Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,228
- 13,448
Wakuu hakuna anayekuja na taarifa kuwa hii habarini ya ukweli au ni uzushi wa mtaani maana namuona Invisible na Max humu
Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.
Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake
Acheni utani.
OTIS