Mbunge wa Moshi (CHADEMA) : Sitagombea 2020 , niko busy na biashara zangu

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2017
Messages
2,219
Points
2,000

Hivi punde

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2017
2,219 2,000
Japhary Michael ni mbunge wa Moshi Mjini (Chadema) tangu mwaka 2015 alipomrithi Philemon Ndesamburo aliyeshika jimbo hilo kwa vipindi vitatu.

Kabla ya kuwa mbunge, Michael alikuwa diwani wa Kata ya Pasua kwa vipindi viwili mwaka 2005 (Chadema) na mwaka 2010 alichaguliwa pia kuwa meya wa Manispaa ya Moshi.

Kwa sasa Japhary anaongoza jimbo ambalo halijawahi kuondoka mikononi mwa upinzani tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Mbunge wa kwanza wa jimbi hilo alikuwa Joseph Mtui kupitia NCCR-Mageuzi.

Pamoja na historia hiyo ya upinzani katika jimbo la Moshi Mjini, kwa sasa kuna kitendawili cha nani atagombea ubunge ndani ya Chadema, ambayo imelishika jimbo hilo kwa muda mrefu, au chama kingine, hasa baada ya Japhary kutangaza kuwa 2020 ndio mwisho wake wa kujihusisha na shughuli za kisiasa.

Akizungumza na gazeti hili kuhusu msimamo huo, Japhary anasema kipindi cha miaka mitano cha ubunge kinamtosha na sasa anahitaji kupumzika siasa na kutulia kuendeleza biashara zake.

“Kwa vyovyote vile, mimi nimeshaamua mwaka 2020 nitapumzika. Nitabaki kuwa mwanachama wa Chadema, na nitaendelea kukitumikia chama changu kwa uaminifu lakini nimefika muda ambao napaswa kuwa mpigakura badala ya mchaguliwa,” anasema.

Anaongeza “kwa sasa ninajiandaa kutoa taarifa kwenye chama kwamba sitagombea ubunge mwaka 2020, hivyo mtu yeyote mwenye nia ya kugombea jimbo la Moshi mjini, kupitia Chadema, ni ruksa kujiandaa na kujipanga.”
Anasema kwa ridhaa yake, bila kushurutishwa, ameamua kupumzika na kuachia wengine nafasi kwa ku

wa amefanya siasa Moshi kwa muda mrefu.
“Tangu mwaka 2000 hadi sasa nimekuwa nikifanya siasa nzito na ngumu Moshi, kwani kufanya siasa katika upinzani si kazi nyepesi. Nimeshakuwa diwani wa kawaida, nimeshakuwa Meya na sasa namalizia ubunge, imetosha.

Mbunge huyo anasema kama ni kuhudumia wananchi amefanya hivyo vya kutosha na hata akiongeza miaka mingine 20 hawezi kutoa tena utumishi wake.
“Muda huu napaswa kupumzika, ila niahidi lolote ambalo chama kitahitaji nifanye ili kusukuma chama mbele, nitafanya kama mwananchi na mwanachama wa kawaida,” anasema.

Pamoja na kupumzika ubunge, mbunge huyo anasema hatogombea nafasi nyingine yoyote ya uongozi ndani ya chama kuanzia ngazi ya chini hadi Taifa kwa kuwa anahitaji kupumzika na kuwa mwanachama wa kawaida.

“Nahitaji kutumia muda huu sasa kufanya shughuli zangu binafsi ili zikawe sawa, kwani katika kufanya siasa, shughuli nyingine zimeharibika na sasa nahitaji kuziweka sawa ili pale penye mashimo niweze kuyaziba,” anasema.

Kwa nini anapumzika

Mbunge huyo anasema umri ni moja ya sababu zinazomsukuma kuchukua uamuzi huo kwa kuwa 2020 anatarajia kufikisha miaka 55 ambao anasema ni umri wa kustaafu kwa hiari.

“Nimechoka. Nahitaji kupumzika na umri pia umenichosha, lakini pia nina biashara zangu ndogondogo, ambazo naona kama zimeharibika sana, hivyo ni muda wangu wa kuziangalia ili zikae sawasawa,” anasema.
Pamoja na kuuheshimu uongozi kama sehemu ya kutoa utumishi na uongozi wake kwa jamii, anasema muda ambao amekuwa kiongozi kuanzia udiwani akiwa na umri wa miaka 35 mpaka sasa anaelekea 55 unatosha.

“Nilifanya kazi nikiwa na nguvu na uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali na tunakoelekea katika siasa za nchi hii tunahitaji kutumia akili, busara na kwa sababu akili yangu imechoka, naona nipumzike na niwekeze nguvu kuhudumia biashara zangu,” alisema.

