Renatus Mkinga alazwa Muhimbili

Renatus Mkinga alazwa Muhimbili

Get well very soon brother, nakuombea sana. Tunakupenda mkuu
 
Sumu kwenye uboho sasa sumu kwenye kidole gumba!! Duh basi hii sumu kali. Ukipanua tu kinywa chako na kutamka neno Dowans ama Richmond basi sumu inaingia automatically! Tutaisha wengi sasa.

Mkuu Mkinga iwe ni kisukari kweli na upate nafuu ya haraka.


Anything can be possible
 
Pole sana Mzee Mkinga.Mungu akuponye na kukupatia nguvu ili uendelee na vita dhidi ya ufisadi.
 
Speaker, natumaini Mkinga alikuruhusu umusemee ugonjwa unaomsumbua mbele ya umma.
Vinginevyo sio utaratibu mzuri kutoka siri au mambo ya mgonjwa.

Ugua pole mpiganaji.
 
Mkinga pole sana tunasali na kuomba Mungu akubaliki afya njema urudi kwenye uwanja wa mapambano tuendelee na juhudi za kulikomboa taifa hili tajiri la mali asili nyingi alizotujalia Mungu zinanufaisha wezi wavhache na mafisadi
 
Get Well Soon Comred Mkinga!.

Note: Mkinga Mkinga is someone else ni mwandishi wa habari wa magazeti ya The Citizen/Mwananchi!.
 
Kisukari ni noma! Kilinichukulia mazaangu! Pole kamanda mkinga! Ila fuata masharti na mungu atakuponya!
 
Namkubali sana huyu jamaa,Mungu mpatie unafuu na akapone kabisa.
 
pole sana mzee Mkinga, Mwenyezi Mungu akujalie upone haraka.
 
Jamani hii No ya Mkinga mbona haipatikani? ama imekosewa!!
 
Ooh so sorry for him.May God heal him,I am praying for his quick recovery.
 
Back
Top Bottom