Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
hiv unajua unatishia cheo changu cha umbea siku hizi!
na ukiaa vibaya naweka picha yako,ulivonikimbia siku ile marry brown mi nataka???
Sista nimekumisi ujue..Punguza umbeya utasutwa
hiv unajua unatishia cheo changu cha umbea siku hizi!
na ukiaa vibaya naweka picha yako,ulivonikimbia siku ile marry brown mi nataka???
Dada uyoooo anaolewaaa dada uyoooo anaolewaaa.....
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
jamani!
Sista nimekumisi ujue..Punguza umbeya utasutwa
mahari imetolewa terminal one ujue!
Umbea suna kusutwa majaaliwa
nimechoka .kama nimemuudhi mtu anisamehe. nitakuja kuwaalikeni kwa harusi yangu soon
Harusi tunasubiria terminal 3 ikamilike
niende kukodi matarumbeta??
sare za madera je??
aftena kutakuwa na hedikopta inarusha kadi pale buguruni kesho!
na hizi we na zombie mnavoniwekea usiku!
hii lazima niende!
hata mi nnekumiss sana dogo langu!
hebu nijibu swali nililokuuliza fasta niendelee na maswali mengine!
Siku hizi tunasuta kimasaki meen
Full black suti na sun gogoz
Naskia mchina kaleta bajaj na baskel za angani
af dogo eh!
hiv kwenye hedikopta kuna vitanda???
au hata makochi au viti vinafaaa!
hiv unajua unatishia cheo changu cha umbea siku hizi!
na ukiaa vibaya naweka picha yako,ulivonikimbia siku ile marry brown mi nataka???