TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

TANZIA Rest In Peace Frank Shega aka Jeda (academic conquer)

mkaamweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2013
Posts
618
Reaction score
828
Aliyewahi kuwa Tanzania One Form six 2009 PCM toka Tabora boys Frank Shega,amefariki Dunia,

kwa wale waliosoma Iyunga sec2003 Mpaka 2006 na Tabora boys 2007/2009 sio mgeni kwao,juhudi za kuchangisha kwa ajili ya Rambi Rambi zinaendelea katika group la WhatsApp 0713 268 218 wasiliana na admins wa group kupata taratibu zaidi za mazishi


IMG-20171022-WA0002.jpg
IMG-20171022-WA0001.jpg


=================

Habari zaidi kutoka kwa Mdau jmshemwa

Frank Shega A.k.a JEDA aliwahi kushika nafasi ya tatu (3) Taifa akitokea shule ya sekondari ya wavulana Tabora (Tabora Boys) katika mchepuo wa PCM, Wana CoET UDSM ni mashaidi hata AUDe Kileo ni shaidi wa hili maana ni maclass mate UDSM katika course ya BSc. in Telecommunication Engineering.
Mtoa mada kusema ni mmoja wa ma Tanzania One hajakosea kabisa.

Lengo la mtoa mada ni Rambi Rambi na kuwafahamisha Shega ni nani, pia alikuwa ni mfanyakazi wa Vodacom mpaka umauti unamfika usiku wa kuamkia jana jumapili.

tunaomba tushirikiane kwa pamoja kwa hili suala na mwili wa marehem utaagwa leo katika hospital ya Lugalo kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa sita na saa saba mwili wa marehemu unatarajia kusafirishwa kuelekea Mbalizi-Mbeya kwenye nyumba yake ya milele.
ukiwa na nafasi tafadhali fika, shughuli ni watu na watu wenyewe ndo nyinyi.

Rest in Peace Shega.
 
km sabab ya kifo inafahamika tuambien tuu mana Tuna Dua tuu Hatuna Rambi rambi so kweny group Hatutakuw na ulazma wa kuingia. #R.I.P mungu akakurudishie yale Uliyomtumia
 
Back
Top Bottom