakuwa ni faraja sana kuwa na baba mkwe kama wewe,hata kama ndoa itakuwa ya bomani freshi tu.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kweli ila waangalie vizuri haya makatazo
jamaa yangu malawi na zambia hali ni mbaya imagine kampuni iliyokuwa inajenga mwendokasi hapa dar imeenda kujenga kms 45 but wamepoteza gari 20 mostly trucks.muda wote jamaa wana alcohol kichwani,very dad
 
Back
Top Bottom