Wewe unachekesha kweli, haya fanya unavyotaka, watu wanafanya usajiri kwa wiki mbili au zaidi wewe unauliza kama ni muhimu au sio muhimuNisaidieni jamani kuna madhara yoyote nisipo fanya registration semester ya pili chuoni
Wewe unachekesha kweli, haya fanya unavyotaka, watu wanafanya usajiri kwa wiki mbili au zaidi wewe unauliza kama ni muhimu au sio muhimu
Usifanye tu usajili ili na sisi wengine tujifunze kutoka kwako.Nataka kujua kuna madhara gani
Nauliza hiv kwa sababu kuna jamaa chuoni mpk sasa hajafanya usajili na mwisho ilikuwa Leo ndo mana naulizaUsifanye tu usajili ili na sisi wengine tujifunze kutoka kwako.
Kwa nini wanafanya usajili kila semester?
Tusubiri basi tuone nini kitatokea halafu utatuletea mrejeshoNauliza hiv kwa sababu kuna jamaa chuoni mpk sasa hajafanya usajili na mwisho ilikuwa Leo ndo mana nauliza
Kama unafahamu naomba unieleze ili nijue jinsi ya kumsaidia kwa sababu anadai eti kaambiwa atafutwa usajili chuoni ila mi nikamwambia sio kweli. So Kama uko aware niambie isije ikawa nimemuongopeaTusubiri basi tuone nini kitatokea halafu utatuletea mrejesho
Tusubiri, kwa sababu hata ukimuambia it is too late maana umesema leo ndiyo siku ya mwisho na hajajaza usajiriKama unafahamu naomba unieleze ili nijue jinsi ya kumsaidia kwa sababu anadai eti kaambiwa atafutwa usajili chuoni ila mi nikamwambia sio kweli. So Kama uko aware niambie isije ikawa nimemuongopea
Tusubiri, kwa sababu hata ukimuambia it is too late maana umesema leo ndiyo siku ya mwisho na hajajaza usajiri
Nauliza hiv kwa sababu kuna jamaa chuoni mpk sasa hajafanya usajili na mwisho ilikuwa Leo ndo mana nauliza
Hapo unauliza kwa ajili yako au huyo jamaa.Nisaidieni jamani kuna madhara yoyote nisipo fanya registration semester ya pili chuoni