Reason Why France, Tanzania, SA are fighting M23...

Reason Why France, Tanzania, SA are fighting M23...

Mtasema yote................ Tanzania our first priority ni peace keeping tokea zile enzi za ukombozi kusini mwa Africa mpaka leo. Mara, DRC, mara Dafur, mara Liberia, Comoro.................. bora tu tukapigane vita hata visivotuhusu. Naona tumeshindwa kujifunza na vita vya ukombozi kusini mwa Africa vilivyotuacha mafukara wa kutupwa........... Jamaa tumewakomboa lakini hata wajawahi kua-acknowledge. Wao wako busy na kujenga uchumi wao. By the way, kwa nini hajawahi kujiuliza "why us??"

Kama ni kweli kuwa wenzetu wako kule kwa maslahi fulani ................ sisi tuko kwa nini?? Peace keeping?? Nafikiri ni muda sasa tuamke na kufanya vitu vyenye maslahi kwetu tu. Hizi peace keeping mision hazitakuja kutusaidia sisi hata siku moja. Sana sana zinanikumbusha ile story ya Shimbo na Billion 3!!
 
Kwa hiyo Kagame ndo ana uchungu na Congo?!it's better if you point a finger to yourself before turning to others!
 
Kagame kwetu inamaana Bulumbundu , yaani mapanzi ambayo ukiyashika yanakunya yenyewe ! Kaingia EAC mikono nyuma, leo kwakushirikiana na mtuhumiwa wa ICC Kenyata , na diktata Museveni wanaisambaratisha Jumuiya hiyo bila huruma
 
No sir, just another fabrications. Hawa wanoandika kutoka Congo ni sawa na akina Murutongore wanaoandika kutoka Kigali to save the master and monster Kagame

Je, Darfur tuna vikosi kwa sababu zipi
Je, Lebanon tuna vikosi kwa sababu zipi
Je, mgogoro wa Madagascar unahutusu kwa interest zipi
Je, Tulipokwenda Liberia kulikuwa na interest gani
Je, tuliposaidia FRELIMO kulikuwa na interest gani
Je, tuliposaidia Angola kulikuwa na interest gani

Hivi watu milioni 3 waliouawa na Kagame na M23 ni Tanzania au UN inayolaani.

Hizi ni kampeni za kumsafisha muuaji Kagame, lakini ajue siku zake sasa zinakaribia.
Congressional team ipo hapo ikirudi Washngton utasikia habari ya CIA. Hollande naye hachezi mbali kama alivyo Cameron.

Kagame is on the hook !

.......Natumia kamchina. .......Ninakugongea "LIKE"
 
Mkuu Chakaza, pengine kuna habari ndani ya habari kama unavosema wewe. Lakini mimi naona habari nyingine muhimu nje ha babari hii. Hebu lione hivi, hata kama ni kwa ajili ya kuboresha mjadala tu:

1. Aliyeituma Tanzania pale DRC ni UN? Si Kabila?

2. UN wanaweza kuwa na Interest zozote za kibiashara za Kabila na mtoto wa Kikwete?

3. Ingawa kwa upande mwingine kama Kabila ana vitega uchumi Tanzania, the same way Bakili Muluzi anavyo hapa, na pengine hata Uhuru Kenyatta naye anavyo hapa. Je huwezi kuona kuwa hii ni dalili nzuri kwamba Tanzania is a good investment destination?

Kwa lugha nyingine kama kweli Kabila ana vitega uchumi hapa kwetu basi hiyo wala si skendo. Tunajua aliyeituma TZ Congo ni UN, siyo Kabila. Hilo la kuifanya deployment kuwa skendo basi ni Skendo ya UN. Au? Manake tupo pale kufanya kazi ya UN. Au?

Hii stori inatafuta kuhamisha mjadala. Badala ya kujadili Mapatano pale Rwanda, tuanze kujadili skendo ambayo haipo
Mkuu siko tofauti na wewe. Nakubaliana kabisa kuwa majeshi yetu yamepelekwa kule na UN na hakukuwa na mahusiano yeyote na wayasemayo hao M23 au yeyote. Ila nimesema kumejitokeza HABARI NDANI YA HABARI. Hii ndio imenivuta shati maana imegusa mijadala yetu mingi ya ndani. Kuwekeza kwa Kabila hapa kwetu sio jambo baya,ubaya unakuja kunapokuwa na usiri hasa unapowagusa watu wa Jumba kuu jeupe. Wale hawatakiwi wawapo pale kujihusisha na dubious transactions tena zile zinazohusisha watu wa nje. Ndio maana nikasema HABARI NDANI YA HABARI ipate ufafanuzi.
 
