Reginald Mengi ajitoa rasmi kwa Lowassa

Status
Not open for further replies.
Wajanja wa Kaskazini washastukia kuwa walikuwa wanalishwa Kassa...amebaki Mbowe tu kufanya maamuzi magumu
 
Unaweweseka,hayo malori ndo yatapiga kura?? Watu hao hao mnazunguka nao kila kona,mnawahutubia jimbo hili leo,kesho watu hao hao jimbo lingine,watu wameamka

Mkuu hiyo blow ya kidevu imekuwewesesha mpaka unajibu vitu tofauti na mada. Pole
 
Hao wasanii hata wote wachukueni kwani ni sawa kuishiwa risasi kisha ukatumia gobole kama fimbo,
kwani ukweli ni kwamba aalS .Dr ni rasasi ya mwisho kwenye gobole lenu....hiiiiiiiihaoooo

Mazee mbona kama machozi yanakulenga
 
Hao wasanii hata wote wachukueni kwani ni sawa kuishiwa risasi kisha ukatumia gobole kama fimbo,
kwani ukweli ni kwamba aalS .Dr ni rasasi ya mwisho kwenye gobole lenu....hiiiiiiiihaoooo

Kla msanii anakuja na washabiki wake. Wewe msanii wako atakuwa Mbasha.
 
huna akili muanzisha uzi, sisi hatumjui mengi wala nani. majibu 25,
 
Hao wasanii hata wote wachukueni kwani ni sawa kuishiwa risasi kisha ukatumia gobole kama fimbo,
kwani ukweli ni kwamba aalS .Dr ni rasasi ya mwisho kwenye gobole lenu....hiiiiiiiihaoooo

Juzi kati tu nilimuona mengi itv akilia kuwa anatakakuwawa na jk,sasa wamepatalini achauongo yote mtafanya yote mtasema lakini wenye vichinjio ni ss.pengine mengi hata asiende kupiga kura.ovyooooo.
 
Usimwambie zaidi please,huyo akili yake ni nyepesi kama condom za MSD achana nae.
 
Machaga hayajui siyasa zaidi ya kutukana ndiyo maana hata mapenzi hayajui tena ni wauza vyombo na vitenge ndiyo watukanaji hao'kisa hawataki kulipa kodi nyoooo kuna inchi isyotoza kodi hapa duniyani?!!!!!!jingaa nyie

He! nikome mm sio mchaga lakini matusi najua hasa kwa mtu mwenye kichwa kikubwa kama wewe alafu ubongo wa mende.
 

Haya majitu ya ccm hayana hata chembe ya adabu walahuruma,hospitali hata panado hakuna wao wana wapa hawa wasanii uchwara 50 milion kwa kila mmoja,Ss jamani rey nae ni msanii si wange pereka hata kwenye kaburi la kanumba tungebadilika tukarudi ccm.
 
No alitumbuiza cku ya uzinduzi wa ukawa vs lowasa wewe unamsema anaedai kua atakua mbunge wa moro sio?
 
No alitumbuiza cku ya uzinduzi wa ukawa vs lowasa wewe unamsema anaedai kua atakua mbunge wa moro sio?

Mtu ukiwa ndani ya ukawa unakuwa mtu safi na mtakatifu sana ila ole wako utoke.
 

Mkuu umenena vizuri sana...momentum inepungua baada ya kukaribisha makapi kuongoza jahazi..Gross miscalculations!!
Eti leo tumefikia stage kuwa Upinzani wanapa kigugumizi kutamka neno "fisadi"! Amakweli 4U Movement wamechukua uskani na kuweka M4C kiti cha abiria. Inauma sana lakini hakuna jinsi
 
Itv mnaonyesha habari halisi za UKAWA saa 12 asubuhi, mnaogopaga nini?!
Tafadhali mfano ya mda huu ambayo wananchi walikua kwenye mkutano wa ccm baada ya kuona wa mgombea mwenza wa UKAWA anapita, wakaondoka wote kwenda kulala barabarani wakitaka aongee chochote, muirudie saa 2 usiku.
 
Naona mnaanza kuzungumzia kura moja moja.

Ukawa wamejipanga.
 
Tumechoka.Mabadiliko lazima.
 
Usmjibu mpumbavu na upumbavu wake usije fanana nae
mith 32:...
 

Taarabu and mipasho at work!
Eti kazi tu! ! ! Mtu mwenyewe kula kulala tena kwa shemeji
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…