Rejao Uko wapi?

Umekula cha shingo kwa Smile? nitafute nikufundishe namna ya kukea!!!
....Amyner ana wake.
Darling hizo ni fitna za Eric na Bagah,
Wenyewe walikua washaelewana wao wakaja kuharibu!!
Hawa masheji sio watu wazuri kbs,
Nimepoteza iman nao mme wangu!
 
Nina mambo makuu matatu yananisumbua naomba kupata ufumbuzi.

1. Kutokuwa na hamu tena baada ya bao la kwanza, huku uume ukichukua mda mrefu kusimama au ukisimama uciwe strong sana napoingiza ukeni.

2. Bao la pili kuwa dogo - Sperms kuwa chache sana zisjae hata kichuchu cha kondomu kwa bao la pili.

3. Kutoweza kutoa kabisa bao la tatu.

Er? Hivi hapa tuko jukwaa gani?
 
Darling hizo ni fitna za Eric na Bagah,
Wenyewe walikua washaelewana wao wakaja kuharibu!!
Hawa masheji sio watu wazuri kbs,
Nimepoteza iman nao mme wangu!

ndio umeshitaki kwa braza sio?
 

Umepotea njia babu....hapa Upo jukwaa la siasa!!!
 

jukwaa la wakubwa hapa...lete vituu!
 
Hhhaha hahahaha hahha,
Kwii kwiii kwiiii,
Jaman babu umeua mbavu zangu khaaaaaaaaaa!
Sina majibu ya maswali yako kbs,
Hahahha hahahha hahhhaah uwwwwwwwwwwwwwiiiiiiiiiiiiiiiiiii mie mbavu zangu lol!

Karibu babu ODM umeua khaaa!
 
Canta na SL katika penzi motomoto baada ya ushindi wa CDM Arumeru.
Ndoa itafungwa hivi karibuni,


Khaaaaaaaaaaaaaaa!
Babu huji SL ni wifi yangu?
Umechemkaje?
Hapo alikua kiulinzi zaidi, akilinda mali za kaka yake Rejao lol!
 
1. Canta pole kwa timu ya mgombea wako Bwana mtei (sioi)kushindwa jipangeni mfikirie kwa sehemu ingine labda akajaribu kwa GM
2. Kijana mdogo SS (Nasari)nimefanikiwa kumchukua Smile(alumelu) kwa ushindi wa chee
3. kubalini matokeo, msimlaumu Bagah wala erick wala mama Tabasamu
4. nafikiria hizo campaign zenu, sijui nani alikuwa lusinde wenu, na nani alikuwa Wassira wenu!! lol
 
Haka kamjamaa kabaya sana. Kamemtimua Swahiba wangu Rejao. Hata Chit Chat stress free hatukumuona kabisa.

 

Sikujua km ile ingia yako ulikua na plan hiii,
Kiukweli nakubali matokeo lkn hamjamtendea hai Mtei,
Nakushauri usijiaminishe sana kwa hao wapambe wako kwan hawashindwi kukugeuka siku moja,
Mkioana nawatakia kila la heri ila bifu langu linabaki kwa Bagah na Eric!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…