Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
Unahitaji kuwa na brain ya kuelewa subject matter, mleta hoja anamzungumzia Regia as a politician not as a person na humu ni mwake, mahala husika.Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
Speaker, asante kwa hii, nami pia nilimfahamu Regia kupitia JF, wakati wa harakati za uchaguzi mkuu, thread fulani ya Mzee Mwanakijiji ndio ilinifungua macho. Kesema ukweli ni mwanamke wa shoka haswa. Nilipomuona pale Bungeni Dodoma, nilimkubali!.Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!
Nimemfahamu kupitia jf,na nilipojua anagombea ubunge,....to me she was and still is a hero!
Leo pale mabibo,nilitamani sana kumuona baada ya kujua atakuwepo pia!
Ilipofika mda wa zitto kumuita jukwaani nilishangazwa na swali alilo muuliza
"Utaweza kupanda hapa?" sikujua kwa nini,nilihisi labda kwa kuwa ni parefu sana!
Alipo panda na nikamuona,Sikuwahi kujua hali yake.
Kwa jinsi nilivo muona,.......REGIA MTEMA NI MWANAMKE JASIRI MWENYE UWEZO WA KUTHUBUTU NA NI MFANO WA KUIGWA KWA WAMAMA WOTE!
Am proud of you Regy....
Sikuwahi kumuona tofauti na avatar yake hapa jf!

Yaani kipindi cha mwezi mzima wa october hukubahatika kuperuzi media? Mbona alikuwa akitokea mahazetini kwa sana tu? Yaani hata wakati wa kuapishwa wabunge hukufuatilia?
Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika
We inaelekea hata hujui kinachoendelea na kupayuka. hapa JF kuna jukwaa husika?
Regia mama endelea kupambana
Go get a life!Mada yako haihusiani na siasa peleka kwenye jukwaa husika