Renatus Mkinga alazwa Muhimbili

Nimepokea taarifa kuwa Comrade Renatus Mkingah, a.k.a Mkinga Mkinga
Mwanaharakati machachari na hodari, msemaji asiyeogopa, mtunza ushahidi asiyebabaika,

Amelazwa Hosipitalini Muhimbili - kibasila 1st Floor Wodi namba 11 kitanda namba 25.
Kidole gumba kimeoza kwa sababu ya diabetes [kisukari] kwa hiyo kinatakiwa kuwa amputated[kukatwa]
Anahitaji msaada wa hali, mali na sala.

Tafaadhalini wana JF tumsaidie. tunaoweza tumtembelee.
namba yake ni 0642644946 - waweza kumpigia ukimfariji au ukatumbukiza kitu kwenye hiyo tigo Pesa.

gET WELL SOON RENATUS. Naomba nikurekebishe kidogo mtoa mada.

1. Kuna mwandishi wa habari wa Mwananchi na The Citizen anaitwa Mkinga Mkinga. Sasa kumuita Renatus Mkinga kuwa ni A.K.A Mkinga Mkinga inaweza kuleta mkanganyiko kwa watu wanaomfahamu huyo mwandishi wa mwananchi.

2. Huyu renatus alipata zawadi ya bahati nasibu ya Vodacom sh milioni 100 majuzi kati hivi. Unapomuombea mchango wa matibabu kwa togopesa unaonekana kumdhalilisha kuwa huyu bwana ni mfujaji ambaye katumia ovyo milioni 100 yake ya bahati nasibu na sasa hana hata chembe ya kulipia matibabu tena Muhimbili.

Otherwise tunamtakia heri apoe haraka
 
Back
Top Bottom