Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

Reli ya SGR inaanza kuwa uhalisia

PIX2-8.jpg

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika Hodhi la Reli (RAHCO) Bw. Masanja Kadogosa akielezea jambo mbele ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto) wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa (Standard Gauge) ambapo awamu ya yenye urefu wa Km 205 inajengwa kutoka Dar – Moro.

PIX3-7.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua ujenzi wa tuta kwa ajili ya njia ya reli alipotembelea eneo la Soga (Kibaha) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya kiwango cha kimataifa (Standard Gauge) yenye urefu wa kilomita 205 kutoka Dar – Morogoro leo. Kutoka kulia ni Meneja Mradi wa SGR Mhandisi Maizo Mgedzi, Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Yapi Merkezi Bw. Abdullah Kilic na Mhandisi Felix Nnalio.

PIX4-3.jpg

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Yapi Merkezi Bw. Abdullah Kilic akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu ujenzi wa tuta la reli ya kisasa ya SGR alipotembele eneo la Soga (kibaha) leo.

PIX1-7.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo mbele ya Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Yapi Merkezi Bw. Abdullah Kilic (katikati) alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya kiwango cha kimataifa (Standard Gauge) ambapo awamu ya kwanza inajengwa kutoka Dar – Moro yenye urefu wa 205km.

PIX5-3.jpg

Muuonekano wa awali wa tuta la reli linaloendelea kujengwa kwa kuondolewa tabaka la udongo wa kilimo na kuwekewa udongo wa ujenzi katika eneo la Soga (Kibaha) ambapo mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa unaendeleo.

PIX6-1.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitazama kifaa cha kupima mgandamizo wa ardhi mara baada ya ardhi kushindiliwa alipokagua ujenzi wa tuta la reli katika eneo la Soga (Kibaha).

PIX7-1.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiendelea na shughuli ya ujenzi wa karakana ya kutengeneza mataluma ya reli alipokagua ujenzi alipofanya ziara katika eneo la Soga (Kibaha).
Lakini hongera majirani. Naona mnafanya kazi nzuri. Kama mapadlock alivyosema "Hapa kazi tu"
 
yes you are financing it...which means it will take 50 years b4 u complete it...since when has a poor country with a GDP of 47B financed a 12B dollar project? hehe...you might get the money but it will take ages...as a result, it makes more sense to take a loan, finish the railway quickly then the project will pay back the creditors....win win situation...but i congratulate u for going electric...hiyo ni poa sana...hata wa Nigeria wameanza kutetemeka jinsi EA inavokimbia...walisikia trains za Addis, wakaskia tena BRT ya Dar, na wataskia tena electric SGR ya TZ...wakati wao hawana chochote cha maana...yaani nigeria is very corrupt...i heard their SGR took almost 20B but if u see the stations? lol!
AfDB have committed to finance the rail. Unlike Kenya we need only half of the total cost n the rest we will pay ourselves.

AfDB to finance Tanzania’s standard gauge railway

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ujenzi ndio huo ushaanza ama unataka waanze kutandika reli bila kufanya maandalizi? Muda si mrefu reli zitaanza kutandikwa.
Sina hofu kwamba reli yenyewe itajengwa..lakini kulinhana na yale tulioyaona Kenya wale ma engineer walichukua ka mda kabla kutandika reli yenyewe, walichukua kama miezi mitatu hivi wakifanya maandalizi tu..... Kumbuka chuma cha reli chenyewe bado hakijaingia bandarini. Alafu reli yenu ni continuously wielded kwahivyo lazma mitambo ya kulaza hio reli iingie kutoka huko Turkey, alafu lazma mtambo wa kutengeneza simiti ya sleepers uwe unafanya kazi tayari ili mtenheneze sleepers nyingi za kutosheleza kama kilomita 20 za kwanza .... Ukiona km ya kwanza ya reli imewekwa ardhini hapo ndo ujue ujenzi umeanza, kwa sasa hii tunaita site preparations
 