Siasa si mahali pa kupumzika

Mbunge huyo anawashangaa wanasiasa ambao wamejiingiza kwenye siasa baada ya kustaafu utumishi wa umma akisema wanafanya makosa kupageuza eneo la kupumzikia na ajira kwa ajili ya kupata kipato.

“Mimi siitazami siasa kama eneo la kupumzika au kupata ajira na kipato, na sitamani dhamana za uongozi katika sura hiyo. Nina uwezo wa kufanya chochote hata kulima na kujiingizia kipato,” anasema.

“Katika mifumo ya kisiasa duniani, ukienda kwa wataalamu wote unatakiwa kuingia kwenye siasa ukiwa na nguvu ya kiakili na hata kiafya. Hutakiwi kwenda kwenye siasa kama eneo la kupumzika na kusaidiwa, kwani ukienda kwa mitazamo hiyo ni hatari kujitoa kutumika kwa waliokupa dhamana,” alisema.

Anasema mtu anapohitaji uongozi anatakiwa awe mbunifu lakini tatizo linakuja pale ambapo watu wengine wanatafuta uongozi wakati akili imeshachoka na hawezi kuwa na ubunifu wa kulipeleka taifa mbele.

“Hivyo sikubaliani na wale ambao wanataka ukomo wa urais uongezwe. Miaka 10 inatosha kumfanya kiongozi atekeleze na kufikia mafanikio aliyokusudia. Akiongezewa zaidi ya miaka 10 unamfanya ajenge umangimeza na kujenga timu ya ‘kumzuga’ na kumdanganya,” anasema.

Changamoto za kisiasa

Japhary anasema moja ya changamoto alizoziona katika siasa ni wanasiasa wengi kutoishi katika maneno yao, jambo ambalo limekuwa tatizo kubwa kwa vyama vyote vya siasa nchini.

“Wanasiasa wengi wamekuwa wakibadilika kama vinyonga. Yaani wanaweza kutoa mapovu kukemea jambo ambalo hata wao wanapenda kulitenda. Mfano, unakuta viongozi wanasema jukwaani wanachukia rushwa, na anaaminisha watu wasipende chama fulani kwa sababu kina wala rushwa, lakini na yeye ni mla rushwa mkubwa, hili ni tatizo,” anasema.

Anasema changamoto nyingine ni wananchi wengi kutotambua kwa nini wanachagua viongozi na wengine kuamini kwamba wanachagua viongozi ili wapate kitu cha moja kwa moja kama fedha au chakula.
Anasema hali hiyo imewafanya baadhi ya viongozi wanaochaguliwa kutumia fursa hiyo kuwarubuni wananchi kwa vitu vidogovidogo ili kupata kura bila kuwaletea maendeleo ya msingi.

“Wananchi wengi bado hawajawa na uwezo wa kujua wanamchagua rais, mbunge au diwani kwa ajili ya nini. Mwingine anakaa nyumbani unakuta hajala chakula na watoto wake, anaanza kumnyooshea kidole kiongozi wake, bila kujua kazi ya viongozi hao ni kulinda rasilimali za nchi na kuhakikisha kodi zinatumika vizuri.”

“Yaani kiongozi bora kwa sasa bado anaendelea kupimwa kwa namna anavyotoa shilingi mbili tatu na si kwa namna alivyotatua tatizo la elimu, afya, miundombinu ya barabara, maji na umeme,” anasema.

Changamoto ya tatu ni viongozi wengi wanaochaguliwa kutojua wanachaguliwa kwa ajili ya nini, na wengine kuwa na mawazo ya kuvuna bila kutambua uongozi ni sehemu ya kutumika.

“Yaani mtu anatamani tu kuwa mbunge au diwani kama sehemu ya ajira na kuwa na mawazo ya kuvuna lakini hawaamini kuwa uongozi ni sehemu ya kutumikia wananchi na baada ya kupata uongozi wanapambana kuongeza maslahi yao binafsi na si ya wananchi.”

Waliomvutia kwenye siasa.

Mbunge huyo anamtaka Mwalimu Julius Nyerere kua ni miongoni mwa wanasiasa waliomvutia na kumfanya aingie kwenye siasa na kwamba katika kipindi chote amekuwa mwanasiasa amekuwa akitamani kufanya siasa za Mwalimu.
“Tangu utoto wangu, mwanasiasa aliyekuwa akinivutia ni Mwalimu Nyerere. Ni mtu ambaye maisha yake ya kisiasa yananivutia mpaka leo. Ni mfano wa kuigwa.

