'Reputation-Personal Branding' aka 'The Mhogo Mchungu's'

'Reputation-Personal Branding' aka 'The Mhogo Mchungu's'

Nadhani umenipata haswaa

Mtu ana-act hadi baadae unagundua alikuwa ana-act, nimependa hiyo blue, natural actors.

All the world's a stage, and the men and women merely players, so said Shakespeare in "As You Like It".

Life is an act.Just don't overact.

Acting like you don't act is the biggest form of overacting.

The best actors are called "natural" actors, they act so good it looks like they don't act, they are just being themselves.
 
Kumbe ndio enhanced attraction? Imeleta maana zaidi

In a not so good way (ile uliyoilezea); kuna ile ya natural way mf. kuongezea tabasamu, usafi, kunukia vizuri, kuvaa vizuri, kutengeza nywele vizuri etc nafikiri hiyo haina shida sana kama ya kujitia mapouzi ya kishamba/kilimbukeni.
 
Natamani nikuwekee tangazo la Mhogo Mchungu uone mtu anavyoji-pimp kuwa yeye ni Manager wa Tawi la NMB, simply sababu unaweza kufanya transaction za NMB thru wakala wa Mpesa.

Huo sasa ni utapeli. Utajidai vipi kuwa wewe ni meneja NMB ilhali siyo?
 
Ha ha ha, kuna ile kujitia mapozi, mazuri kabisa

Ila sasa baadae yakakushinda maana sio mapozi ya asili
Inakuwa kama una-fakisha hivi

In a not so good way (ile uliyoilezea); kuna ile ya natural way mf. kuongezea tabasamu, usafi, kunukia vizuri, kuvaa vizuri, kutengeza nywele vizuri etc nafikiri hiyo haina shida sana kama ya kujitia mapouzi ya kishamba/kilimbukeni.
 
Ninadhani ni ndani ya human nature kutafuta attributes zinazomsaidia kuibuka kidedea katika soko la ushindani
 
Bila kujali itakuwa kidedea kwa muda gani??

Ninadhani ni ndani ya human nature kutafuta attributes zinazomsaidia kuibuka kidedea katika soko la ushindani
 
Bila kujali itakuwa kidedea kwa muda gani??

Katika kujali ndio watu hubadili tactics zao kulingana na wanavyoyasoma mazingira

Wanawake wengi huchukua special attention ya kujipendezesha kila anapokutana na b/friend wake kwa mfano, lakini si kwamba atakuwa vile kila siku akishakuwa kwenye ndoa.

Badala yake atajaribu kumkeep labda kwa kumpikia vyakula anavyovipenda na mengineyo na sio kujipura 24/7
 
Hata kuvaa nguo ni ku act/ kujisitiri.

If one really wants to keep it real as they say, one ought to walk naked.

Then I am sold on that persons commitment to "keeping it real".

Else we are all actors. Just employ moderation.

Can you imagine umekutana na mtu first date ukamwambia kila kibaya ulichofanya maishani mwako? Hata Catholic confession si hivyo.

Utakosa mchuchu.
 
Unakuta mtu kajipimp personality kuanzia jina, harufu, mwonekano(Brazillian inahusu kidogo ili kuwa uantingisha kichwa nywele zikija usoni), mtembeo(kuna ule mtembeo wa haraka haraka wa kizungu na high heels kama farasi vile), accent, na hata story anazoongelea ili kupata market penetration ya kutosha

wafanyabiashara,yaani waliojiajiri ni tofauti na hawa waajiriwa wa mjini

all ladies at posta look alike
 
Branding Life ipo kwa wanawake na wanaume ambao hawajitambui au hutaka kuishi kama jamii fulani ya watu.
In anyow personal branding haisaidii zaidi ya kubomoa, maana utakuta mtu alikupenda ukiwa fake halafu sasa ukirudi na kuwa yule halisia ukawa ni mtu mwingine kabisa.
Hapo kifuatacho ITVVVV ni kutosana tu!
 
Can you imagine umekutana na mtu first date ukamwambia kila kibaya ulichofanya maishani mwako? Hata Catholic confession si hivyo.

Utakosa mchuchu.

Waswahili wanamsemo wao, "mapenzi kudanganyana"

Bila ya uongo wa hapa na pale hapatakuwa na affection.

