Rejao Uko wapi?

Bora ww umeliona hilo kakangu,
Mapenzi yetu ni ya dhati na ya kudumu tena wakati wote wa shida na raha!

Nimemwambia mme wangu aniachie Eric nimjibu kwa niaba yake coz ni shemeji yangu!​

hahahahaha...na kweli..mko katika shida sasa..dada angu..wala usife moyo..mke kazi yake kumliwaza mzee..
 
Khaa! Jina tu! Hadi kamati ikae ?
Si mumempe jina la uncle wake Boflo ? Incase a baby w'l be He , if SHE mkiniomba nipendekeze ntafanya hivyo.

Hahaha hahaha,
JG,Hilo jina la Anko wake tutaliweka katika oroza ya majina ya kupigiwa kura na kamati lol!
Na ww pendekeza tu kwan sina mpango wa kujua atakuwa wa kike au wa kiume mpaka siku akizaliwa!
 
Popote ulipo kamanda wangu Rejeo, wewe ni shujaa najua muda wowote utajitokeza...tupo pamoja sana kwenye mapambano leo Magwanda yamefurahi kila jukwaa yanashangilia ushindi wa Arumeru Mashariki...
 
Wala hatuna shida kakangu hapa ni raha mwanzo mwisho,
Mda huu nampa cha mchana lol!​

aisee...mmetoka clinic..jamaa unampa mzigo ajilie kwa raha...mchana wote huuu..safi ngoja aongeze Miguu

Teh ni wajibu wake eeee

Umeona jibu hapo juu...broda Rejao anaongeza kucha kwa kijacho
 
Popote ulipo kamanda wangu Rejeo, wewe ni shujaa najua muda wowote utajitokeza...tupo pamoja sana kwenye mapambano leo Magwanda yamefurahi kila jukwaa yanashangilia ushindi wa Arumeru Mashariki...
Hahahaaa inaonekana Ritz bado una nguvu na bado unaamini mtashinda tu..
Teh Magwanda wako juu sana
 
aisee...mmetoka clinic..jamaa unampa mzigo ajilie kwa raha...mchana wote huuu..safi ngoja aongeze Miguu

Umeona jibu hapo juu...broda Rejao anaongeza kucha kwa kijacho
Hahahaaa Canta ana vituko....au anataka apate mapacha?
 
Dear Rejao,

Kushindwa mara moja si kushindwa kila siku.
Na kukubali matokeo na kujitokeza ni ukomavu pia
Si kwamba tunakupenda sababu chama unachokipenda kinashinda chaguzi
Tunakupenda sababu you are a good friend to us.
Kuona mahasimu wako wakishangilia nayo ni experince
Itakufanya ufurahi mara dufu siku chama unachoshabikia kikilitwaa hili jimbo tena.

Hebu njoo huku tuwapongeze walioshinda, kama anavyofanya rits.

Wasalaam,
 
Dah Kongosho uko juu sana kimawazo na mtizamo...
Nimeamini hata yule mod aliyekudunga ban hakuwa na mawazo ya kina...
Big sana
 
Back
Top Bottom