Kuna thread inayohusiana na hayo maswali yako,ingekuwa vema upeleke huko au uisome hiyo thread .Ni kweli ni jambo la kusikitisha sana,lakini inapotokea makosa lazima tuangalie tumekosea wapi ili marekebisho yafanywe na lisije tokea jambo kama hili tena.Mimi nina maswali kadhaa:
Tukiweza kuyajibu hayo maswali tutaweza kujua tujirekebishe wapi na tumekosea wapi.
- Huyu dada alikuwa ni mlemavu wa mguu na bunge limempatia gari kwa ajili yake la mkopo,bunge halikuweza kuconsider hali yake na kumpatia gari special kuendana na hali yake.
- Pili wabunge huwa wanapewa allowance ya madereva, ili waweze kupata madereva ambao ni professional kwa kazi yao ilikuwaje mbunge wetu akaendesha hilo gari mwenyewe?
- Sheria ya nchi inasemaje katika uendeshaji wa magari halihaji mtu unaulemavu?
RIP Regia Mtema
Ratiba ya msiba: Kesho tarehe 16 Jan saa 9 jioni Mwili wa Ndugu yetu Regia Estelatus Mtema utakuwa kanisa Katoliki Tabata Chang'ombe kwa ibada na heshima za mwisho kwa familia,ndugu na marafiki. Tarehe 17 saa 4 asubuhi mwili utakuwa viwanja vya Karimjee kwa heshima za mwisho kwa Wanachama wa Chadema, vyama vingine vya siasa,wabunge, viongozi wa serikali na wananchi wote. Tarehe 18 mwili utazikwa Morogoro
Ni kweli ni jambo la kusikitisha sana,lakini inapotokea makosa lazima tuangalie tumekosea wapi ili marekebisho yafanywe na lisije tokea jambo kama hili tena.Mimi nina maswali kadhaa:
Tukiweza kuyajibu hayo maswali tutaweza kujua tujirekebishe wapi na tumekosea wapi.
- Huyu dada alikuwa ni mlemavu wa mguu na bunge limempatia gari kwa ajili yake la mkopo,bunge halikuweza kuconsider hali yake na kumpatia gari special kuendana na hali yake.
- Pili wabunge huwa wanapewa allowance ya madereva, ili waweze kupata madereva ambao ni professional kwa kazi yao ilikuwaje mbunge wetu akaendesha hilo gari mwenyewe?
- Sheria ya nchi inasemaje katika uendeshaji wa magari halihaji mtu unaulemavu?
RIP Regia Mtema
Ni vema kujifunza kuheshimu imani za watu wengine ilimradi hazitudhuru...Hapo ndipo kiini cha amani kilipokunani tena.
Kwetu hairuhusiwi kabisa kuiweka maiti siku zote hizo. Mtu akifariki tu jambo la kwanza ni kumsitiri na kumzika. Hakuna zaidi.
Ok poleni sana .
Ni vema kujifunza kuheshimu imani za watu wengine ilimradi hazitudhuru...Hapo ndipo kiini cha amani kilipo
Nataka kujua kama AIRBAG z-lifunguka au ziligoma ili tuwashtaki TOYOTA
maisha haya jamani bac 2, bado siamini kabsa....