Report card ya Mizengo Pinda

Wewe unamtetea huyu mtu anataka Tanzania ifuate mob justice badala ya rule of law?

By the way anavaa suti bado?

Pale alihamanika tuu. Suti zake zile bado anavaa mara moja moja, I like the guy, jamaa ni down to earth.
 
GT,

..mambo ya Pinda ni Kilimo Kwanza.

..halafu mbona mimi naona kama afadhali ya Pinda kuliko JK?

Kilimo kwanza suo yeye, ni JK ndiye ameingixwa kingi, yeye ni utekelezaji tuu.

Pinda ni kichwa, you can tell na ile live ya Alhamisi Bungeni.
 
Huko nyuma nilisema kuwa huyu jamaa kapitwa na wakati...to me ni wazi kuwa bado yuko stuck kwenye enzi za politics of envy. Maana tangu ameingia hivi keshafanya lipi kubwa la kusema kuwa ahh hayo mambo ya Pinda hayo! and please dont get me started na hiyo kilimo kwanza

Huyu bwana hafany press conference, website ya ofisi yake HOVYO HOVYO tuu haina anything kuhusu policy za serikali anayoiendesha, if anything watendaji wengine serikalini wanamdharau tuu na last but not least naona atakumbukwa kama Waziri mkuu ambaye alitaka kupiga marufuku mawaziri kuvaa suti NA alitaka watembelee BAJAJI!

Narudia tena this is the most useless Prime Minister ever to breath in Tanzania if anything kwa kutaka kuleta politics of envy ni Stalinist in outlook, totalitarian by instinct, reactionary by nature, arrogant in character na mbaya zaidi naona kapewa cheo kikubwa kuliko uwezo wake

Hivi kila kitu mpaka akiingilie JK ndio kinafanyika?

Kutuambia eti hajui kwa nini Malaysia wameendelea wakati tulikuwa sawa nao kimaendeleo inabidi huyu Pinda arudi darasani asome au nashauri wapambe wake wamnunulie hivi vitabu

Ggas_human_soc.jpg



13193349.JPG


27313894.jpg


34630645.jpg



halafu aachane na kusoma udaku

si vibaya akawa anasoma gazeti la ECONOMIST kila wiki

"weuwe chile chituo cha ubungo kama asingekuwa yeye kingetoka mikononi mwa chingunge?"
 
"weuwe chile chituo cha ubungo kama asingekuwa yeye kingetoka mikononi mwa chingunge?"
Haswa! na it takes guts to take on Kingunge.
Waziri Keenja aliyehusika na Tawala za Mikoa alijaribu kumzuia Kingunge kuchota toka Dsm City Commission wakati ule , na uwaziri wake ukatokea dirishani! Naye Kingunge akajipa miradi ya Parking na baadaye hiyo ya Ubungo.
MKPP is a slow but sure player, plays by the book
 
Nakubaliana nawe Pasco juu ya Pinda,
It is only those weak in forecasting wasioona potential ya Pinda.
Jamaa anacheza karata zake barabara.Background yake inampa uelewa huo.
Mpaka sasa hajaingizwa kwenye kundi lolote ndani ya CCM, hiyo ni karata dume.
Naweza kuwaita wale walio na udhaifu wa kuchambua mambo, waki zero -in katika hoja dhaifu kabisa kama za GT.
Tatizo lao wanataka kucheza mpira wasioufahamu hapa bongo.Habari wanazopata ni za humu JF na magazetini.
Nampa credit KMPP(Kayanza Mizengo Peter Pinda) kwa kutread carefully kati ya makundi hasimu ndani ya CCM.
Vile vile he rightly blasted wale wa anti-muungano katika SMZ. Na hii ni baada ya kuusoma vyema upepo wa kisiasa na kuwa furahisha waBara.
Yuko busy kujiandaa kuwa Rais ...lol mimi nilifikiri anatakiwa kutekeleza shughuli za serikali kwa sasa kuliko kuogopa kufanay chochote ili usiwe na upande ..aibu kubwa..what a shame?
 
Back
Top Bottom