Lucky Star
JF-Expert Member
- Jul 16, 2017
- 1,911
- 3,273
Baby Driver hapana, ila kila mtu na hitaji lake.
Kama ni pombe, hii haina uwezo wa kupunguza walau 2% za uwezo wa akili yangu kufikiria, maana hainileweshi
Baby Driver hapana, ila kila mtu na hitaji lake.
Mtafute Tom Hanks war movie mpya...2020Movie za siku hizi computer nyingi sana,huwezi kukutana na ladha za action kama Terminator 1 2&3 au John Rambo,au Missing In Action za 70s na 80s.
War movies ndo kabisa hata kuangalia trailer tu nashindwa naona hazina uhalisia niliouzoea kwenye picha za zamani.
Check terminator ya mwisho..cjui inaitwaje vile...I guess dark fate 4Movie za siku hizi computer nyingi sana,huwezi kukutana na ladha za action kama Terminator 1 2&3 au John Rambo,au Missing In Action za 70s na 80s.
War movies ndo kabisa hata kuangalia trailer tu nashindwa naona hazina uhalisia niliouzoea kwenye picha za zamani.
Moments zao za ushoga aint nastier anyway.. Cz binafsi sikunote kama ni mashoga hadi nilivyofafanuliwa.. My mind was treating their moves as part of muvi drama!Nishaichiki ila huo ushoga wao ndio unaniudhi tu
Mkuu huwa napenda sana movies zinazohusiana na mambo ya battleships, hasahasa vita za subMarinesOperation Red Sea tafuta hiyoo utaelewa maana ya NAVY..