“Na muda wote ambao nimekuwa nikipingana na mambo ambayo yanafanyika ndani ya CCM, ni kwa sababu nilikuwa naona imetoka kuwa CCM ya Mwalimu Nyerere ambayo aliweka misingi na kuhakikisha viongozi wanakuwa na maisha ya kawaida na kujua wao ni sehemu ya jamii badala ya kujikweza.”

Anasema kiongozi mwingine ambaye alimvutia kwa siasa zake ni Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete kwa namna alivyokuwa na uwezo mkubwa, wa kuyahusianisha makundi yote katika jamii na wote kujisikia kama vile wako katika taifa lao.
 
balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2015
Messages
8,290
Points
2,000

balibabambonahi

JF-Expert Member
Joined Apr 5, 2015
8,290 2,000

Mbunge huyo anasema umri ni moja ya sababu zinazomsukuma kuchukua uamuzi huo kwa kuwa 2020 anatarajia kufikisha miaka 55 ambao anasema ni umri wa kustaafu kwa hiari.“Nimechoka. Nahitaji kupumzika na umri pia umenichosha, lakini pia nina biashara zangu ndogondogo, ambazo naona kama zimeharibika sana, hivyo ni muda wangu wa kuziangalia ili zikae sawasawa,” anasema.
Pamoja na kuuheshimu uongozi kama sehemu ya kutoa utumishi na uongozi wake kwa jamii, anasema muda ambao amekuwa kiongozi kuanzia udiwani akiwa na umri wa miaka 35 mpaka sasa anaelekea 55 unatosha.“Nilifanya kazi nikiwa na nguvu na uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali na tunakoelekea katika siasa za nchi hii tunahitaji kutumia akili, busara na kwa sababu akili yangu imechoka, naona nipumzike na niwekeze nguvu kuhudumia biashara zangu,” alisema.Siasa si mahali pa kupumzika

Mbunge huyo anawashangaa wanasiasa ambao wamejiingiza kwenye siasa baada ya kustaafu utumishi wa umma akisema wanafanya makosa kupageuza eneo la kupumzikia na ajira kwa ajili ya kupata kipato.“Mimi siitazami siasa kama eneo la kupumzika au kupata ajira na kipato, na sitamani dhamana za uongozi katika sura hiyo. Nina uwezo wa kufanya chochote hata kulima na kujiingizia kipato,” anasema.“Katika mifumo ya kisiasa duniani, ukienda kwa wataalamu wote unatakiwa kuingia kwenye siasa ukiwa na nguvu ya kiakili na hata kiafya. Hutakiwi kwenda kwenye siasa kama eneo la kupumzika na kusaidiwa, kwani ukienda kwa mitazamo hiyo ni hatari kujitoa kutumika kwa waliokupa dhamana,” alisema.Anasema mtu anapohitaji uongozi anatakiwa awe mbunifu lakini tatizo linakuja pale ambapo watu wengine wanatafuta uongozi wakati akili imeshachoka na hawezi kuwa na ubunifu wa kulipeleka taifa mbele.“Hivyo sikubaliani na wale ambao wanataka ukomo wa urais uongezwe. Miaka 10 inatosha kumfanya kiongozi atekeleze na kufikia mafanikio aliyokusudia. Akiongezewa zaidi ya miaka 10 unamfanya ajenge umangimeza na kujenga timu ya ‘kumzuga’ na kumdanganya,” anasema.

Changamoto za kisiasa

Japhary anasema moja ya changamoto alizoziona katika siasa ni wanasiasa wengi kutoishi katika maneno yao, jambo ambalo limekuwa tatizo kubwa kwa vyama vyote vya siasa nchini.“Wanasiasa wengi wamekuwa wakibadilika kama vinyonga. Yaani wanaweza kutoa mapovu kukemea jambo ambalo hata wao wanapenda kulitenda. Mfano, unakuta viongozi wanasema jukwaani wanachukia rushwa, na anaaminisha watu wasipende chama fulani kwa sababu kina wala rushwa, lakini na yeye ni mla rushwa mkubwa, hili ni tatizo,” anasema.Anasema changamoto nyingine ni wananchi wengi kutotambua kwa nini wanachagua viongozi na wengine kuamini kwamba wanachagua viongozi ili wapate kitu cha moja kwa moja kama fedha au chakula.
Anasema hali hiyo imewafanya baadhi ya viongozi wanaochaguliwa kutumia fursa hiyo kuwarubuni wananchi kwa vitu vidogovidogo ili kupata kura bila kuwaletea maendeleo ya msingi.“Wananchi wengi bado hawajawa na uwezo wa kujua wanamchagua rais, mbunge au diwani kwa ajili ya nini. Mwingine anakaa nyumbani unakuta hajala chakula na watoto wake, anaanza kumnyooshea kidole kiongozi wake, bila kujua kazi ya viongozi hao ni kulinda rasilimali za nchi na kuhakikisha kodi zinatumika vizuri.”
“Yaani kiongozi bora kwa sasa bado anaendelea kupimwa kwa namna anavyotoa shilingi mbili tatu na si kwa namna alivyotatua tatizo la elimu, afya, miundombinu ya barabara, maji na umeme,” anasema.
Changamoto ya tatu ni viongozi wengi wanaochaguliwa kutojua wanachaguliwa kwa ajili ya nini, na wengine kuwa na mawazo ya kuvuna bila kutambua uongozi ni sehemu ya kutumika.“Yaani mtu anatamani tu kuwa mbunge au diwani kama sehemu ya ajira na kuwa na mawazo ya kuvuna lakini hawaamini kuwa uongozi ni sehemu ya kutumikia wananchi na baada ya kupata uongozi wanapambana kuongeza maslahi yao binafsi na si ya wananchi.”Waliomvutia kwenye siasa.

