Reasons Why I love CACICO

buji usha anza utapeli wako, hebu muache mtoto wa watu, bado mgeni hapa jamvini, usituharibie
nani mgeni?? Kama nikiolewa hii itakuwa ndoa ya tatu! Huoni ka nshakubuhu???
 
umesha wahi kupendwa?
Ukiona mwenzio anapendwa na wewe jifunze kupenda ili upendwe.
I love u cacico
tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umeamua kusema kwa sauti kabisaaaaaaa! mmmhhhh i think i luv u too, ila ngoja babu asafiri ndio tucheze kibaba, asijepata heart attack bure?
 

That is called, thunderbolt, according to Mario Puzo, if it strikes you you have to go for it, it cannot be supressed. Hongera
 
I luv u Madame B,
ur the queen of my heart,
ur my number one,
i luv the way u walk,u move,the way you talk,
baby gal u drive me crazy, Madame B i luv u,
i gotta roseen wines,
soon or later you will be here on time.
Girrafe hotel is the place we used to go,
with romantic music in the rightdownroad,
as u stand next to ur door,
i wonder why all of these for,
but its just the same thing for me and u Madame B.
I luv u,i luv u
 
Last edited by a moderator:
twapendana haswaaaaaaaaaa!! Tatizo lenu huwa hamuamini mpaka msikie watu wamenatana!!

kwa mamlaka niliyopewa na wanafunzi wangu Kaizer na Asprin kulinda mali zao popote zinapoonekana zinamendewa!
TAFADHALI cacico kanusha hii mineno kabla sijahairisha kipindi nimwambie mwanafunzi wangu akuje kudo ze nidful
 
Last edited by a moderator:
kwa mamlaka niliyopewa na wanafunzi wangu Kaizer na Asprin kulinda mali zao popote zinapoonekana zinamendewa!
TAFADHALI cacico kanusha hii mineno kabla sijahairisha kipindi nimwambie mwanafunzi wangu akuje kudo ze nidful

Yani hapa
Mwalimi najisikia kupasuka! Hapa sielewi somo ujue! cacico shemeji yangu ndo nini ivo huyu Bujibuji kashindikana hapa mtaani?

Wataka hommie Asprin afe kabla ya muda wake, aingie kwa huzuni kaburini?

Hebu wachana na hii makitu ya Bujibuji haraka sana
 
Last edited by a moderator:
yani hebu mwite Asprin fasta atakuwa yupo kulee back bencher kama kawaida yake Aspriniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii njooo bana!:A S 100:
:target::bowl::A S angry::fencing::fencing::fencing::fencing::target::target::target::nimekataa:nimekataa:laser::rofl:
 
Last edited by a moderator:


Duh, mie sijaelewa kitu hapo aisee........
Lugha gongana bana, next time ya siku nyengine tumia lugha ya Baba wa Taifa we Bujibuji.............LOL
 
Last edited by a moderator:
wapi babu Asprin?????? Umezidiwa mpaka unatafuta msaidizi?????????
 
Last edited by a moderator:
tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa umeamua kusema kwa sauti kabisaaaaaaa! mmmhhhh i think i luv u too, ila ngoja babu asafiri ndio tucheze kibaba, asijepata heart attack bure?

aahh we nenda ila hiyo avantar niachie.... manake heart attack inaninyemelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…