mlekulechoma JF-Expert Member Joined Nov 2, 2014 Posts 1,366 Reaction score 1,059 Jul 15, 2017 #1 Hamjambo waungwana?Leo nimeliona gari RENAULT KWID!roho yangu imesuuzika!hivi bongo yanapatikana wapi?price yake?mwenye kujua tafadhali!
Hamjambo waungwana?Leo nimeliona gari RENAULT KWID!roho yangu imesuuzika!hivi bongo yanapatikana wapi?price yake?mwenye kujua tafadhali!
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,730 Jul 15, 2017 #2 Gari nzuri lakini mimi nasubiria Noah zetu tulizoahidiwa na serikali... Just joking... 😀 😀 😀 😀 😀