Mbunge huyo anamtaka Mwalimu Julius Nyerere kua ni miongoni mwa wanasiasa waliomvutia na kumfanya aingie kwenye siasa na kwamba katika kipindi chote amekuwa mwanasiasa amekuwa akitamani kufanya siasa za Mwalimu.
“Tangu utoto wangu, mwanasiasa aliyekuwa akinivutia ni Mwalimu Nyerere. Ni mtu ambaye maisha yake ya kisiasa yananivutia mpaka leo. Ni mfano wa kuigwa.“Na muda wote ambao nimekuwa nikipingana na mambo ambayo yanafanyika ndani ya CCM, ni kwa sababu nilikuwa naona imetoka kuwa CCM ya Mwalimu Nyerere ambayo aliweka misingi na kuhakikisha viongozi wanakuwa na maisha ya kawaida na kujua wao ni sehemu ya jamii badala ya kujikweza.”

Anasema kiongozi mwingine ambaye alimvutia kwa siasa zake ni Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete kwa namna alivyokuwa na uwezo mkubwa, wa kuyahusianisha makundi yote katika jamii na wote kujisikia kama vile wako katika taifa lao.
Huyu jamaa huyu nina wasiwasi naye,hajavutiwa na Ndessamburo wala Mbowe.Kuna namna hapa si bure.
 
Crimea

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2014
Messages
7,309
Points
2,000

Crimea

JF-Expert Member
Joined Mar 25, 2014
7,309 2,000
Huyu atakuwa na akili kama za Lisu!

Wote Wamekataa kuendelea ku entertain uhuni wa kukanyaga katiba pale ufipa, ndio maana unaona hata Lisu kaona Bora aendelee kupiga soga na wazungu kuliko kuja kuendekeza u Mugabe ulioko pale Ufipani.
 
Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
21,880
Points
2,000

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
21,880 2,000
Nimeukubali sana Msimamo binafsi wa huyu Mbunge japo kuna uwezekano kapiga hesabu kaona hazi balance akaamua alichoamua
Hata kambarage alitangaza kutoka madarakani baada ya hesabu kukataa1980-1985
 
touch on

Senior Member
Joined
Oct 8, 2019
Messages
144
Points
250

touch on

Senior Member
Joined Oct 8, 2019
144 250
Japhary Michael ni mbunge wa Moshi Mjini (Chadema) tangu mwaka 2015 alipomrithi Philemon Ndesamburo aliyeshika jimbo hilo kwa vipindi vitatu.
Kabla ya kuwa mbunge, Michael alikuwa diwani wa Kata ya Pasua kwa vipindi viwili mwaka 2005 (Chadema) na mwaka 2010 alichaguliwa pia kuwa meya wa Manispaa ya Moshi.
Kwa sasa Japhary anaongoza jimbo ambalo halijawahi kuondoka mikononi mwa upinzani tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Mbunge wa kwanza wa jimbi hilo alikuwa Joseph Mtui kupitia NCCR-Mageuzi.
Pamoja na historia hiyo ya upinzani katika jimbo la Moshi Mjini, kwa sasa kuna kitendawili cha nani atagombea ubunge ndani ya Chadema, ambayo imelishika jimbo hilo kwa muda mrefu, au chama kingine, hasa baada ya Japhary kutangaza kuwa 2020 ndio mwisho wake wa kujihusisha na shughuli za kisiasa.
Akizungumza na gazeti hili kuhusu msimamo huo, Japhary anasema kipindi cha miaka mitano cha ubunge kinamtosha na sasa anahitaji kupumzika siasa na kutulia kuendeleza biashara zake.
“Kwa vyovyote vile, mimi nimeshaamua mwaka 2020 nitapumzika. Nitabaki kuwa mwanachama wa Chadema, na nitaendelea kukitumikia chama changu kwa uaminifu lakini nimefika muda ambao napaswa kuwa mpigakura badala ya mchaguliwa,” anasema.

