regia pumzika jana tumemzika dr kibatala miongoni mwa wazawa wa kilombero na alikuwa daktari jabali wa upasuaji....tulikuwa wote wale muhimbili kumuaga katika safari yake ya mwisho..leo wewe umekwenda.....utaniliza sana regia why did u do this to me....daaah pumzika bana
ni kama ndoto ambayo huenda ikawa siyo tukitoka usingizini.
binafsi nilikuwa nakukubali kwa kuwa ulikuwa mkweli na ulikuwa tayari kutoa ufafanuzi wa mambo mbalimbali hasa hapa JF.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi. AMENI