?????????????????????????????????????!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ee Mungu eeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!!!!!!!
Nasikia kizungu zunguuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Huu ulioandika hapa NI UTOTO, NI USHAMBA, NI UHUNI NA NI UFUKUNYUKU. Yaelekea kwako huu msiba ni sehemu ya kuletea masihara. Hizo alama za kuuliza tutakuandikia kwenye aburi lako next week
Hii nimeinyofoa kwenye Thread alitoianzisha kamanda Regia mwenyewe" Tunakusanya kero ambazo ungependa zisemwe Bungeni na nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA"
Regia : Ha ha ha!Umenichekesha.Kuna Siri katika Shukrani Mkuu,Mbwembwe nazo ni muhimu vile vile ni katika kunogesha Hotuba...Anyway limepokelewa na litafikishwa mahali husika.
By Ngongo
Regia.
Bado naendelea ..........
[23] Wabunge/Mawaziri punguzeni mbwembwe wakati wa kuwasilisha hoja mbali mbali mjengoni.Utasikia Mheshimiwa Spika namshukuru Mume/Mke wangu atataja jina,kisha ataendela na utaratibu wa mbwe mbwe namshuruku watoto wangu Ngongo anasoma Alberta University Canada,PakaJimmy anafanyakazi UNICTR Arusha ,Regia yuko hapa hapa mjengoni,ritz anapiga mzigo BOT.Akimaliza anahamia Wizara anayoisimamia Namshukuru sana Katibu Mkuu anamtaja jina ..........Muda wa salamu na pongezi unachukua zaidi ya dakika kumi.