alikuwa anaovertake gali lingine. alikuwa anaendesha gari aina ya Landcruser t296bfm ambalo ni mali yake. gari imepinduka mala tatu. hakugongana na mtu mwingine bali alishindwa kuicontrol gari na kuingia polini. majeruhi wengine waliokuwa kwenye gari akiwemo mama yake mzazi ni;
:roger abdallah 😛aulina
:simon
:bernedeta 😛eter
raurence. wa saba hajajulikana jina. Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. amina.
source itv. Mia
"Naipenda sana Kilombero.MUNGU nisaidie nitimize ndoto zangu za kuwatumikia vyema Wananchi wanaoniamini na kunitegemea.Amen"... Maneno yake. Poleni wana Kilombero. Mungu ndiye muweza, na amempenda zaidi yetu. Inna Lilahi wa Inna Ilaihu Rajiun. Tumshukuru Mungu, japo inauma sana.
Bado nashindwa kuamini ninachokisoma hapa.
Lakini kama ni kweli, ni kazi ya Mungu na haina makosa.
Na kama ni kweli, ninamuombea Mungu Amlaze Mahali Pema.
Na kama sio kweli, uzushi kama huu USIWEPO.
INAUMA!
Inaniuma sana. Kwani ni jumatano nilikua nachart nae fb pm kuhusu mambo flanflan na maoni wanayokusanya ya matatizo mbalimbali ya wananchi ili wakayasemee Bunge lijalo.
Siamini kwani najua ni jumatatu ya keshokutwa ndo ilikuwa ahadi nionane nae na mwenzangu mmoja.
Hakika ni nuru iliyozimika mbele yangu na vijana wenzangu. Pia ni pigo kubwa kwa chama.
Rest in eternal peace kamanda Regia
Aghrrrrrr which is which? Hata kama ni kweli? Zinatumika saa za wapi hapa?! Post hii imewekwa 1250, ikinukuu(?) edition ya Maxence Melo ya 1336... Inazidi kutuchanganya wengine.
Mnawadhalilisha mbwa. Hakuna mbwa x*'yz'å* kama hule dude la nyuma wakati wa uzazi wa punda. Lilizaliwa mtaroni kwa bahati mbaya mama yake akiruka mtaro.
Ni juzi tu amerodhesha kero zetu hapa akiahidi kuzifanyia utafiti na baadae kuzifikisha mjengoni. Kazi ya Mungu haina makosa...,
R.I.P Hon., Mtema.