moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 127,064
- 695,604
Mkuu MTOCHORO huwezi kuona faida ya misikiti kwakuwa hutaki, hata faida ya dini yako hutakuja kuiona maana hata huko uliko ingawa dini yako ina wafuasi wengi lakini imeshindwa kukomesha mauaji ya vikongwe na albino,kukeketwa kwa mabint, uharibifu wa mazingira kwa faida ya mifugo na wizi wa mifugo. Mkuu huku pwani miaka hii kuna wafugaji wamefuata marisho, na kazi kubwa ya misikiti ni kuwapa NENO ili waachane na imani zinazokiuka haki za binadam, kwamba vikongwe na albino wana haki ya kuishi na miti pia iheshimiwe na hivyo ilindwe kwa faida yetu na vizazi vyeti. mkuu karibu pwaniKwenye maeneo ya Wafugaj na uislam wapi na wapi wapo huko pwani wanavua kwa mabom ila kiukweli mimi sijawahi kuona mchango wa uislam
Mkuu MTOCHORO huwezi kuona faida ya misikiti kwakuwa hutaki, hata faida ya dini yako hutakuja kuiona maana hata huko uliko ingawa dini yako ina wafuasi wengi lakini imeshindwa kukomesha mauaji ya vikongwe na albino,kukeketwa kwa mabint, uharibifu wa mazingira kwa faida ya mifugo na wizi wa mifugo. Mkuu huku pwani miaka hii kuna wafugaji wamefuata marisho, na kazi kubwa ya misikiti ni kuwapa NENO ili waachane na imani zinazokiuka haki za binadam, kwamba vikongwe na albino wana haki ya kuishi na miti pia iheshimiwe kwa faida yetu na vizazi vyetu. mkuu karibu pwaniKwenye maeneo ya Wafugaj na uislam wapi na wapi wapo huko pwani wanavua kwa mabom ila kiukweli mimi sijawahi kuona mchango wa uislam