Recommendation | Ukipata muda tazama filamu hizi

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
35,684
106,801
Mate..
I'm giving you the list of some action movie..HardCore movies.
Watch them..Enjoy.

...Not Sci-Fi Movies or other Genre..
Naamza na hii familia ya Pitt na Jolie
FB_IMG_15975083150843792.jpeg
FB_IMG_15975084041676172.jpeg
FB_IMG_15975083923247694.jpeg
 
Hata mimi niliwapenda sana na sikutegemea waachane katika muda mfupi kiasi kile halafu walikuwa na chemistry kubwa sana. Inadaiwa chanzo ni yule mtoto wao mkubwa ambaye maelewano yake na Brad yalikuwa madogo sana na Brad kumsemea hovyo mara kwa mara naye kumjibu hovyo Brad. Angelina akawa upande mmoja na yule mtoto ambaye alimuadapt kabla ya kuwa na Brad Pitt. Angeline anamsomesha yule kijana katika moja ya University kule South Korea.

Napenda sana couple yao ilivyokua. Afu the way walivyokua wana adopt watoto
 
Jamaa anajua aisee, walisema atatoa party 2, baada ya mwisho Dracula mwenyewe ku sema. .."let the games begin "
Juzi juzi nilikua naicheki hapa natamani iendelee asee.. ndio maana sipendi kuangalia Muvi za sequel.. toka 2014 wamegoma kuendelea..
 
Mpaka sasa nakupa credit kwakuweka muvi hizi
Salt
Lonesurvivor
Missio impossible
Sherlock holm..
Na muvi ya Liam. Non stop.

Huyu mzee anatuletea muvi nyingine mwezi wa tisa initwa Honest thief
 
Back
Top Bottom