Mimi naishi na wazazi wangu hivyo muda wa kumegwa naona kama hautoshi. Huwa napenda kila siku nifanye mapenzi hiyo ndo hobby yangu.
Sifa za mume.
1. Awe na uume mkubwa na mrefu ili nitosheke
2. Awe na uwezo wa kunipiga angalau bao 2 (kama mgonjwa nitavumilia)
3. Asiwe na kipato kikubwa kwani hao wanasumbua, wanakua busy atasababisha nitoke nje ya ndoa.
4. Akubali tuwe tunaishi wenyewe tu kwani huwa nina makelele sana wakati wa kufanya mapenzi.
Mimi nimesoma hivyo naamini nitapata kazi nzuri na tuta enjoy maisha na mume wangu
Karibu
We are witnessing the downward spiral toward the end of MMU
Wanajamvi, mimi ni mdau mkubwa sana wa hili jukwaa na leo baada ya kupata utakaso kidogo nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu nini hasa nia ya kujumuika pamoja jamvini... Nikakumbuka shule za Shy, safari za mbugani, vikao vya jioni nasaha za akina MJ1, BHT, PJ WOS, FL1 Mbu, Balantanda, nk. pia nikaanza kupata smile ya ajabu nikisoma the happiness the wapwaz, nephews nk wanazonipa kila siku. sisahau NN, JS, Pearl, Boss, Nguli etchapo sijagusa DC, Mchungaji Masa, BE, vivan, lizy, preta, lilyflower, baba desi na wengine wengi wasiosemekea
Lakini kuna kitu naomba niseme, tumekua kama tunaanza kwenda kwenye jukwaa la wakubwa kwa sana (na mimi ni mmoja wao)... this may not be the best for this jamvi... can we do something? mfano mdogo sana ni mtu kama huyu hapa chini juzi kaja na issue ya tIGO, tunakichangia na kuomba iende lile jukwaa letu la over 18, leo kaweka nyingine
wakati naperuzi, nikakuta kwamba mmoja warning tayari kutoka kwa mdau
its a valid one
Nimeona wa Arusha wameanza vizuri sana na shukrani kubwa kwa kamanda PJ na majenerali wake kwa kutukumbusha
Je, are we heading to the wrong direction?
Je jukwaa la wkubwa ni sawa na MMU?
Is there anything we can change for the better
or we like it likt it is now?
Nawasilisha
Acid,
This is a timely ALERT!
Quo vadis MMU?
Bora umesema maana wengine tulishajikatia tamaa kwa namna mambo yanavyoenda.Staha inapungua kwa sana siku hadi siku.
Mnagi ni kweli kabisaMkuu Acid, hii inatokana member wengi kujiunga na wengi wao hawasomi rules za jf! Zama zile ulizozisema ni kweli MMU ilikua bomba sana yaani mtu ulikua unaenjoy kusoma mawaidha murua kutoka kwa wadau! Utani ulikuwepo na sio sana! Ila kama invisible alivyosema njia nzuri ni kubonteza kitufe cha kuripoti na wanaimove fasta any thread iliyokaa ndivosivyo! Bila kufanya ivi kuakua hakuna tofauti kati ya kule kwa maria rosina na hapa!
Mkuu uko sahihi kabisa, ila nilicholeta ni mfano tena wa tafsida haswaa, kwani mengine huishia kuripoti kwa mods kuhamisha ndugu yanguWOS & Acid,
Nakubaliana nanyi kwamba kuna watu wanaleta mambo ambayo ni zaidi ya yale tutayoyategemea hadharani. Ila kuna vitu vingine nadhani bado vinatumia lugha ya kawaida. Mfano wa hiyo post aliyoonesha Acid, binafsi sijaona kama ina lugha kali kiasi cha kustahili kupelekwa kule kwa wakubwa. Nadhani bado tuna tatizo la kutaka baadhi ya maneno hata yakitumia lugha ya kuficha yasitajwe hadharani kitu ambacho binafsi naona si sawa.
I stand to be corrected.....DC
SAFI SANA BTK, UKISOMA POST YANGU NAMBA MOJA KUNA SEHEMU NASEMA MIMI PIAKama kubadilika itabidi wote mbadilike maana mada za "infidelity" nazo zimevuka mipaka. Unakuta watu wanajivunia mpaka wanapeana na "titles" kabisa!!
Unakuta mtu kajipinda kutoa stori yake ya "infidelity" kwenye baa. Halafu anapongezwa as if ni jambo la heshima na la maana.
Badilikeni nyote na si kunyooshea vidole wengine.
SAFI SANA BTK, UKISOMA POST YANGU NAMBA MOJA KUNA SEHEMU NASEMA MIMI PIA
lengo si kusema tusiongee infii, hiyo ipo na itaendelea kuwepo... lengo ni kuiaddress kama elimu kwa jamii bila kufanya under-ages wadharau ndoa na wazazi wao
talking it out is fine because we all know it is there since the history of existence. What i object to is the glorification of it by some of the members in here.
When you have people that actually sit down and devise laws,by-laws, dos and don't's, and other related rules of infidelity and then come and post them here and get praise and support from their friends, what kind of meassage do you think we as members send out to other prospective members, existing members, and the general public at large?
we are contributing to the dumbing down of this so called forum or home of the great thinkers. Infidelity should be strongly discouraged and not elevated to celestial glory by postings such as "natafuta infi.."
the late great michael jackson once sang
"i'm starting with the man in the mirror...
I'm asking him to change his ways...
If you wanna make the world a better place...
Take a look at yourself, and then make a change..."
ujumbe nimeubeba kama ulivyo na naufanyia kaziTalking it out is fine because we all know it is there since the history of existence. What I object to is the glorification of it by some of the members in here.
When you have people that actually sit down and devise laws,by-laws, dos and don't's, and other related rules of infidelity and then come and post them here and get praise and support from their friends, what kind of meassage do you think we as members send out to other prospective members, existing members, and the general public at large?
We are contributing to the dumbing down of this so called forum or home of the great thinkers. Infidelity should be strongly discouraged and not elevated to celestial glory by postings such as "natafuta infi.."
The late great Michael Jackson once sang
"I'm starting with the man in the mirror...
I'm asking him to change his ways...
If you wanna make the world a better place...
Take a look at yourself, and then make a change..."