Natafuta kibarua cha kufanya kwa siku

border mc

Member
Sep 19, 2023
41
43
Mimi natokea bagamoyo, nipo nasoma katika Taasisi ya sanaa na utamaduni bagamoyo

Bado niko mwaka wa kwanza, semester ya pili, sasa hapa kati yalinikuta matatizo yakasababisha nitumie nusu ya ada yangu ya semester ya pili ili kuyasolve

Hivi sasa nadaiwa kiasi kadhaa chuo na karibuni hivi tunaanza mitihani

Naomba kwa mwenye kibarua chochote ambaye anapatikana bagamoyo au karibu na bagamoyo anisaidie hicho kibarua ili niweze kupata pesa ya kumalizia ada chuoni

NB.
Nafanya kazi ya aina yoyot

Mawasiliano 0682019085

Natanguliza shukrani
 
Hiyo course ya sanaa na utamaduni husomwa na watu lainilaini! Ungekuwa na nguvu ningekuita ukachimbe msingi na kubeba tofari za saidia fundi
Hapana kaka mimi naiweza hiyo kazi, sio course inanifanya legelege wala sikuchagua hiyo course kwa sababu mimi ni laini,

Kiukweli mimi naweza fanya hiyo kazi bro niamini
 
Hiyo course ya sanaa na utamaduni husomwa na watu lainilaini! Ungekuwa na nguvu ningekuita ukachimbe msingi na kubeba tofari za saidia fundi
Huezi amini mimi natafuta sana hiko kibarua cha saidia fundi ila mtaani hakuna hizo mishe mzee

Nahitaji hiyo issue
 
Back
Top Bottom