Reflection: Mahusiano, Mapenzi na Urafiki - Tunaelekea wapi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Reflection: Mahusiano, Mapenzi na Urafiki - Tunaelekea wapi?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by TIMING, Dec 12, 2010.

 1. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #1
  Dec 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Wanajamvi, mimi ni mdau mkubwa sana wa hili jukwaa na leo baada ya kupata utakaso kidogo nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu nini hasa nia ya kujumuika pamoja jamvini... Nikakumbuka shule za Shy, safari za mbugani, vikao vya jioni nasaha za akina MJ1, BHT, PJ WOS, FL1 Mbu, Balantanda, nk. pia nikaanza kupata smile ya ajabu nikisoma the happiness the wapwaz, nephews nk wanazonipa kila siku. sisahau NN, JS, Pearl, Boss, Nguli etchapo sijagusa DC, Mchungaji Masa, retired comedian asprin, geoff, newcomer finest, washkaji akina rr, next level, BE, vivan, lizy, preta, lilyflower, baba desi na wengine wengi wasiosemekea

  Lakini kuna kitu naomba niseme, tumekua kama tunaanza kwenda kwenye jukwaa la wakubwa kwa sana (na mimi ni mmoja wao)... this may not be the best for this jamvi... can we do something? mfano mdogo sana ni mtu kama huyu hapa chini juzi kaja na issue ya tIGO, tunakichangia na kuomba iende lile jukwaa letu la over 18, leo kaweka nyingine
  wakati naperuzi, nikakuta kwamba mmoja warning tayari kutoka kwa mdau
  its a valid one

  Nimeona wa Arusha wameanza vizuri sana na shukrani kubwa kwa kamanda PJ na majenerali wake kwa kutukumbusha

  Je, are we heading to the wrong direction?
  Je jukwaa la wkubwa ni sawa na MMU?
  Is there anything we can change for the better
  or we like it likt it is now?

  Nawasilisha na kaujumbe ka invisible kaliko kwenye signature yake vilevile

  Ficha Upumbavu wako; Usiifiche Hekima yako!
  [​IMG]
  Thank you for supporting JF! <---(click to support us)
  Waliochangia 2010: <--- (click to read)
  JINSI YA KUCHANGIA JF<---(click to read)
  :coffee:
  24/7 Email SUPPORT: support@jamiiforums.com
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Dec 12, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu Acid, hii inatokana member wengi kujiunga na wengi wao hawasomi rules za jf! Zama zile ulizozisema ni kweli MMU ilikua bomba sana yaani mtu ulikua unaenjoy kusoma mawaidha murua kutoka kwa wadau! Utani ulikuwepo na sio sana! Ila kama invisible alivyosema njia nzuri ni kubonteza kitufe cha kuripoti na wanaimove fasta any thread iliyokaa ndivosivyo! Bila kufanya ivi kuakua hakuna tofauti kati ya kule kwa maria rosina na hapa!
   
 3. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #3
  Dec 12, 2010
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ni ma frustration tu ya kawaida na wengine ni madogo wenye masham sham kibao. Hawajui jukwaa husika wanabandika bandika tu kila mahali. Kule kwa wakubwa ni poa tu tunafunzana mengi tusiyajua
   
 4. F

  Ferds JF-Expert Member

  #4
  Dec 12, 2010
  Joined: Oct 27, 2010
  Messages: 1,267
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135

  akili ni nywele kila mtu anazake, wengine hawachani nywele kabisa, wengi ni wale wakurupukaji, lakini sometimes watu huteleza na kudhani yupo jukwaa la wakubwa hasa ukilizoea sana, kuna kipindi yalinifika mimi haya nilizoea kuposti jukwaa la wakubwa nikajikuta nimeposti vitu flani ktk jukwaa hili bila kujua, nikashambuliwa sana ila niliomba msamaha na post ile ikapelekwa jukwaa la wakubwa. ila ni vyema kukumbushana tatizo la wanajf wengi hawapendi kusoma, hasa post ikiwa ndefu , hata post yako utashangaa watachahgia wachache coz wengi tunataka post za burudani tu za kuelimishana hatuzitaki.
   
 5. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #5
  Dec 12, 2010
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Acid,
  This is a timely ALERT!
  Quo vadis MMU?
  Bora umesema maana wengine tulishajikatia tamaa kwa namna mambo yanavyoenda.Staha inapungua kwa sana siku hadi siku.
   
 6. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #6
  Dec 12, 2010
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  WOS & Acid,

  Nakubaliana nanyi kwamba kuna watu wanaleta mambo ambayo ni zaidi ya yale tutayoyategemea hadharani. Ila kuna vitu vingine nadhani bado vinatumia lugha ya kawaida. Mfano wa hiyo post aliyoonesha Acid, binafsi sijaona kama ina lugha kali kiasi cha kustahili kupelekwa kule kwa wakubwa. Nadhani bado tuna tatizo la kutaka baadhi ya maneno hata yakitumia lugha ya kuficha yasitajwe hadharani kitu ambacho binafsi naona si sawa.

  I stand to be corrected.....DC
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Acid...... kusema ukweli umeniibia mawazo yangu........kweli kabisa tumekuwa tukipotoka either kwka kujua au kutojua.nakumbuka mwanzoni enzi zile niko kwenye frustrations za mapenzi MMU ilinisaidia sana yaani nilikuwa nikileta mada za mahusiano (nyingi zilinihusu mie mwenyewe directly though nilivyoziweka hapa ubaoni ilinibidi niwe natumia lugha ya sanaa zaidi na kuifanya indirect) but guys I was in a shit....... nilisaidiwa sana and bila kuficha MMU ya kipindi kile ndio iliyonifanya nikasonga mbele na sasa am walking head up.