Anaongeza “kwa sasa ninajiandaa kutoa taarifa kwenye chama kwamba sitagombea ubunge mwaka 2020, hivyo mtu yeyote mwenye nia ya kugombea jimbo la Moshi mjini, kupitia Chadema, ni ruksa kujiandaa na kujipanga.”
Anasema kwa ridhaa yake, bila kushurutishwa, ameamua kupumzika na kuachia wengine nafasi kwa ku

wa amefanya siasa Moshi kwa muda mrefu.
“Tangu mwaka 2000 hadi sasa nimekuwa nikifanya siasa nzito na ngumu Moshi, kwani kufanya siasa katika upinzani si kazi nyepesi. Nimeshakuwa diwani wa kawaida, nimeshakuwa Meya na sasa namalizia ubunge, imetosha.
Mbunge huyo anasema kama ni kuhudumia wananchi amefanya hivyo vya kutosha na hata akiongeza miaka mingine 20 hawezi kutoa tena utumishi wake.
“Muda huu napaswa kupumzika, ila niahidi lolote ambalo chama kitahitaji nifanye ili kusukuma chama mbele, nitafanya kama mwananchi na mwanachama wa kawaida,” anasema.
Pamoja na kupumzika ubunge, mbunge huyo anasema hatogombea nafasi nyingine yoyote ya uongozi ndani ya chama kuanzia ngazi ya chini hadi Taifa kwa kuwa anahitaji kupumzika na kuwa mwanachama wa kawaida.

“Nahitaji kutumia muda huu sasa kufanya shughuli zangu binafsi ili zikawe sawa, kwani katika kufanya siasa, shughuli nyingine zimeharibika na sasa nahitaji kuziweka sawa ili pale penye mashimo niweze kuyaziba,” anasema.

Kwa nini anapumzika

Mbunge huyo anasema umri ni moja ya sababu zinazomsukuma kuchukua uamuzi huo kwa kuwa 2020 anatarajia kufikisha miaka 55 ambao anasema ni umri wa kustaafu kwa hiari.“Nimechoka. Nahitaji kupumzika na umri pia umenichosha, lakini pia nina biashara zangu ndogondogo, ambazo naona kama zimeharibika sana, hivyo ni muda wangu wa kuziangalia ili zikae sawasawa,” anasema.
Pamoja na kuuheshimu uongozi kama sehemu ya kutoa utumishi na uongozi wake kwa jamii, anasema muda ambao amekuwa kiongozi kuanzia udiwani akiwa na umri wa miaka 35 mpaka sasa anaelekea 55 unatosha.“Nilifanya kazi nikiwa na nguvu na uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali na tunakoelekea katika siasa za nchi hii tunahitaji kutumia akili, busara na kwa sababu akili yangu imechoka, naona nipumzike na niwekeze nguvu kuhudumia biashara zangu,” alisema.Siasa si mahali pa kupumzika

Mbunge huyo anawashangaa wanasiasa ambao wamejiingiza kwenye siasa baada ya kustaafu utumishi wa umma akisema wanafanya makosa kupageuza eneo la kupumzikia na ajira kwa ajili ya kupata kipato.“Mimi siitazami siasa kama eneo la kupumzika au kupata ajira na kipato, na sitamani dhamana za uongozi katika sura hiyo. Nina uwezo wa kufanya chochote hata kulima na kujiingizia kipato,” anasema.“Katika mifumo ya kisiasa duniani, ukienda kwa wataalamu wote unatakiwa kuingia kwenye siasa ukiwa na nguvu ya kiakili na hata kiafya. Hutakiwi kwenda kwenye siasa kama eneo la kupumzika na kusaidiwa, kwani ukienda kwa mitazamo hiyo ni hatari kujitoa kutumika kwa waliokupa dhamana,” alisema.Anasema mtu anapohitaji uongozi anatakiwa awe mbunifu lakini tatizo linakuja pale ambapo watu wengine wanatafuta uongozi wakati akili imeshachoka na hawezi kuwa na ubunifu wa kulipeleka taifa mbele.“Hivyo sikubaliani na wale ambao wanataka ukomo wa urais uongezwe. Miaka 10 inatosha kumfanya kiongozi atekeleze na kufikia mafanikio aliyokusudia. Akiongezewa zaidi ya miaka 10 unamfanya ajenge umangimeza na kujenga timu ya ‘kumzuga’ na kumdanganya,” anasema.

