- Thread starter
- #41
Itabidi tu nawe usali nao ili usiwe bored
Haya bwana. Imekuwa ni kulazimishana?
Itabidi tu nawe usali nao ili usiwe bored
Haya bwana. Imekuwa ni kulazimishana?
"Ni kwamba makanisa na misikiti wafunge sound proof, wanatukela mno tena mno,serikali inaweza kuwambia bwana fungeni sound proof sio wanfungua makanisa alafu makelele mtindo mmoja, by the way lile kanisa la tabata kisiwani mchungaji amesalimu hamri na kulivunja na kufunga vilago baada ya kushindana na msikiti jirani, matokeo yake maumini wakaanza kuondoka mmoja moja.
Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
Yaonyesha ni mvivu wa kufanyakazi,adhana ni saa kumi na moja au kumi na moja na nusu,ni mda mzuri wa kujiandaa kwa kwenda kazini.Na ikiwa si siku ya kazi,ni mda mzuri kujiandaa kwa kufanya mazoezi ya viungo.Acha kulala sana,ndio inapelekea kupata maradhi kama ya sukari,moyo,mafuta kwenye mishipa,nyama zembe,kitambi zembe,uchovu,nk.Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
Ni watu wavivu wa kufikiri,ndio wanawaza ya wenzao.Umetoa hoja nzuri sana.Umrpatia mia kwa mia.Umejibu vizuri.Define hizo unnecessary noisses mkuu, iwapo nchi itafanya maamuzi kwa kufuata hisia za mtu mmoja mmoja tunaweza kuta tuna shut down almost every thing na bado inaweza isiwe suluhu, ndio maana kuna viwango vilivyotengwa ambavyo vinakubalika katika jamii. Kwa mfano sheria mpya ya afya ya jamii itaweka kiwango kinachokubalika na hakuta kuwa na exceptions za makanisa wala misikiti. Kwa kuwa umezaliwa Tanzania nchi inayoheshimu misingi ya kuabudu jua wazi utaendelea kusikia adhana, kengele, na fataki za wahindi bila kujali zinakukera wewe au la ila zitajali kiwango kinachoruhusiwa cha hizo kelele. Kuna watu wanataka kiwanda cha bia TBL kifungwe kinapiga kelele na kutoa harufu, wengine air port iondolewe inawasumbua wakazi wa kitunda, na mimi ningependa soko la feli lifungwe linaharibu mandhari ya Ikulu ila haiwekani wote tulidhishwe kutokana na hisia zetu bali lazima kuwe na sababu za msingi zenye kuimarishwa na ushahidi.
Rwanda nimesikia wameweka sheria kali kudhibiti 'makelele' kwa kila mwenye nia ya kuwasumbua wengine kwa kisingizio cha dini. Sijui nchi yetu kama itafikia hatua hiyo maana wanafiki au 'viongozi' wa dini na viongozi wa kisiasa wana maingiliano ya chanda na pete.
Inachotakiwa ni wewe unayekereka na sauti hiyo,uweke sound proof nyumbani kwako,au ulikopanga chumba."Ni kwamba makanisa na misikiti wafunge sound proof, wanatukela mno tena mno,serikali inaweza kuwambia bwana fungeni sound proof sio wanfungua makanisa alafu makelele mtindo mmoja, by the way lile kanisa la tabata kisiwani mchungaji amesalimu hamri na kulivunja na kufunga vilago baada ya kushindana na msikiti jirani, matokeo yake maumini wakaanza kuondoka mmoja moja.
Adhana haichukui hata dakika tank,itakuwaje ikukere,lazima itakuwa ni mvivu wa kazi au una maovu fulani unayafanya au si mtu mzuri kwa jamii.Ndio mana hupendi kitu kinachohusiana na ibada.Unawezaje ku-justify kelele eti kwa sababu zinakuamsha asubuhi?! Kama unataka kuamshwa asubuhi nunua saa au simu yenye alarm.lolz
Too much of mosques in every angle, all making unnecessary noisses. Makanisa kwenye makazi ya watu yanayopiga kengele ni almost nothing. It was not an attack that needed a counter attack. Think again
Vivi ,hivi unaweza enda mahali gani usikutane na misikiti au kanisa? labda Obay.wanganpi wanaweza afford kuishi huko Obay? wachache sana wenye class kama yako.hivo haiepukiki.
Ukishauri hawakawii kukuambia Takbir
Adhana haichukui hata dakika tank,itakuwaje ikukere,lazima itakuwa ni mvivu wa kazi au una maovu fulani unayafanya au si mtu mzuri kwa jamii.Ndio mana hupendi kitu kinachohusiana na ibada.
Mwenyezi mungu alikuwa na uwezo wa kuwaumba watu wooote ,watu wote duniani wakawa dini moja tu,
Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.
Na milio ya kengele za makasa? Mihadhara na mikutano ya injili?Ninakerwa sana na kelele za azana(adhana) alfajiri. Ndugu zetu hawawezi kubadili namna ya kutohusisha wasiohusika? Mbaya zaidi ni mashindano ya loud speakers kati ya misikiti jirani! I was once in Dabai, there are no such unnessesary noises. Sorry for any incovinience caused.