Rekodi mpya Tanganyika baada ya miaka 62

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
359,886
Reaction score
828,463
Kuna hesabu za kiroho hapa

Mwaka 1962 Aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Uingereza alijiuzulu nafasi hiyo muhimu kimataifa baada ya kutofautiana na boss wake Hayati Mwalimu J.K. Nyerere Mchonga meno!

Miaka 62 baadae (2025 haijakamilika hivyo sip 63) Aliyekuwa Balozi nchini Cuba na mwakilishi wa mataifa jirani mane.. Naye kaachia ngazi kwa barua .. Lakini pengine akiwa nje mbali na kituo cha kazi
Christopher Kassanga Tumbo yeye Alimwambia boss wake.. "Sitaki kazi yako narudi nyumbani....."

Pole pole yeye kaandika waraka mrefu akionesha jinsi asivyoridhishwa na mambo yanayoendelea ndani ya chama chake na taifa kwa ujumla na kutuma mitandaoni( pengine pia na kwa boss wake) lakini yeye hajasema anarejea nyumbani

Mazingira ya nyakati, muda na vipindi yanatofautiana sana kisiasa, kiuchumi, kijamii, maendeleo ya kitekinolojia nk.. Lakini ujumbe unafanana.. Wote wamejiuzulu!

Lakini je!? Kati ya wawili hawa nani kaharibu mbaya? Achana na sababu za kujiuzulu

Pole pole ndio katia fora. Yaani mbele ya kadamnasi kambagaza kofi boss wake

Ukiwa huu ni mwaka wa uchaguzi ambao kiutaratibu unapaswa kufanyika miezi isiyozidi mitatu ijayo.. Balozi anajiuzulu si kwa matatizo binafsi bali mambo ya kitaifa nchini mwake

Ni kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu jumuiya za kimataifa zote macho yake yako Tanganyika.. Imagine wanapata picha gani hapa!

Tayari tulikuwa tumeshachafuka kimataifa kutokana na yale yanayoendelea nchini.. Sasa ni kama Polepole kaja kuthibitisha ama kupigilia msumari wa mwisho.. Kama ni kutibua basi kajua kuyatibua hasa!
Vyovyote iwavyo kaweka historia mpya Tanganyika..
 
CCM wanapenda kuweka Siri yaani ungesikia tu polepole atapangiwa kazi nyingine 🤣 yeye kawahi mapema kuweka kwenye mitandao ili Sisi walala macho tuoneeee
Nadhani alianza mawasiliano muda mrefu lakini akawa hapewi ushirikiano wa kutosha! Msikilize hapa
 
Wakimdaka atapewa UHAINI
Mpaka anaamua kuongea keshajiandaa kukabiliana na wahuni , inawezekana ujumbe umetumwa akiwa Tayar yupo eneo salama na keshahakikishiwa kuwa humo wahuni hawawezi kumfikia.

Japo kwa namna alivyo naweza kuamini kuwa wale wahuni 4 yule mtawala wa kata, Askofu, Padri na shekhe Kuna mawasiliano mazito kiasi kwamba wahuni wengine wanapelea🙌🙌🙌
 
Japo kwa namna alivyo naweza kuamini kuwa wale wahuni 4 yule mtawala wa kata, Askofu, Padri na shekhe Kuna mawasiliano mazito kiasi kwamba wahuni wengine wanapelea
 
Mpaka anaamua kuongea keshajiandaa kukabiliana na wahuni , inawezekana ujumbe umetumwa akiwa Tayar yupo eneo salama na keshahakikishiwa kuwa humo wahuni hawawezi kumfikia.

Japo kwa namna alivyo naweza kuamini kuwa wale wahuni 4 yule mtawala wa kata, Askofu, Padri na shekhe Kuna mawasiliano mazito kiasi kwamba wahuni wengine wanapelea🙌🙌🙌
Kinachoumiza kichwa kwasasa je yuko na nani akina nani nyuma yake na wana nguvu kiasi gani na kwanini mfumo haukuwastukia mapema🤣
 
Kuna hesabu za kiroho hapa

Mwaka 1962 Aliyekuwa balozi wa Tanganyika nchini Uingereza alijiuzulu nafasi hiyo muhimu kimataifa baada ya kutofautiana na boss wake Hayati Mwalimu J.K. Nyerere Mchonga meno!

Miaka 62 baadae (2025 haijakamilika hivyo sip 63) Aliyekuwa Balozi nchini Cuba na mwakilishi wa mataifa jirani mane.. Naye kaachia ngazi kwa barua .. Lakini pengine akiwa nje mbali na kituo cha kazi
Christopher Kassanga Tumbo yeye Alimwambia boss wake.. "Sitaki kazi yako narudi nyumbani....."

Pole pole yeye kaandika waraka mrefu akionesha jinsi asivyoridhishwa na mambo yanayoendelea ndani ya chama chake na taifa kwa ujumla na kutuma mitandaoni( pengine pia na kwa boss wake) lakini yeye hajasema anarejea nyumbani

Mazingira ya nyakati, muda na vipindi yanatofautiana sana kisiasa, kiuchumi, kijamii, maendeleo ya kitekinolojia nk.. Lakini ujumbe unafanana.. Wote wamejiuzulu!

Lakini je!? Kati ya wawili hawa nani kaharibu mbaya? Achana na sababu za kujiuzulu

Pole pole ndio katia fora. Yaani mbele ya kadamnasi kambagaza kofi boss wake

Ukiwa huu ni mwaka wa uchaguzi ambao kiutaratibu unapaswa kufanyika miezi isiyozidi mitatu ijayo.. Balozi anajiuzulu si kwa matatizo binafsi bali mambo ya kitaifa nchini mwake

Ni kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu jumuiya za kimataifa zote macho yake yako Tanganyika.. Imagine wanapata picha gani hapa!

Tayari tulikuwa tumeshachafuka kimataifa kutokana na yale yanayoendelea nchini.. Sasa ni kama Polepole kaja kuthibitisha ama kupigilia msumari wa mwisho.. Kama ni kutibua basi kajua kuyatibua hasa!
Vyovyote iwavyo kaweka historia mpya Tanganyika..

View: https://youtube.com/shorts/30hM8PZ8yWY?si=bYawKzNL13drxoQx
 
Kinachoumiza kichwa kwasasa je yuko na nani akina nani nyuma yake na wana nguvu kiasi gani na kwanini mfumo haukuwastukia mapema🤣
Naomba uwe makini kusoma haya majina😆

1.Padri ,aliesoma mzumbe akawa mwambata Rwanda now yupo ngorongoro
2.Askofu Mara yupo Nida Mara bank kuu
3.Police alafu diwani alafu anazuia Rushwa
4. Musowero
 
Akili yangu imekuwa nyembamba nashindwa kuunganisha dots wala kung'amua hayo majina🥺
 
Anaenda kujificha sehemu kwa Muda kwanza
Hilo liko wazi hawezi kuja nchini sasa mpaka kwa wakati mwafaka..

Akija sasa na kwa namna alivyomtandika za uso, mateke na uppercuts huyu bibie, hakika watamdaka na kesi ya uhaini itapikwa akiwa Segerea kwenye "death row chambers..."

Huyu mama na genge lake ni hatari, ni shetani ktk sura ya mwanamke mvaa ushungi akipambana kumpinga Mungu, kupingana na nyakati na majira yaliyowisha kumkataa

View: https://youtu.be/ZRtV1GTdV3c?si=f5ACFucerXgut8Tq
 
Back
Top Bottom