India Watu asilimia arubaini (40%) hawana choo. Wanamwaga kinyesi peupe. Wanakunya pahali popote wajipatapo. Lakini India ina uchumi (GDP) kubwa kushinda Afrika. Uchafu na kinyesi haijazuia India kuipiku Afrika kiuchumi. Uchafu na maendeleo wapi na wapi? Mambo haya hayaendani? hata Shangai Kuna mchafuko mkubwa wa hali ya hewa lakini bado inazidi kutesa katika mambo ya uchumi.
India GDP
The Gross Domestic Product (GDP) in India was worth 2263.52 billion US dollars in 2016. The GDP value of India represents 3.65 percent of the world economy. GDP in India averaged 509.73 USD Billion from 1960 until 2016, reaching an all time high of 2263.52 USD Billion in 2016 and a record low of 36.54 USD Billion in 1960.
India GDP
GDP Growth Rate
GDP Annual Growth Rate
GDP
GDP Constant Prices
Gross National Product
Gross Fixed Capital Formation
GDP per capita
GDP per capita PPP
GDP From Agriculture
GDP From Construction
GDP From Manufacturing
GDP From Mining
GDP From Public Administration
GDP From Utilities
India GDP Notes
The gross domestic product (GDP) measures of national income and output for a given country's economy. The gross domestic product (GDP) is equal to the total expenditures for all final goods and services produced within the country in a stipulated period of time. This page provides the latest reported value for - India GDP - plus previous releases, historical high and low, short-term forecast and long-term prediction, economic calendar, survey consensus and news. India GDP - actual data, historical chart and calendar of releases - was last updated on August of 2017.
Actual Previous Highest
2263.52 2111.75 2263.52
Gdp by Country
Last
United States 18569.10 De
Euro Area 11885.66 De
China 11199.15 De
Japan 4939.38 De
Germany 3466.76 De
United Kingdom 2618.89 De
France 2465.45 De
India 2263.52 De
Italy 1849.97 De
Brazil 1796.19 De
Canada 1529.76 De
South Korea 1411.25 De
Russia 1283.20 De
Spain 1232.09 De
Australia 1204.62 De
Mexico 1046.00 De
Indonesia 932.26 De
Turkey 857.75 De
No, India is not our role model, they are just in front, we shall catch up and exceed them.
 
Sina hofu kwamba reli yenyewe itajengwa..lakini kulinhana na yale tulioyaona Kenya wale ma engineer walichukua ka mda kabla kutandika reli yenyewe, walichukua kama miezi mitatu hivi wakifanya maandalizi tu..... Kumbuka chuma cha reli chenyewe bado hakijaingia bandarini. Alafu reli yenu ni continuously wielded kwahivyo lazma mitambo ya kulaza hio reli iingie kutoka huko Turkey, alafu lazma mtambo wa kutengeneza simiti ya sleepers uwe unafanya kazi tayari ili mtenheneze sleepers nyingi za kutosheleza kama kilomita 20 za kwanza .... Ukiona km ya kwanza ya reli imewekwa ardhini hapo ndo ujue ujenzi umeanza, kwa sasa hii tunaita site preparations

Kazi ya kutengeneza kiwanda cha mataruma (sleepers) ilishaanza na inaendelea.
 
PIX2-8.jpg

Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika Hodhi la Reli (RAHCO) Bw. Masanja Kadogosa akielezea jambo mbele ya Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kushoto) wakati wa ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya Kati kwa kiwango cha kimataifa (Standard Gauge) ambapo awamu ya yenye urefu wa Km 205 inajengwa kutoka Dar – Moro.

PIX3-7.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akikagua ujenzi wa tuta kwa ajili ya njia ya reli alipotembelea eneo la Soga (Kibaha) wakati wa ziara yake ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya kiwango cha kimataifa (Standard Gauge) yenye urefu wa kilomita 205 kutoka Dar – Morogoro leo. Kutoka kulia ni Meneja Mradi wa SGR Mhandisi Maizo Mgedzi, Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Yapi Merkezi Bw. Abdullah Kilic na Mhandisi Felix Nnalio.

PIX4-3.jpg

Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Yapi Merkezi Bw. Abdullah Kilic akifafanua jambo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa kuhusu ujenzi wa tuta la reli ya kisasa ya SGR alipotembele eneo la Soga (kibaha) leo.

PIX1-7.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akifafanua jambo mbele ya Meneja wa Kanda ya Afrika Mashariki wa Kampuni ya Yapi Merkezi Bw. Abdullah Kilic (katikati) alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa Reli ya kiwango cha kimataifa (Standard Gauge) ambapo awamu ya kwanza inajengwa kutoka Dar – Moro yenye urefu wa 205km.

PIX5-3.jpg

Muuonekano wa awali wa tuta la reli linaloendelea kujengwa kwa kuondolewa tabaka la udongo wa kilimo na kuwekewa udongo wa ujenzi katika eneo la Soga (Kibaha) ambapo mradi wa ujenzi wa reli ya kisasa unaendeleo.

PIX6-1.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitazama kifaa cha kupima mgandamizo wa ardhi mara baada ya ardhi kushindiliwa alipokagua ujenzi wa tuta la reli katika eneo la Soga (Kibaha).

PIX7-1.jpg

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akiendelea na shughuli ya ujenzi wa karakana ya kutengeneza mataluma ya reli alipokagua ujenzi alipofanya ziara katika eneo la Soga (Kibaha).
Tanzania kitu mnachokijua sana ni kuimba. Saa hii nasikia wimbo wenu.

Anita
Macho kama unaniita
aah aah aah aah
Saa sita
kiuno....
 
India Watu asilimia arubaini (40%) hawana choo. Wanamwaga kinyesi peupe. Wanakunya pahali popote wajipatapo. Lakini India ina uchumi (GDP) kubwa kushinda Afrika. Uchafu na kinyesi haijazuia India kuipiku Afrika kiuchumi. Uchafu na maendeleo wapi na wapi? Mambo haya hayaendani? hata Shangai Kuna mchafuko mkubwa wa hali ya hewa lakini bado inazidi kutesa katika mambo ya uchumi.
India GDP
The Gross Domestic Product (GDP) in India was worth 2263.52 billion US dollars in 2016. The GDP value of India represents 3.65 percent of the world economy. GDP in India averaged 509.73 USD Billion from 1960 until 2016, reaching an all time high of 2263.52 USD Billion in 2016 and a record low of 36.54 USD Billion in 1960.
India GDP
GDP Growth Rate
GDP Annual Growth Rate
GDP
GDP Constant Prices
Gross National Product
Gross Fixed Capital Formation
GDP per capita
GDP per capita PPP
GDP From Agriculture
GDP From Construction
GDP From Manufacturing
GDP From Mining
GDP From Public Administration
GDP From Utilities
India GDP Notes
The gross domestic product (GDP) measures of national income and output for a given country's economy. The gross domestic product (GDP) is equal to the total expenditures for all final goods and services produced within the country in a stipulated period of time. This page provides the latest reported value for - India GDP - plus previous releases, historical high and low, short-term forecast and long-term prediction, economic calendar, survey consensus and news. India GDP - actual data, historical chart and calendar of releases - was last updated on August of 2017.
Actual Previous Highest
2263.52 2111.75 2263.52
Gdp by Country
Last
United States 18569.10 De
Euro Area 11885.66 De
China 11199.15 De
Japan 4939.38 De
Germany 3466.76 De
United Kingdom 2618.89 De
France 2465.45 De
India 2263.52 De
Italy 1849.97 De
Brazil 1796.19 De
Canada 1529.76 De
South Korea 1411.25 De
Russia 1283.20 De
Spain 1232.09 De
Australia 1204.62 De
Mexico 1046.00 De
Indonesia 932.26 De
Turkey 857.75 De
Uwe unajitahidi kuficha ujinga wako kwa watu werevu... Wtf is GDP?
 
Hahaha. Kwa kawaida watu werevu huwa hawasemi kuwa wao ni werevu. Ni watu vichwa maji kama wewe ndio huwa wanapanda juu ya mti na kutangazia dunia nzima kwamba nyinyi ni werevu. Mtu mwerevu atajulikana tu bila kujitangaza
 
Wacheni kuwaingilia Reli yao ndo inaanza.. Tulieni kwaza wacheji wa enjoy reli yao ikiianza alafu baadae ndo tuanze kukagua wakishaangusha mapicha ya kutosha, kwasasa hongera nyingi Watz, mwamko Mpya twawatakia safari njema mkiandza ujenzi wa reli yenu
Hata Hivyo, while kenya is seeing her first Rail line in 2017, Tanzanians tuna uzoefu mkubwa kwenye ujenzi wa Reli na mabomba ya Mafuta na gesi. Tumeshajenga Reli ndefu zaidi EA, na Pipelines since 1960's
, ukweli ni kuwa Tanzania ndiyo mbabe kwenye masuala ya Reli na pipelines.
 
hata hivyo Tanzania bado ni kati ya nchi maskini sana duniani na pia ni LDC...hizo reli za 1960s na huo uzoefu ni wa nini? lol!
 
yes you are financing it...which means it will take 50 years b4 u complete it...since when has a poor country with a GDP of 47B financed a 12B dollar project? hehe...you might get the money but it will take ages...as a result, it makes more sense to take a loan, finish the railway quickly then the project will pay back the creditors....win win situation...but i congratulate u for going electric...hiyo ni poa sana...hata wa Nigeria wameanza kutetemeka jinsi EA inavokimbia...walisikia trains za Addis, wakaskia tena BRT ya Dar, na wataskia tena electric SGR ya TZ...wakati wao hawana chochote cha maana...yaani nigeria is very corrupt...i heard their SGR took almost 20B but if u see the stations? lol!
Tukiwa na ujirani uliojaa mawazo kama yako, huu ukanda wetu utakuwa spotlight ya Africa.
 
Hata Hivyo, while kenya is seeing her first Rail line in 2017, Tanzanians tuna uzoefu mkubwa kwenye ujenzi wa Reli na mabomba ya Mafuta na gesi. Tumeshajenga Reli ndefu zaidi EA, na Pipelines since 1960's
, ukweli ni kuwa Tanzania ndiyo mbabe kwenye masuala ya Reli na pipelines.
Naam, Nakubaliana nawe, T.Z mko vizuri tu na mnaelekea kuzuri tu. Tanzania you should focus on your comparative advantage. Muendelee kufanya mining kwa wingi. Agriculture pia mna uwezo wa kuzalisha mazao mengi. Halafu pia tourism already mnapata pesa nyingi East Africa kwa hivyo mjitahidi kuongeza idadi ya watalii hadi zaidi ya milioni mbili na mtakuwa sawa. Tayari mna mount Kilimanjaro na Serengeti.
Kwangu mimi naona T.Z mko sawa tu na hivi karibuni hamtakua LDC. Lakini lazima Muendelee kukua kwa asilimia asiyopungua sita (6%) na population yenu iongezeke kwa asilimia isiyozidi tatu hivi (3%). Yaani watu waache kujaza dunia na family planning ifanywe. Hii si tatizo ya T.Z pekee kwani Kenya pia tuna matatizo haya haya. Uganda ndio wako vibaya zaidi kwani watu chini ya miaka thelathini ni nusu ya idadi ya watu. Dunia ilishajaa waafrika waambiwe hilo ndio walifahamu na kubadili mienendo. Otherwise waafrika tutazidi kuwa masikini kama tutazidi kujaza dunia
 
quote by analysts..."While rehabilitating Tanzania’s Central Line makes sense, and is long overdue, doing this and launching the SGR concurrently makes no sense at all."

I smell a white elephant cooking in Chinese soup...
Hivi lile daraja lililovunjika siku 2 baada ya kufunguliwa hivi limeshaungwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
yaan waanze kununua vichwa sasa mbona ujenzi unaweza kusisha vichwa vikawa vimepitwa na wakati??? tekn inakua kwa kasi sana maana kesho jinaweza kuvumbuliwa kichwa bora zaidi ya kilichopo sokoni
 
Duh! talk abt chasing ur own tail...you are building a 12 B dollar railway to serve a country of 11 million? this is a big white elephant...afadhali ile yetu inaenda Uganda na Sudan Kusini...bila shaka itajilipia kwa mizigo hizo...Rwanda's GDP hata haijafika hio 12 B...
emoji23.png
emoji23.png
wewe acha hizo,Tz yenyewe uchumi wake mkubwa upo ukanda wa ziwa na magharibi hivyo italeta maendeleo yetu kwanza ndio ifuate Rwanda Burundi ,Drc Congo na Uganda.
 
quote by analysts..."While rehabilitating Tanzania’s Central Line makes sense, and is long overdue, doing this and launching the SGR concurrently makes no sense at all."

I smell a white elephant cooking in Chinese soup...
Hopeless comments!
 
Kwani hiyo miradi ikifanywa kimyakimya tukaja kushituka imeisha tu kwani haijengeki...huuuuuuu ushamba wa kiki za kipuuzi ifike hatua tubafilike basi....kuleta maendeleo ni kaz ya serikali..serikali haijengi reri kutoa msaada kwa raia hapana big no..ila ni jukumu la serikali kutimiza wajibu wake...sasa inaanza kujengwa mitandao yote ya kijamiii mikelele tu reli reli reli reli...yani ndokma reli yakwanza kujengwa duniani...
Huuuu ushamba wa kijing..a bwana....
Ikifanywa kimyakimya watu hawatojua serikari nini inafanya. Lazima wananchi wajue kila mradi na maendeleo yake. Pia ni ruhusa kutoa maoni juu ya maendeleo ya mradi husika
 
Back
Top Bottom