Habari zilizothibitishwa na JF ni kuwa Regia Mtema (mb) amepata ajali na Kufariki dunia eneo la Ruvu Darajani.
Ndugu wa Karibu wanasema alikuwa kaenda kukagua Kiwanja alichopewa na Wazazi wake na baadae kwenye mkutano wa CHADEMA huko Kibaha.
Habari hizi zimethibitishwa.
RIP but ndio nani?
Yote umenisemea afrodenzi, kwenye kijani nimesahihisha kwa nia njema kabisa.
Habari ya kusikitisha hii!!
Hebu fuatilia uje na habari yenye uhakika plse!!