Refresh your mind!

wamadish

JF-Expert Member
Jan 17, 2013
438
195
Umeemda dukani kununua sumu ili ukajiuwe, ukatoa elfu kumi kwa muuza duka, je kuna haja ya kusubiri chenji?
 
HARUFU

Platinum Member
Jan 21, 2014
28,301
2,000
Huyo anatishia nyau, chenji ya nini wakati mkataba wake anaenda umaliza
 
Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
148,621
2,000
Umeemda dukani kununua sumu ili ukajiuwe, ukatoa elfu kumi kwa muuza duka, je kuna haja ya kusubiri chenji?

nitasubiri kwakuwa ni haki yangu mpaka kaburini! lakini maisha yenyewe ya kujitoa roho yako wapi? hata kabla hujawaza tayari ni wa juzi
 
thinky

JF-Expert Member
Jan 13, 2014
2,121
0
Umeemda dukani kununua sumu ili ukajiuwe, ukatoa elfu kumi kwa muuza duka, je kuna haja ya kusubiri chenji?

sio chenji ni masalia au balance,utachukua mana ni shetani mwenzio.Ili iwasaidie watakao kuzika
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom