Renatus Mkinga alazwa Muhimbili

Mhhhh, sijui kama kelele za Richmond na Dowans hazihusiki hapo, maana hawa jamaa sumu zao zinasomeka kama magonjwa ya kawaida yenye maelezo ya kidaktari ili kuficha uharamia wao.

Akitoka huko atakuja na mtazamo mpya wa namna hosptal yetu ya mhimbili ilivyo na kwa vyovyote vile atalaani treatment za hapo kama wale wabunge waliotiwa ndani na badala yake kulalama wakidai gerezani walivuliwa nguo nk. avumilie hiyo ndiyo Africa na ndiyo Tanzania yetu.
 
mkinga uko juu.huogopi ki2 get well soon mpiganaji.cc tuko arumeru 2napigana
 
pole sana comrade.hili jina la mkinga mkinga limenichanganya sana,na swahiba wangu mmoja anaiandikia the citizen na mwananchi nae anaitwa mkinga mkinga.duuuh......ok pole sana mkuu,mungu akuaafu urejee kwenye mapambano
 
Nayeye anaufisadi wake ameshindwa kutoka ndo maana anastress za kusema hovyo. Pole yake yakuumwa lakini jamaa hafai hata kidogo bora nikae kimya maana mimi mwanamke mtaanza alikukopa mara hili lakini ndo ukweli wenyewe jamaa kimeo
 
Sumu kwenye uboho sasa sumu kwenye kidole gumba!! Duh basi hii sumu kali. Ukipanua tu kinywa chako na kutamka neno Dowans ama Richmond basi sumu inaingia automatically! Tutaisha wengi sasa.

Mkuu Mkinga iwe ni kisukari kweli na upate nafuu ya haraka.

Mkuu, sio tu kutamka,hta ukithubutu kuandika tu hilo jina........ Umekwishney.
 
Nayeye anaufisadi wake ameshindwa kutoka ndo maana anastress za kusema hovyo. Pole yake yakuumwa lakini jamaa hafai hata kidogo bora nikae kimya maana mimi mwanamke mtaanza alikukopa mara hili lakini ndo ukweli wenyewe jamaa kimeo

alishindwa kukupandisha mlima hadi kileleni? hii mada ungeiweka mmu tuidadavue.
 
Nayeye anaufisadi wake ameshindwa kutoka ndo maana anastress za kusema hovyo. Pole yake yakuumwa lakini jamaa hafai hata kidogo bora nikae kimya maana mimi mwanamke mtaanza alikukopa mara hili lakini ndo ukweli wenyewe jamaa kimeo
Huo ni unafiki dada yangu,kama mtu unamfahamu kuwa ni fisadi na watu wengi tunaonekana wazi kumuamini;kwanini usieleze huo ufisadi wake ili tuupime na kujua ukweli.Acha kusingizia jinsia yako,jiamini.
 
Back
Top Bottom