Regia Mtema

Status
Not open for further replies.
...sauti ya wengi, sauti ya Mungu, they say.

Ombi: tafadhali mshauri Mengi afanye km ww apo kwny 100,000/mwez kwa ndugu yetu mlemavu. Natumain kitamsaidia kuanzisha income ya kudumu aondoke kwny utegemez.

Kile chakula cha Mengi cha mara moja kwa mwaka ni wazo zuri, na compassion tukuka. Lkn natamani kingekua na kitu endelevu (sustainable). Awawezeshe kutafuta icho chakula... Even if its a few at a time. Remember that sayin....Don't give fish to a man, teach him how...? Otherwise, God Bless!
 
Napenda vile mengi anavo fanya (kuwa na chakula na walemavu),....lakini sielewi ni nini kina mzuia kujenga kituo cha kutunza atleast walemavu (wasio jiweza kabisa) maana sio kila mlemavu hajiwezi!
Nadhani kwa hili angekuwa amesaidia walemavu wengi sana,ambapo hata wafadhili wangekuwa wanajua kwamba wakitoa msaada kwa ajili ya kituo flani,basi wanasaidia walemavu kuendelezwa hata kielimu nk
 
Hivi angekuwa sio mmbunge ungeuliza hili swali?

Regia Mungu akubariki ubakie ulivyo( mwenye upendo, usikivu, heshim,ukarimu, uadilifu na ucha Mungu)
nakuahidi sala zangu Mungu akulinde na akubariki ktk adma yako ya kutumikia wananchi.

Kichaa tu huyo,"penda penda" ukitaka kumuita hivo ni sawa
 
Hongera dada kwa moyo wenye upendo. Mheshimiwa dada Regia. Naona na wewe ungewekewa mguu wa bandia ili kukurahisishia kutembea ili usipate taabu zaidi. Niombi tu. Tunakupenda wananchi wako!
 
Huyu ni Mkatoliki na agenda yake kubwa ni kuona Padre Dr. Slaa anaingia madarakani ili Wakatoliki wachukue nchi. Waislamu hawatokubali kuona Padre Dr. Slaa anakuwa Rais.
 
Nice idea!
 
Ni lini dini yoyote iliamua nani awe raisi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom