Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 88,013
- 153,741
Hadi niliona tangazo moja la subway zimechorwa manga picha za mwanamke akijikwatua kwenye treni.
Walivyokuwa wahuni wameweka "before" na "after" kujipura.
Kapendeza kweli kweli kisha wakaandika kwa herufi kubwa "Do it at home"
:laugh:
Anadhani tu kuna masharti.
Akishakuambiwa kwa sauti iliyokatiwa bima
"Baba Masala si ukae hapo unihadithie habari za kazini leo, mie natia wanja?!"
Hapindui.
Mwenyewe lazima aseme "futa upande wa kulia kidogo, naona kama umeingia mwingi"
🙄
Umezibukaaa.
Kiumeni (kwa wagumu kama mimi) ukishaanza kumshauri bibie kupaka wanja kashfa, unaweza hata kugeuka na wewe kupaka.
Bibie mpaka awe bibie kashafukizwa michaichai yote, mkianza habari za kufundishana kupaka wanja ujue kungwi hajafaulu. Kwani Wamarikani sie?
Hilo tangazo nalitaka saana tu kama litapatikana.