Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,113
Kuwa na manjonjo ni sawa, je ni mamnjonjo ya asili au ni ya kujipaka?
Hivi, unaweza kukopa swagger kwa muda Karucee nisaidie hapa
Hivi mtu mwenye swagger zake, mie wa pembeni kuna ninachotakiwa kumsaidia ili ameintain hizo swagger?
Je swagger = personality?
Swali langu, je personal branding inasaidia kwenye mahusiano? Long term? Short term?
Ukikutana na mpenzi ambaye alijibrand na ikakudissapoint, what to do kama unataka kuendelea naye?
Msaada tafadhali
interesting topic 🙂 long term its better to 'be yourself' as unakuwa huru na mwenzio anajua 'what to expect' akiwa nawe. trying to fake it doesnt work well in mahusiano -.-....
Swali langu, je personal branding inasaidia kwenye mahusiano? Long term? Short term?
Ukikutana na mpenzi ambaye alijibrand na ikakudissapoint, what to do kama unataka kuendelea naye?
Msaada tafadhali
Kama mtu anajiona yeye tabia fulani na fulani ni bora ya wale "wenyeji" wake aliowaona pahala kuliko yake ya asili, sioni kwa nini iwe mbaya kwa huyo mtu kujaribu kuwa na tabia kama za hao aliowaona
Sio kila kinachoigwa ni kibaya, mengine yanasaidia kuboresha namna wewe ulivyo
Hii kitu hata mimi nimeiona sana Kongosho, ila kufupisha ngoja niende kwenye swali moja kwa moja. Personal branding inaweza kusaidia au kutokusaidia mtu kumpata mtu. Kwa wale wanaotafuta watu kwa kufuata personality au wanaotaka wapenzi wenye personality fulani, kama mtu amejibrand hivyo kuna uwezekano akafanikiwa.
Tatizo kubwa ni kwamba, hawezi kukaa na hali hiyo kwa muda mrefu. Iko siku atarudi na kwenye uhalisia wake na hapo ndipo atakapokuja kujikuta anaanza kuchukiwa ghafla. Sababu mojawapo ya watu kuchokana mapema kwenye mahusiano ni hii hali ya kujibrand then unaporudi kuwa kawaida, hapo ndipo mtu anapojiona alikosea kuoa au kuolewa na huyo aliyenaye.
Kwa kifupi personal branding inaweza kumsaidia mtu kuwa na mahusiano ila mahusiano hayo huwa hayadumu. Kiushauri ni bora mtu uwe kama ulivyo na kuingia kwenye mahusiano jinsi ulivyo badala ya kuwa na mwonekano wa bandia.
interesting topic 🙂 long term its better to 'be yourself' as unakuwa huru na mwenzio anajua 'what to expect' akiwa nawe. trying to fake it doesnt work well in mahusiano -.-
u cant keep up the charade forever na eventually ataona u're fake na uhusiano utaota nyasi
how big is the brand change? is it something u/re familiar with au unabadilika kabisa? 'brand mode' is difficult to maintain na wengine tunaonekana easily -_-Unanitisha, nataka kujibrand kwa muda
Ni ngumu kukaa kwenye 'brand mode' 24/7
Marginal personality tweaking is not forbidden during courtship or is it?
He hujaona?
Ndo maana nasema utu wa ndani unaubrand kwa muda, ila haiwezi kuwa 24/7
Hujawahi kakopa 'uelewa' kwa masaa?
Au huwahi kuta mtu kakopa reputation?
i have never tried it aisee.........
for sure, am mm aisee, pakucheka nacheka na pakukaripia nakaripia, pakubembeleza na bembeleza na pakuonya naonya. niko kama nilivyo na ulikutana na mm miaka 10 ukinikuta leo ni yule yule. uelewa wangu unakua kulingana na experience but also kutokana na kusoma. nasoma ujinga hadi na vya maana pia.
nikienda kwa wanubi nami nalala kama wanubi kwa uhalisia wangu ila si kwa uhalisia wao. am ready hata kuiprovise tu ili maazingira yani feve mimi bila kumboa mwingine. thats how i am.
1. Inasaidia sana kwenye kuanzisha mahusiano. Kuhusu suala la kudumu kwa muda mrefu au muda mfupi inategemea vitu vingi sana. Pia inategemea na kipaji cha pretender na timming na trick ambayo anaweza kuitumia kumfanya victim ashindwe kuchomoka baadae kama anamuhitaji kwa muda mrefu. Kumbuka sio wote wanaoishi pamoja wanaishi kwa furaha mara nyingine ni kwamba mmoja anakuwa ameingia kwenye mtego wa panya kwa hiyo hawezi kutoka.MMh, sijui kama nitaelezea kwa ufasaha.
Ila nalenga kwenye mahusiano ya kimapenzi zaidi.
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu 'kuji-brand' kama bidhaa ili kwendana na soko la eneo hilo hasa mnapokutana kwa mara za mwanzo, mnaanza kutongozana, nia ikiwa ni kuelekea kwenye mapenzi. Unakuta mtu kajipimp personality kuanzia jina, harufu, mwonekano(Brazillian inahusu kidogo ili kuwa uantingisha kichwa nywele zikija usoni), mtembeo(kuna ule mtembeo wa haraka haraka wa kizungu na high heels kama farasi vile), accent, na hata story anazoongelea ili kupata market penetration ya kutosha
Mfano, unaweza kuta binti ana-adopt tabia mpya kama mavazi, kuongea na interest ili kwendana na mabinti waliomzunguka ambao anadhani wana soko kwenye mahusiano. Simaanishi kwamba anajiuza,hapana. mtu anabadili tu tabia ili apate mtu wa aina fulani waweze kuendana. Wakati mwingine inapunguza ile 'being yourself'
Katika kuji-brand huku, ambako ni 'superficial', ukianza kumzoea unaanza kugundua kuwa zile si tabia zake halisi, unaanza muona kama alikuwa feki. Lakini ukimuuliza yeye anaweza kuwa hajui ama anajua kama kajibrand.
Kama ujuavyo, huwezi kuwa kwenye 'brand mode' 24/7, kuna saa 'wewe' wa ukweli atajitokeza tu.
Hii imepelekea baadhi ya watu kuwatungia jina la 'The Mhogo Mchungu's', hii inatokana na lile tangazo la wakala wa Mpesa kujiita Branch Manager wa NMB, ni kweli anafanya kazi za NMB lakini kiuhalisia yeye ni wakala tu.
Branding ipo sana online pia.
1.Swali langu, je personal branding inasaidia kwenye mahusiano? Long term? Short term?
2.Ukikutana na mpenzi ambaye alijibrand na ikakudissapoint, what to do kama unataka kuendelea naye?
Msaada tafadhali
Good for you aisee
Kuna mtu unakuta anahangaika kukopa uelewa
what happened to Esau? ndio yule wa bible 'aliyeiba' baraka za kaka yake?yaani ukimwona mtu anakopa hadi uyeye jua huyu hana muda lazima ataisha tu, ukitaka kuamini tizama jinsi ambavyo Esau alikopa uyeye kwaajili ya dengu tu, ilimgharimu maisha yake yote na mwisho wake ndo kama ulivyo.
Ha ha ha, haya bana
Lakini je, kwenye kumaintain mahusiano? Hasa kama unalenga ya muda mrefu?