Dah, Regia!!! Naanza kuamini maisha ya mwanadamu ni mafupi sana. Hata hivyo imekuwa too early, too sad and too much for us all. Tutaishije Tanzania bila Reggia?
Mungu amrehemu Regia. Kazi ya mungu hakuna wa kuingilia.Ameshawafanyia mengi watanzania tunakuombea mama. Nasikitika tu kwamba sitaweza kuongea na wewe tena ndani ya uso wa dunia hii, sitakuona bungeni ukiuliza maswali yale ya kuwatetea watanzania! Hutaweza kuwasilisha zile kero zetu watanzania tulizotoa juzi!Regia Regia Mungu akupokee. Jamani!maisha hayana maana tena!
Guys it is true, i know their family,Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi Amen. Bwana ametoa Bwana ametwaa jina la Bwana lihimidiwe. INAUMAAAAAAAAAAAAAA SANAAAAAAAAAAAAAA JAMANIIIIIIIIIIIIIIIIII OOOOOOOOOOH
R.i.p regia mtema. Mungu na awape faraja familia yake. Pia nawapa pole uongozi wa chadema na wanachama wote wa chadema, bila kusahau watanzania wote kwa ujumla wao.
Jamani inastua na kuumiza moyo. Sisi tulikupenda lkn Mungu amekupenda zaidi. Umpe ee Bwana raha ya milele na mwanga wa milele umuangazie, kwa mastahili ya mema aliyotenda akiwa bado dunia hii ukampatie mahali pa mwanga, faraja na amani, Amina.