Changamoto za kisiasa

Japhary anasema moja ya changamoto alizoziona katika siasa ni wanasiasa wengi kutoishi katika maneno yao, jambo ambalo limekuwa tatizo kubwa kwa vyama vyote vya siasa nchini.“Wanasiasa wengi wamekuwa wakibadilika kama vinyonga. Yaani wanaweza kutoa mapovu kukemea jambo ambalo hata wao wanapenda kulitenda. Mfano, unakuta viongozi wanasema jukwaani wanachukia rushwa, na anaaminisha watu wasipende chama fulani kwa sababu kina wala rushwa, lakini na yeye ni mla rushwa mkubwa, hili ni tatizo,” anasema.Anasema changamoto nyingine ni wananchi wengi kutotambua kwa nini wanachagua viongozi na wengine kuamini kwamba wanachagua viongozi ili wapate kitu cha moja kwa moja kama fedha au chakula.
Anasema hali hiyo imewafanya baadhi ya viongozi wanaochaguliwa kutumia fursa hiyo kuwarubuni wananchi kwa vitu vidogovidogo ili kupata kura bila kuwaletea maendeleo ya msingi.“Wananchi wengi bado hawajawa na uwezo wa kujua wanamchagua rais, mbunge au diwani kwa ajili ya nini. Mwingine anakaa nyumbani unakuta hajala chakula na watoto wake, anaanza kumnyooshea kidole kiongozi wake, bila kujua kazi ya viongozi hao ni kulinda rasilimali za nchi na kuhakikisha kodi zinatumika vizuri.”
“Yaani kiongozi bora kwa sasa bado anaendelea kupimwa kwa namna anavyotoa shilingi mbili tatu na si kwa namna alivyotatua tatizo la elimu, afya, miundombinu ya barabara, maji na umeme,” anasema.
Changamoto ya tatu ni viongozi wengi wanaochaguliwa kutojua wanachaguliwa kwa ajili ya nini, na wengine kuwa na mawazo ya kuvuna bila kutambua uongozi ni sehemu ya kutumika.“Yaani mtu anatamani tu kuwa mbunge au diwani kama sehemu ya ajira na kuwa na mawazo ya kuvuna lakini hawaamini kuwa uongozi ni sehemu ya kutumikia wananchi na baada ya kupata uongozi wanapambana kuongeza maslahi yao binafsi na si ya wananchi.”Waliomvutia kwenye siasa.

Mbunge huyo anamtaka Mwalimu Julius Nyerere kua ni miongoni mwa wanasiasa waliomvutia na kumfanya aingie kwenye siasa na kwamba katika kipindi chote amekuwa mwanasiasa amekuwa akitamani kufanya siasa za Mwalimu.
“Tangu utoto wangu, mwanasiasa aliyekuwa akinivutia ni Mwalimu Nyerere. Ni mtu ambaye maisha yake ya kisiasa yananivutia mpaka leo. Ni mfano wa kuigwa.“Na muda wote ambao nimekuwa nikipingana na mambo ambayo yanafanyika ndani ya CCM, ni kwa sababu nilikuwa naona imetoka kuwa CCM ya Mwalimu Nyerere ambayo aliweka misingi na kuhakikisha viongozi wanakuwa na maisha ya kawaida na kujua wao ni sehemu ya jamii badala ya kujikweza.”

Anasema kiongozi mwingine ambaye alimvutia kwa siasa zake ni Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete kwa namna alivyokuwa na uwezo mkubwa, wa kuyahusianisha makundi yote katika jamii na wote kujisikia kama vile wako katika taifa lao.
Dah!! Jamaa atakuwa amechoka kuibiwa pesa zake na mbowe. Pole sana mbunge haki yako utaikuta Kwa Mungu. Huyo muache tuu.
 
johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
26,299
Points
2,000

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
26,299 2,000

500,000 x 12 x 5 = 30,000,000
 
Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Messages
2,417
Points
2,000

Ukana Shilungo

JF-Expert Member
Joined Apr 17, 2012
2,417 2,000

Wanaomvutia ni Nyerere na kikwete!! nahisi mda huu Mzee FENT FADE jiwe amenuna!!😂😂😁😁
 
thetallest

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2017
Messages
6,362
Points
2,000

thetallest

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2017
6,362 2,000
Kasoma upepo
Japhary Michael ni mbunge wa Moshi Mjini (Chadema) tangu mwaka 2015 alipomrithi Philemon Ndesamburo aliyeshika jimbo hilo kwa vipindi vitatu.

Kabla ya kuwa mbunge, Michael alikuwa diwani wa Kata ya Pasua kwa vipindi viwili mwaka 2005 (Chadema) na mwaka 2010 alichaguliwa pia kuwa meya wa Manispaa ya Moshi.

