Define hizo unnecessary noisses mkuu, iwapo nchi itafanya maamuzi kwa kufuata hisia za mtu mmoja mmoja tunaweza kuta tuna shut down almost every thing na bado inaweza isiwe suluhu, ndio maana kuna viwango vilivyotengwa ambavyo vinakubalika katika jamii. Kwa mfano sheria mpya ya afya ya jamii itaweka kiwango kinachokubalika na hakuta kuwa na exceptions za makanisa wala misikiti. Kwa kuwa umezaliwa Tanzania nchi inayoheshimu misingi ya kuabudu jua wazi utaendelea kusikia adhana, kengele, na fataki za wahindi bila kujali zinakukera wewe au la ila zitajali kiwango kinachoruhusiwa cha hizo kelele. Kuna watu wanataka kiwanda cha bia TBL kifungwe kinapiga kelele na kutoa harufu, wengine air port iondolewe inawasumbua wakazi wa kitunda, na mimi ningependa soko la feli lifungwe linaharibu mandhari ya Ikulu ila haiwekani wote tulidhishwe kutokana na hisia zetu bali lazima kuwe na sababu za msingi zenye kuimarishwa na ushahidi.