W wamadish JF-Expert Member Jan 17, 2013 438 87 May 21, 2014 #1 Umeemda dukani kununua sumu ili ukajiuwe, ukatoa elfu kumi kwa muuza duka, je kuna haja ya kusubiri chenji?
Umeemda dukani kununua sumu ili ukajiuwe, ukatoa elfu kumi kwa muuza duka, je kuna haja ya kusubiri chenji?
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,552 48,148 May 21, 2014 #2 Huyo anatishia nyau, chenji ya nini wakati mkataba wake anaenda umaliza
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,796 May 21, 2014 #4 wamadish said: Umeemda dukani kununua sumu ili ukajiuwe, ukatoa elfu kumi kwa muuza duka, je kuna haja ya kusubiri chenji? Click to expand... nitasubiri kwakuwa ni haki yangu mpaka kaburini! lakini maisha yenyewe ya kujitoa roho yako wapi? hata kabla hujawaza tayari ni wa juzi
wamadish said: Umeemda dukani kununua sumu ili ukajiuwe, ukatoa elfu kumi kwa muuza duka, je kuna haja ya kusubiri chenji? Click to expand... nitasubiri kwakuwa ni haki yangu mpaka kaburini! lakini maisha yenyewe ya kujitoa roho yako wapi? hata kabla hujawaza tayari ni wa juzi
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,796 May 21, 2014 #5 Fukara said: interesting.. Click to expand... Fukara ID yako imenifikirisha mno kumbuka perception creates reality..!
Fukara said: interesting.. Click to expand... Fukara ID yako imenifikirisha mno kumbuka perception creates reality..!
thinky JF-Expert Member Jan 13, 2014 2,121 260 May 21, 2014 #6 wamadish said: Umeemda dukani kununua sumu ili ukajiuwe, ukatoa elfu kumi kwa muuza duka, je kuna haja ya kusubiri chenji? Click to expand... sio chenji ni masalia au balance,utachukua mana ni shetani mwenzio.Ili iwasaidie watakao kuzika
wamadish said: Umeemda dukani kununua sumu ili ukajiuwe, ukatoa elfu kumi kwa muuza duka, je kuna haja ya kusubiri chenji? Click to expand... sio chenji ni masalia au balance,utachukua mana ni shetani mwenzio.Ili iwasaidie watakao kuzika