  Kwa sasa hakuna kitu kama hicho, hata mtu akipost mada muhimu inayohitaji attention wengi wetu huipuuza na kukimbilia zle zinazofurahisha jamvi.............. tubadilike jamani.
   
 8. Smiles

  Smiles JF-Expert Member

  #8
  Dec 12, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 1,231
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Acid > kweli umenena, kuna post nyingine humu mtu ukiona title tu unaogopa hata kufungua kilichomo ndani! Inasikitisha kwa kweli, nadhani dhumuni la lile jukwaa lingine kule ni kwa ajili ya post kama hiyo uliyotolea mfano hapo, imagine mtoto chini ya miaka 18 anaingia na kukutana na post kama hiyo! Na tukumbuke hili ni jukwaa huru jamani... Ni vizuri tukabadilika
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  Dec 12, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Kama kubadilika itabidi wote mbadilike maana mada za "infidelity" nazo zimevuka mipaka. Unakuta watu wanajivunia mpaka wanapeana na "titles" kabisa!!

  Unakuta mtu kajipinda kutoa stori yake ya "infidelity" kwenye baa. Halafu anapongezwa as if ni jambo la heshima na la maana.

  Badilikeni nyote na si kunyooshea vidole wengine.
   
 10. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #10
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Tubadilikeni!Tunaipotosha sana jamii kwa mada zisizo ma mashiko.Mfano hai ni hizi mada za "Infedility".
  The way zinakuwa presented hapa kwa kweli sio mfano wa kuigwa kabisaa.
  Na wana JF tukubali kukosolewa pale tunapokosolewa!
  Nashukuru sana Roho wa Bwana amemtembelea ACID leo na amepata ujasiri huu,ni mfano wa kuigwa!
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Dec 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mnagi ni kweli kabisa

  Lengo si kuzuia watu kuzungumzia mahaba au mahusiano... kwani huwezi zungumzia mahanjummat' bila japo neno moja la haba tena ya haja, tatizo ni ile explicit language tunayoitumia

  siamini hii ni gavana ya yeyote bali naamini kwamba wengi tulijifunza na kubadilikia JF hasa kwa kupata honest feelings from women

  Dude, women have a lot of things which if we dont take them seriously, inakula kwetu
   
 12. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #12
  Dec 12, 2010
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  vumilia ndugu hapa utapata ukweli wa ndani kaka
   
 13. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #13
  Dec 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Mkuu uko sahihi kabisa, ila nilicholeta ni mfano tena wa tafsida haswaa, kwani mengine huishia kuripoti kwa mods kuhamisha ndugu yangu

  Nani atasahau ya fidel na Masa na mambo ya zenji? lakini yalikua na tafsida yake ati, raha tupu... mie langu hapa ni angalizo tu kwani hata mimi hutoa hayohayo

  Huwezi uza utumbo ati weye usinuke, mie pia muuza utumbo na addicted kweli ndani ya MMU, nafanya hayohayo...

  THANKS BUDDY
   
 14. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #14
  Dec 12, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  SAFI SANA BTK, UKISOMA POST YANGU NAMBA MOJA KUNA SEHEMU NASEMA MIMI PIA

  lengo si kusema tusiongee infii, hiyo ipo na itaendelea kuwepo... lengo ni kuiaddress kama elimu kwa jamii bila kufanya under-ages wadharau ndoa na wazazi wao
   
 15. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #15
  Dec 12, 2010
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Thread nyingine zinakua na lengo lakutafuta attention tu..sio kuelimisha wala kuburudisha!Asante Acid kwakuwajuza na kuwakumbusha waliosahau kazi ya jukwaa letu hili!
   
 16. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #16
  Dec 12, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Talking it out is fine because we all know it is there since the history of existence. What I object to is the glorification of it by some of the members in here.

  When you have people that actually sit down and devise laws,by-laws, dos and don't's, and other related rules of infidelity and then come and post them here and get praise and support from their friends, what kind of meassage do you think we as members send out to other prospective members, existing members, and the general public at large?

  We are contributing to the dumbing down of this so called forum or home of the great thinkers. Infidelity should be strongly discouraged and not elevated to celestial glory by postings such as "natafuta infi.."

  The late great Michael Jackson once sang

  "I'm starting with the man in the mirror...
  I'm asking him to change his ways...
  If you wanna make the world a better place...
  Take a look at yourself, and then make a change..."
   
 17. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #17
  Dec 12, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...dah, nilidhani naugulia peke yangu.
  Thanks ACID kwa kujitolea mhanga kulitamka hili hadharani.
  Vile vile nimefarijika kuwasoma, kumbe wengi pia mnakwazika na yanayoendelea MMU,
  na JF kwa ujumla.
   
 18. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #18
  Dec 13, 2010
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,611
  Trophy Points: 280
  amen!
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Dec 13, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  ujumbe nimeubeba kama ulivyo na naufanyia kazi

  ... be back
   
 20. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #20
  Dec 13, 2010
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  hamna ninaemuelewa kwenye hii post....!
  kuanzia ACID mpaka THE LAST BUT NOT LEAST POSTER wote naona mnafanya maisha magumu

  1)-wengi wenu naona mnavikimbia vivuli vyenu

  2)-kakaangu acid naona UNAZEEKA SASA,bora uhame tu urudi kwenu maswa

  ANAEAMINI KWAMBA HAFANYI INFIDELITY (hapo juu) AKIRI WAZI WAZI KWENYE HII MADA!......

  infidelity ni ''ukweli unaohuzunisha''
   
Loading...