Kwa sasa Japhary anaongoza jimbo ambalo halijawahi kuondoka mikononi mwa upinzani tangu uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995. Mbunge wa kwanza wa jimbi hilo alikuwa Joseph Mtui kupitia NCCR-Mageuzi.

Pamoja na historia hiyo ya upinzani katika jimbo la Moshi Mjini, kwa sasa kuna kitendawili cha nani atagombea ubunge ndani ya Chadema, ambayo imelishika jimbo hilo kwa muda mrefu, au chama kingine, hasa baada ya Japhary kutangaza kuwa 2020 ndio mwisho wake wa kujihusisha na shughuli za kisiasa.

Akizungumza na gazeti hili kuhusu msimamo huo, Japhary anasema kipindi cha miaka mitano cha ubunge kinamtosha na sasa anahitaji kupumzika siasa na kutulia kuendeleza biashara zake.

“Kwa vyovyote vile, mimi nimeshaamua mwaka 2020 nitapumzika. Nitabaki kuwa mwanachama wa Chadema, na nitaendelea kukitumikia chama changu kwa uaminifu lakini nimefika muda ambao napaswa kuwa mpigakura badala ya mchaguliwa,” anasema.

Anaongeza “kwa sasa ninajiandaa kutoa taarifa kwenye chama kwamba sitagombea ubunge mwaka 2020, hivyo mtu yeyote mwenye nia ya kugombea jimbo la Moshi mjini, kupitia Chadema, ni ruksa kujiandaa na kujipanga.”
Anasema kwa ridhaa yake, bila kushurutishwa, ameamua kupumzika na kuachia wengine nafasi kwa ku

wa amefanya siasa Moshi kwa muda mrefu.
“Tangu mwaka 2000 hadi sasa nimekuwa nikifanya siasa nzito na ngumu Moshi, kwani kufanya siasa katika upinzani si kazi nyepesi. Nimeshakuwa diwani wa kawaida, nimeshakuwa Meya na sasa namalizia ubunge, imetosha.

Mbunge huyo anasema kama ni kuhudumia wananchi amefanya hivyo vya kutosha na hata akiongeza miaka mingine 20 hawezi kutoa tena utumishi wake.
“Muda huu napaswa kupumzika, ila niahidi lolote ambalo chama kitahitaji nifanye ili kusukuma chama mbele, nitafanya kama mwananchi na mwanachama wa kawaida,” anasema.

Pamoja na kupumzika ubunge, mbunge huyo anasema hatogombea nafasi nyingine yoyote ya uongozi ndani ya chama kuanzia ngazi ya chini hadi Taifa kwa kuwa anahitaji kupumzika na kuwa mwanachama wa kawaida.

“Nahitaji kutumia muda huu sasa kufanya shughuli zangu binafsi ili zikawe sawa, kwani katika kufanya siasa, shughuli nyingine zimeharibika na sasa nahitaji kuziweka sawa ili pale penye mashimo niweze kuyaziba,” anasema.

Kwa nini anapumzika

Mbunge huyo anasema umri ni moja ya sababu zinazomsukuma kuchukua uamuzi huo kwa kuwa 2020 anatarajia kufikisha miaka 55 ambao anasema ni umri wa kustaafu kwa hiari.

“Nimechoka. Nahitaji kupumzika na umri pia umenichosha, lakini pia nina biashara zangu ndogondogo, ambazo naona kama zimeharibika sana, hivyo ni muda wangu wa kuziangalia ili zikae sawasawa,” anasema.
Pamoja na kuuheshimu uongozi kama sehemu ya kutoa utumishi na uongozi wake kwa jamii, anasema muda ambao amekuwa kiongozi kuanzia udiwani akiwa na umri wa miaka 35 mpaka sasa anaelekea 55 unatosha.

“Nilifanya kazi nikiwa na nguvu na uwezo wa kukabiliana na changamoto mbalimbali na tunakoelekea katika siasa za nchi hii tunahitaji kutumia akili, busara na kwa sababu akili yangu imechoka, naona nipumzike na niwekeze nguvu kuhudumia biashara zangu,” alisema.

Siasa si mahali pa kupumzika

Mbunge huyo anawashangaa wanasiasa ambao wamejiingiza kwenye siasa baada ya kustaafu utumishi wa umma akisema wanafanya makosa kupageuza eneo la kupumzikia na ajira kwa ajili ya kupata kipato.

“Mimi siitazami siasa kama eneo la kupumzika au kupata ajira na kipato, na sitamani dhamana za uongozi katika sura hiyo. Nina uwezo wa kufanya chochote hata kulima na kujiingizia kipato,” anasema.

