angelstars
Member
- Jul 31, 2018
- 11
- 2
Habari, jamani kwa wale waliyofabya registration SUA for bachelor degree nahitaji msada wenu, Nimekwama kwenye malipo kwa njia ya simu,wamenitumia kumbukumbu no/reference no lakin hawajanitumia no ya kampuni,,,nimeangalia kwenye website yao lakini hamna kitu
na nimewatumia email hawajanijibu mpaka leo
Mwenye kujua anisaidie
na nimewatumia email hawajanijibu mpaka leoMwenye kujua anisaidie
