retired sister nipo hapa

Status
Not open for further replies.
He he he, siku zingine unamwamsha achangamke kidogo.

Unamnasa kibao cha kati ya sarawali hadharani.

chezeya watu na mahabat yao!
ahahahhahah
dadangu FP sijui yu wapi!
aje ajionee maloveee ya still in love huku!
sio kila siku teja nakupenda teja nakupenda!
 
Last edited by a moderator:
He he he, habari ya Mujini ni Pilot mwenye sura ngumu kaingizwa mjini na mtoto wa TMK pale steers

Basi ugomvi umeletwa hapa, mie na hao ulowataja ni washereheshaji tu.

 
Last edited by a moderator:
Kha!! We mtoto acha matusi
sasa haya ni matusi
yasubir maaaatyusi pilot akishamaliza duty roster yake!aftena kesho yake!
si unajua atakuwa off!
sasa ndo classmet atakuwa home kwake ulikokataa kwenda wewe!
sasa hapo ndo utayajua maaaatyusih!
 

hapa kuna harusi iko on the air!
aftena kun watu waliitana hukooo steers sasa sijui ni ipi ile ya mjini au mlimani city!manake ingekuwa ya mjini si kila mmoja angejificha mitaa ya blitish kansel af waviziane!
lakini sasa wakenda wazima wazima
mmoja akachelewa!kuchek hiv khaaa!natokea mtu Kaizer si Kaizer wala cacico si cacico
si ndo mtu akatoka mita!
basi aliyetangulia kwemye kidate si ndo akachek pembeni si ndo kamwona klassimeti!
uuuuuwih!si akafaulisha mawaiting charges!
ndoa njiani!
sasa yule mcheleweshwa na mchelewaji wanatupianaje vijembe!
yani ka muumini na ali choki vile!
 
Last edited by a moderator:
sasa haya ni matusi
yasubir maaaatyusi pilot akishamaliza duty roster yake!aftena kesho yake!
si unajua atakuwa off!
sasa ndo classmet atakuwa home kwake ulikokataa kwenda wewe!
sasa hapo ndo utayajua maaaatyusih!

Hahaa... Kha!!! Kiroho safi nimetoa ruhusa kutukanwa
 
He he he, habari ya Mujini ni Pilot mwenye sura ngumu kaingizwa mjini na mtoto wa TMK pale steers

Basi ugomvi umeletwa hapa, mie na hao ulowataja ni washereheshaji tu.

Teh teh..Umesahau they are still in love lkn Pilot tayari keshatolewa mahari na klassmet..
cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:

Aisee...yaani hivi hivi?

So hapa stori tu kula kwetu?
snowhite hebu nletee.my waiting charges bana...mimi penda wewe sana wallah

Cc Kongosho....hivi mewata ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Pilot gani .. Ndege si itadondokea mbele kwa kukosa balace... Halafubpale mbele pilot si atajaa .. Kwanza ma pilot hawatakiwi wawe hivi wanatakiwa wasiwe na miili ya presha na bp... Bora classmet abebe tu.

Sizitaki mbichi hizi sungura akagumia;
Naona nafanya kazi bila faida kujua;
Yakamtoka machozi sungura akalilia....
 
UÑadhani ni mahari tu?

Naskia ana mimba ya mapacha, na Black bat anamlililia aitoe ili achukue siti ya mbele kwenye eroplane.

Teh teh..Umesahau they are still in love lkn Pilot tayari keshatolewa mahari na klassmet..
cc Kaizer
 
Last edited by a moderator:
Ni mpango kama ilivyo mkukuta na mkurabita

Huu unahusu ukamuaji wa maziwa wa hiari kwa jinsia ya Ke.

Aisee...yaani hivi hivi?

So hapa stori tu kula kwetu?
snowhite hebu nletee.my waiting charges bana...mimi penda wewe sana wallah

Cc Kongosho....hivi mewata ni nini?
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio nakuona fool..
Kwa kushadadia mambo ya wenzako.. Hayakuhusu kwanza niache mimi na Retired Sister wangu. We still in love
Sent from i phone 4s
Duh, wewe si umesema ana umbo la ajabu; mwanaume si mwanaume .... dume si dume. Kiasi cha kwamba ulimkimbia ukidhani ni mwanaume mwenzako? Mbona sasa unasema you are in love? In love na huyo mwenye sura kama mwanaume?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…