Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
Karibu Arumeru ... Special for Mr & Mrs Rejao kwenye part ya kuzika gamba.. nimeweka booking ya viti viwili pleeeease mcniangushe
Asante sana Kula kwa mtindo....
Waandalie mkuu
Erick mbona jana ukapoteza kura yangu wakati nilikupa ukahakikishe ushindi
Rejao and the rest wako kwenye mfungo kufunga na kukesha kuiombea CCm yao irudishiwe upendo ulioanza kupotea
Haaa Rocky jana hukuwepo wakati natangazwa mshindi?Erick mbona jana ukapoteza kura yangu wakati nilikupa ukahakikishe ushindi
Rejao and the rest wako kwenye mfungo kufunga na kukesha kuiombea CCm yao irudishiwe upendo ulioanza kupotea
Canta angalia leo Rejao hayuko kwenye moody....ukimletea longolongo atakulimaje taraka....!
Hahahaaaa atasema kaolewe na Chadema na mtoto akizaliwa muite Arumeru Mashariki
Kwi kwi kwiiiii
Asante sana Kula kwa mtindo....
Waandalie mkuu
Hahahaaaa kesi gani?
Ushindi wangu wa jana au?
Weeeeee Canta usintake ubaya....Hahaha!hilo haliwezi tokea,hizo mud anakuaga nao kwenye jukwaa lao lile huku hm ni raha mustarehe!ww ndio ujiangalie maana tangu jana umemwacha Amy mwenyewe hm hujui Bagah leo kashinda kwa kwenu!
Weeeeee Canta usintake ubaya....
Ooooh halafu unakuwa km humjui Amy....mi kwa bibie sina pressure hata Bagah akiwa home coz Bagah amesoma akiwa kwangu hadi alipoanza kazi yake
Hahahaaa mbona Amy yumo humu?Heee heee!ucjesema ckukwambia!ww hushangai cku zote ukiwa hm lzm naye awepo humu leo tangu jana umehamia USA R.Bagah humu haonekan!hahaha!
Hahahaaa mbona Amy yumo humu?
Na hapa niko nae...
We mchinganishi...unadhani kwa kuwa Rejao kapotea na hujui aliko na wangu atakuwa huko?
Wangu kajituliza meeen..!