Registration

Nisaidieni jamani kuna madhara yoyote nisipo fanya registration semester ya pili chuoni
Wewe unachekesha kweli, haya fanya unavyotaka, watu wanafanya usajiri kwa wiki mbili au zaidi wewe unauliza kama ni muhimu au sio muhimu
 
Tusubiri basi tuone nini kitatokea halafu utatuletea mrejesho
Kama unafahamu naomba unieleze ili nijue jinsi ya kumsaidia kwa sababu anadai eti kaambiwa atafutwa usajili chuoni ila mi nikamwambia sio kweli. So Kama uko aware niambie isije ikawa nimemuongopea
 
Kama unafahamu naomba unieleze ili nijue jinsi ya kumsaidia kwa sababu anadai eti kaambiwa atafutwa usajili chuoni ila mi nikamwambia sio kweli. So Kama uko aware niambie isije ikawa nimemuongopea
Tusubiri, kwa sababu hata ukimuambia it is too late maana umesema leo ndiyo siku ya mwisho na hajajaza usajiri
 
Ndio ni siku ya mwisho. Ila ningependa kujua ili ajue cha kufanya sababu amejaribu kuomba Sana imeshindikana mpk kufikia Leo na tatizo kubwa hana fees. Kama nikweli usipofanya usajili unafutwa usajili chuoni niambie mana jamaa kachanganyikiwa
Tusubiri, kwa sababu hata ukimuambia it is too late maana umesema leo ndiyo siku ya mwisho na hajajaza usajiri
 
Ndiyo maana nimekwambia tusubiri tuone kitakachotokea kwa vitendo tuache ku speculate
 
Nauliza hiv kwa sababu kuna jamaa chuoni mpk sasa hajafanya usajili na mwisho ilikuwa Leo ndo mana nauliza
Nisaidieni jamani kuna madhara yoyote nisipo fanya registration semester ya pili chuoni
Hapo unauliza kwa ajili yako au huyo jamaa.
Hivi hii tabia ya kutokuwa straight from the very beginning sijui tunaitoa wapi?

Mfano. Mtu ana shida anataka ushauri atakuambia kuna jamaa sijui rafiki na blaa blaa nyingi.

Anyways, kama walikuambia wadau hapo juu, huyo ameshajiondoa mwenyewe kwa sababu kwenye database hataonekana.

Hata sisi kuna jamaa aliamua kujiondoa kwa style hiyo(baada ya kumaliza kazi yake maalum)
Kwani hujasoma by-laws cha chuo husika
 
Kiukweli hata mi sikusoma by laws. Sasa atakapo pata ada akitaka kurudi Chuo inakuaje?
 
kwanza ungetuambia upo chuo kipi ili tujue namna ya kukusaidia.Mfano kwa UDSM kama ada unalipiwa na HESLB basi huna haja ya kufanya usajili semista ya pili.Maana lengo la usajili ni ulipe ada ya chuo ndipo usajiliwe.Sasa sijajua vyuo vingine wana utaratibu upi.!
 
Hakuna shida kama kashatoa taarifa muhimu kuhusu kukwama kulipa pesa, anaweza lipia ada hata kama kesho ni ue

Ni swala tu la makubaliano kati ya yeye na chuo

Mbona chuon ni waelewa sanaa, wanatambua kabisa hali za Watanzania, kama unauhakika wa kulipa, wanakupa nafasi kabisa

Hapa ni kwa vyuo vya serikali kama udsm, udom wanahuo utaratibi kwa private sijajua
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom