kumbe ni mtu wa bar dah simtaki tena thax for infosasa upunguze mishe mishe za bar! Smile atakukimbia..
Mtei am so happy for you jamani!
Pamoja shem wangu,
BTW,nishampa habari Bagah,hope atapita pande hizi very soon!!
kumbe ni mtu wa bar dah simtaki tena thax for info
kumbe ni mtu wa bar dah simtaki tena thax for info
wivu sina...ila roho inauma tan taraaaaaa!
Sawa shem. Namsubiri Bagah aje hapa 2malzie majadiliano.
Nakupa jukumu la kuweka bandiko pindi 2takapomaliza kikao.
hahahahaa.....Smyl umenipayukisha...nimecheka kimanzese kabsaaa!...
Kwa nini unaumia?
unacheka nini wewe?
Pacha vip...kuna kasehem Amy anataka kuharibu..."kasema uache kwenda bar"....sa ngapi kipya kinyemi kisione...?utapigwa chini ndugu yangu...kama vip report abuse fasta!...haha!
ilo ni dongo kwa Amy!...
scroll up and down uone alichoandika Smile aiseee!...izi ndoa za asubuh mchana jion...ni nomaaa!
Hii ni yako peke yako mpenzi. Narudia tena, u are the only one who deserves to have it!!
Kongosho na Smile this time watakula tu kwa macho!!
Lol...usinimezeshe mate mie, nipo ofisini kariakoo kwenye gorofa la muhindi! Mpaka nifike kwa Edo na hiyo mifoleni si nitafukuzwa kazi? Jioni nitakusubiri Namamga twende wote kwa Eddo!!
Nishamuelewesha. Hana prob nami.
Kwan anaumia jamani? Si amesema yuko happy?
una nywele za kifuani Pacha?...kama izo zipo umeshakamata...kama huna tafta hata mchina...THEY TURN HER WILD...
kumbe ni mtu wa bar dah simtaki tena thax for info
si unajua anahitaji faraja wakati mwingine braza anapokua busy...kama ivi uchaguzi arumeru umeisha ila sijui anakomaa na nn huko!
the good thing is ana nywele all over his body....