Bibie kajikwatua unamsifu japo hujapenda, chakula kajaribu upishi mpya unamsifu japo hajakipatia

Besides, uongo wa kwenye mapenzi "sunnah" kwa hadithi ya Mtume sahihi ya Bukhari na Muslim

Hapo sasa mtu ajitie kujifanya real kwa asilimia zote

Atakosa mchuchu kweli :tape2:
 
Mie uongo wa hivyo naupenda mpaka sitaki kumuona mwanamke akiweka makeup.

Huwa nawaangalia wanawake wanao apply makeup kwenye subway, inanikera sana.

That is supposed to be a mysterious art to us men, mwanamke anatakiwa aonekane mzuri tu, uchawi unaoendelea kumfanya awe mzuri tusiuelewe vizuri.

Sasa mtu namuona ngozi mbayaa, mpaka anavyojibadilisha, hata nikiona nzuri nakumbuka tu kwamba hili ni fafa, yenyewe haikuwa hivi.

There is a degree of acting that is inescapable, lakini pia kuna overdoing it na mambo ya Karubandika

"umejitangazia mujini kwamba wewe ni mkurugenzi wa kampuni fulani, kumbee sivyo hivyoo" na

"kumbe bwana yule, hana kitanda wala chumba, pakulala hana analala kwenye stendi ya basi, pa kulala hana, analala kwenye kituo cha UDAAAAAA, Karubandika yoyo, wacha vituko we babaaa"

Eighties babies na wadogo zao watatoka kapa hapa
 
Ukiona hivyo jua hakuwekei wewe.

Anapambiwa mwenzio hukoo kwenye ki-date

Akimuona alivyomzuri na akikumbuka alivyomuona alipoamka asubuhi, anajua mpenzi wake ana karama

*Mukiwa mna mtoko wa kufatana shughulini na mwanamke, akijipura, usijedhani unapambiwa wewe, anawapambia wanawake wenziwe atakaowakuta huko awatoe "knock out"

Eighties babies hasara yao, hata Karubandika hawamjui, maskini
 
Regardless anapambiwa nani, it's tacky.

Ni kama kuvaa nguo in public.

Kasri la Papa Kiranga lina masharti hilooo!
 
Haya mambo si ndo yameimbwa kwenye wimbo wa mbulula ??
Yaani baadae kabisa unakuja kugundua kumbe ni mbulula tu !!
 
as for me i like someone who is smart, but sipendi kabisa mtu anayejibadilisha just for the sake ya kutaka attention za watu fulan ama mtu fulan.

i like being i hasa kimwonekano like hata ngozi, nywele, kucha, macho, meno, matiti, makalio etc viwe vile nilivyozaliwa navyo. kuvipamba kwa namna ya rangi like nail polishing, hair curling, kutream/shaping ya nnyusi to me ni urembo.

but ukijiweka kimuhogo mchungu's kwangu huna taste kabisaaaaaaaaaaaa manake nikikuona ni mdada halafu umeweka makucha ya bandia, nyusi za bandia, ukapigilia mawigi nitasema umependeza ila kukupa credit ya uzuri siwez hata kidogo.

kwangu mimi huwa nasemaga wanaume ni viumbe walioumbwa wazuri sana, sana, hawana brands za kujipigilia kuharibu walivyo and huwaga na assume wangekuwa na wao wanajipigilia mafake kama sisi wanawake sijui ingekuwaje. but real wanaume ni wazuri sana wa sura na mwonekano wao wa kiume na wanawake ni warembo tu.
Kule kwenye Pie si nikajua ni mwanaume mwenzangu dah!!! huku nako upo pia hakika wewe ni mwanamke wa shoka:high5:
 
Regardless anapambiwa nani, it's tacky.

Ni kama kuvaa nguo in public.

Hadi niliona tangazo moja la subway zimechorwa manga picha za mwanamke akijikwatua kwenye treni.

Walivyokuwa wahuni wameweka "before" na "after" kujipura.

Kapendeza kweli kweli kisha wakaandika kwa herufi kubwa "Do it at home"

:laugh:

Kasri la Papa Kiranga lina masharti hilooo!

Anadhani tu kuna masharti.

Akishakuambiwa kwa sauti iliyokatiwa bima

"Baba Masala si ukae hapo unihadithie habari za kazini leo, mie natia wanja?!"

Hapindui.

Mwenyewe lazima aseme "futa upande wa kulia kidogo, naona kama umeingia mwingi"

🙄
 
Hivi hii ni kwa wanawake tu au hata wanaume? Nadhani kuna wengine tupo tofauti, mara ya kwanza kukutana na mtu (awe wa jinsia yeyote) huwa najiweka wa kawaida sana, chini kidogo ya mimi halisi.
 
Back
Top Bottom