Regina Lowassa ni mwanamama wa mfano, mke bora

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,004
Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.

Ndoa ina mambo yake!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
 
mnasema j foram hamna wife materio vp haje akave hii nafasi humu
 
Mke wa mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA, Ndugu Edward Lowassa ni wa kupigiwa makofi ya pongezi. Yuko na mumewe bega kwa bega. Hamwachi. Ametoka naye huku;akaenda naye kule. Hongera sana Regina Lowassa. Wanamama wa Tanzania mpatecha kujifunza toka kwake.

Ndoa ina mambo yake!

Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam

Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.
 
Mimi nampongeza ujasiri aliounyesha tangu sakata la Richmond mwaka 2008, CCM walipo kata jina la mumewe Dodoma, wakati wa maamuzi magumu hadi anahamia CDM a,k Ukawa. Huu ni ujasiri wa hali ya juu kwa mwanamke hasa wa kitanzania. Hongera mama nchi ya maziwa na asali ipo karibu sana na utapumua muda si mrefu.
 
Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.

Mama Pamela si Mmasai ni Mrangi katoka kijiji kimoja na Jaji Lubuva wa Tume ya Uchaguzi
 
Katika wanawake wanaoongoza kunyanyasika duniani na mfumo dume ni wanawake wa Kimasai.Mwanamke wa kimasai hana sauti kwa mumewe yaani acha tu.Ni wa kuburuzwa tu hana hiari.Uliza mwanamke yeyote wa kimasai akwambie.Huyo mama naomba tu mumuache kama ni mateso aliyopata yanamtosha msimwongezee mengine.Nawaombeni tafadhali.Na naomba nimpe pole ya dhati kwa yote mama Regina LOWASA.Amwachie tu mwenyezi Mungu.

Nani kakudanganya kuwa mke wa Lowassa ni mmasai? Acha kujidanganya na kudanganya watu wengine
 
Mke wa Lowassa ni mfano wa kuigwa,huwezi kumfananisha na Wale wamama wa mipasho,wanaoimba taarab mbele ya wazee wa CCM nayo CCM inabariki hayo.
 
School ni jambo jema sanaaa...
Ukiweza kumaliza University huwa haukosi good manners..
Tusiwalinganishe na hao wengi, hatutamtendea haki Mama Regina!
 
Back
Top Bottom