“Katika mifumo ya kisiasa duniani, ukienda kwa wataalamu wote unatakiwa kuingia kwenye siasa ukiwa na nguvu ya kiakili na hata kiafya. Hutakiwi kwenda kwenye siasa kama eneo la kupumzika na kusaidiwa, kwani ukienda kwa mitazamo hiyo ni hatari kujitoa kutumika kwa waliokupa dhamana,” alisema.

Anasema mtu anapohitaji uongozi anatakiwa awe mbunifu lakini tatizo linakuja pale ambapo watu wengine wanatafuta uongozi wakati akili imeshachoka na hawezi kuwa na ubunifu wa kulipeleka taifa mbele.

“Hivyo sikubaliani na wale ambao wanataka ukomo wa urais uongezwe. Miaka 10 inatosha kumfanya kiongozi atekeleze na kufikia mafanikio aliyokusudia. Akiongezewa zaidi ya miaka 10 unamfanya ajenge umangimeza na kujenga timu ya ‘kumzuga’ na kumdanganya,” anasema.

Changamoto za kisiasa

Japhary anasema moja ya changamoto alizoziona katika siasa ni wanasiasa wengi kutoishi katika maneno yao, jambo ambalo limekuwa tatizo kubwa kwa vyama vyote vya siasa nchini.

“Wanasiasa wengi wamekuwa wakibadilika kama vinyonga. Yaani wanaweza kutoa mapovu kukemea jambo ambalo hata wao wanapenda kulitenda. Mfano, unakuta viongozi wanasema jukwaani wanachukia rushwa, na anaaminisha watu wasipende chama fulani kwa sababu kina wala rushwa, lakini na yeye ni mla rushwa mkubwa, hili ni tatizo,” anasema.

Anasema changamoto nyingine ni wananchi wengi kutotambua kwa nini wanachagua viongozi na wengine kuamini kwamba wanachagua viongozi ili wapate kitu cha moja kwa moja kama fedha au chakula.
Anasema hali hiyo imewafanya baadhi ya viongozi wanaochaguliwa kutumia fursa hiyo kuwarubuni wananchi kwa vitu vidogovidogo ili kupata kura bila kuwaletea maendeleo ya msingi.

“Wananchi wengi bado hawajawa na uwezo wa kujua wanamchagua rais, mbunge au diwani kwa ajili ya nini. Mwingine anakaa nyumbani unakuta hajala chakula na watoto wake, anaanza kumnyooshea kidole kiongozi wake, bila kujua kazi ya viongozi hao ni kulinda rasilimali za nchi na kuhakikisha kodi zinatumika vizuri.”

“Yaani kiongozi bora kwa sasa bado anaendelea kupimwa kwa namna anavyotoa shilingi mbili tatu na si kwa namna alivyotatua tatizo la elimu, afya, miundombinu ya barabara, maji na umeme,” anasema.

Changamoto ya tatu ni viongozi wengi wanaochaguliwa kutojua wanachaguliwa kwa ajili ya nini, na wengine kuwa na mawazo ya kuvuna bila kutambua uongozi ni sehemu ya kutumika.

“Yaani mtu anatamani tu kuwa mbunge au diwani kama sehemu ya ajira na kuwa na mawazo ya kuvuna lakini hawaamini kuwa uongozi ni sehemu ya kutumikia wananchi na baada ya kupata uongozi wanapambana kuongeza maslahi yao binafsi na si ya wananchi.”

Waliomvutia kwenye siasa.

Mbunge huyo anamtaka Mwalimu Julius Nyerere kua ni miongoni mwa wanasiasa waliomvutia na kumfanya aingie kwenye siasa na kwamba katika kipindi chote amekuwa mwanasiasa amekuwa akitamani kufanya siasa za Mwalimu.
“Tangu utoto wangu, mwanasiasa aliyekuwa akinivutia ni Mwalimu Nyerere. Ni mtu ambaye maisha yake ya kisiasa yananivutia mpaka leo. Ni mfano wa kuigwa.

“Na muda wote ambao nimekuwa nikipingana na mambo ambayo yanafanyika ndani ya CCM, ni kwa sababu nilikuwa naona imetoka kuwa CCM ya Mwalimu Nyerere ambayo aliweka misingi na kuhakikisha viongozi wanakuwa na maisha ya kawaida na kujua wao ni sehemu ya jamii badala ya kujikweza.”

Anasema kiongozi mwingine ambaye alimvutia kwa siasa zake ni Rais mstaafu wa awamu ya nne, Jakaya Kikwete kwa namna alivyokuwa na uwezo mkubwa, wa kuyahusianisha makundi yote katika jamii na wote kujisikia kama vile wako katika taifa lao.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads 1,390,223
Members 528,114
Posts 34,046,400
Top