simtaki tena mimi kumbe cha pombe?
ukifanya hvyo utakosea. Mi sio chapombe. Muulze Canta, Husninyo, Bagah, Judgement, FL 1 na wengne watakwambia.
Hahahaaa mlevi hajijui eeeh
Kweli danganya toto hii
Shem wangu mambo vp?Dah kweli nimekubali huna tamaa na mambo ya canta yamekumaliza kabisa
Hahahaa
Sitaki kabisa Mtei awe na Smile coz atamharibu shemeji angu
Mambo gani umekuja kufanya huku Bagah!tobaaaaaaa...mtu atapelekwa muhimbili sasa hivi...kutundikiwa dripu la maji!
Afadhali Smile Saint umwambie maana Mtei ni kichwa ngumu sana....
Ni bora hata Smile akukubalie wewe....
Nyepesi nyepesi ni kuwa hili pozi ni la Mtei!!
pole sana mtei!
My dia smile,simtaki tena mimi kumbe cha pombe?
SS utahusika na kulazwa hispital kwa Mtei!...
Kwa yule kada wa CCM....Housegirl uliyemuanzishia thread ya kutofautiana kiitikadi....
Hahahaaaaa black and white mwanzo mwisho
Hebu acha umbea,Smile unakubali kuwa nyumba ndogo?
My dia smile,
Usiwasilikize akina Bagah na Eric ni wachafuzi tu,
Mtei is a perfect man,
Wala hanywi pombe,
Plz don't do that to Mtei,He love u!!!
Plzzzzzzzzzzzzzzzzzz my friend!!