jana niliona story juu ya huyu jamaa on PBS. Alikuwa anahojiwa na Andrew Young. Kipindi kilikuwa juu ya Tanzania na maendelo.
Hebu nipe his stori zaidi.................. hasa juu ya how he made his millions.
Alisema alizaliwa fukara lakini kwa kutumia jitihada na biashara amejiinua sawa sawa!
Very insipiring!
Matajiri wote wa Bongo wanasemaga hivi tu, wala sio suala la kushangaaa na kushabikia, mifano ipo ila hakuna sababu ya kuitajaAlisema alizaliwa fukara lakini kwa kutumia jitihada na biashara amejiinua sawa sawa!
Jamaa alianzisha kiwanda kwenye nyumba ya vyumba viwili aliyokuwa akiishi na familia yake. Kiwanda kidogo cha kuunganisha pen miaka ya 80 wakati hakuna bidhaa.
Kama kuna watu wanatoka kwenye familia fukara basi mengi anatoka kwenye familia fukara sana kule moshi,lakini ameweza kumake fortune katika maisha yake.
Tatizo langu ni succession ya mali zake itakuwaje iwapo ataitwa na mnyezi Mungu kwani vijana wengi wa wenye pesa africa wanajua kutumbua tu badala ya kuendeleza pale mzee alipoishia.

Kama suala ni succession basi Mengi mwenyewe alipasa kuwaandaa watoto wake mapema.Mimi naamini skills nyingi hatuzaliwi nazo ila tunajifunza.Mkuu umenena, hapo kwenye highlight ndiyo ugonjwa wa watanzania wengi. Hatuna succession plan kabisa. Hii ni tofauti sana na wenzetu waasia, kwa mfano tizama wafanyabiashara kama Manji, Dewj, Zakaria, Patels, the list is endless. Mafanikio yao yameongezeka kwa kuendeleza biashara za marehemu wazazi wao, na kubuni mipango mipya inayoendana na wakati (Appropriate Expansion plans).
Kwa Wazalendo wa kitanzania ni kitendawili kishochoteguka, imagine hata mke/mume anakuwa hafahamu details za biashara/shughuli na pengine hata kazi ya mume wake kama akifariki anataka ashughulikeje kuhusu mafao yake. Yaani everything is inside "the black box". Serikali kupitia taasisi zake imeshindwa kuelimisha watanzania, sasa taasisi binafsi nazo sijui zinasubiri nini?
Ujasiriamali unazaliwa nao - si huu wetu wa kujifunza kwenye makongamano ukipata shida mbili tu mtaji unaula then chali --- inabakia kusimulia marafiki zako --oooohh nilishakuwa na taxi mbili ..... oohh bajaji wakanipora ..nikafuga nguruwe, kuku wakafa...mara ooohh wakanivunjia duka sasa duka lipi hatujui - who will be intrested with your stories anyway?
Hawa ndiyo wajasiriamali wa kibongo....mineno kibao ufasini sifuri, kukupa kila kukicha.