Mkuu Nguruvi3, ukisikiza propaganda za jamaa hawa unaweza kushikwa na butwaa! Madai yao mengi ni ya kitoto sana - wana kawaida ya kuangalia nani kandika article anazungumza kitu gani kuhusu Uongozi wa Kigali, wakisha tafakali hilo ndio wanamjengea hoja na madai ya kila sampuli, wakiwa na nia ya kumchafua! Watamsema lolote la uzushi tu ili watimize malengo yao. Ni mabingwa sana wa kubuni stori, sasa hivi wanashirikiana na achor (Bi B.Marshalls wa television ya Wachina nchini Kenya (CCTV) katika kuedeleza propaganda zaoya kufagilia M23 na Uongozi wa Rwanda, Uongozi wa Kigali unatumia hela nyingi sana katika media (e.g Wakina Mwendwa) na ma lobbists wengi tu kuihadaa dunia, don't you underrate them - wako well connected and properly trained katika fani hii. Uzuri ni kwamba Dunia imekwisha shitukia mbinu zao hizo, hakuna anaye wachukulia seriously any more.
Wametumia mbinu ya genocide kutafuta huruma wameshindwa.

Sasa wanatafuta namna ya kuichafua Tanzania. Kitu wasichokifahamu, jinsi wanavyoiongelea Tanzania ndivyo wana jiweka katika nafasi mbaya.

Wameongelea kuhusu matusi ya Kagame mwisho wa siku ameonekana mpuuzi tu mbele ya jumuiya ya mataifa.
Vikosi vya UN vinakwenda mahali kukiwa na mandate. Blue helmet haziingia mahali tu kama Kagame anavyodhani.
Uwepo wa UN DRC umejadiliwa na kuonekana umuhimu wake. Ndio maana Wanyarwanda hasa Watusi kama murutongore wanasimama bila aibu haya au chembe ya huruma na kusemaa M23 ni disciplined force wakijua ni tawi la RPF.

WMesahau mauaji ya kimbari yalichukua watu milioni 1 na Kagame ameng'oa roho za Wakongo milioni 3 achilia mbali kubaka watoto wa kike hadi wa miaka 8. Hiyo ndiyo discipline force ya RPF a.k.a M23.

Sasa hivi yupo on spot, ameshindwa kuelewa hata wahindi walishaleta jeshi kupitia blue helmet.
Kwa maiaka zaidi ya 10 Kagame amekuwa muuaji mpole(silent killer) lakini damu za watu ni nzito.
Sasa hivi dunia haina shaka kuwa PK ni muuaji na ni tatizo maziwa makuu.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Mkuu you seem to be an easy prey!!
Too easy to hook.

Unfortunately the have not told you the whole story.
-M23 is a Tutsi tribal outfit, the same tribe as Kagme

-Tutsi Hima empire is their goal,, and in Goma M23 is working on it

-Kagame is the only president stupid enough to insult a fellow sitting president in EA publicly, and yet expect to" talk it over" in EA sittings. This not only stupid but a sign of unchecked arrogance

-they have not told you that Kagame/M23 have also maimed and killed millions in and around Goma, in tandem with looting natural resources

The have also not told you tha presently Kagame is living a nightmare that he designed for himself, arrogance will not permit him to accept guilt and/or liability political or otherwise-hence these equaly stupid stories!

Mkuu stay put for more stories.

We are listening chief. Tell us more of those stories..... how long does the constitution allow Kagame to stay in power? Is he president for life? When does he legally go? Do they have a constitution anyway?.....
 
1 hour ago Politics & GovernmentDemocratic Republic of the CongoGoma
2013-08-28T124853Z_1_AJOE97R0ZLK00_RTROPTP_2_OZATP-CONGO-DEMOCRATIC-STRIKES-20130828.JPG
.View gallery

Congolese M23 rebels stand on a street in Rushuru, Democratic Republic of Congo August 3, 2013. REUTERS/James …



GOMA, Democratic Republic of Congo (Reuters) - U nited Nations helicopters and artillery supported the Congolese army in an attack on M23 rebel positions near the city of Goma in eastern Democratic Republic of Congo on Wednesday, an army spokesman said.
The M23 rebels also said in a statement that the Congolese army and the U.N. intervention brigade attacked its forces in Kanyaruchinya and Mutaho, to the north of Goma, with infantry, air strikes and heavy weapons.
The Congolese army has been battling the M23 rebels for nearly a week with the support of the 3,000-strong U.N. brigade, which has a special mandate to neutralise armed groups in the mineral-rich nation.
 
Military propaganda sasa zimechanganywa kiasi kwamba jumuiya mpya ya Afrika Mashariki iko mbioni kuuwawa kikatili.

Hakika dikteta haachi asili
 
Sishangai, hiv kweli hatujiuliZI!! NI m23 tu huko congo, vip hao ADF, FDLR, alafu hawa SA na France ndo wanyonyaji kabsa kabsa wa Africa na hasa huko Congo, ukiongeza na utajiri wa kijana wetu ambao hauelezeki vyanzo vyake.. kwanin Rwanda alaumiwe mwenyewe wakati hata Kabila kaua sana raia wake, tuache unafki haka ka habari kana ukweli kabsa..

Ni kweli na Kagame alikuwa ana husika na alikiri na alianza kurudisha rasimali hizo za congo kuanzia mwaka jana, ninavyojua hakuna mtu mbaya kama mtu mweupe na soko la diamond linatawaliwa na SA ambaye anamaslahi naye congo, UN nayo ni shimo la wanyonyaji na france analitumia vyema kujineemisha. Waisha M23 then watakuja wenyingine ngoja tuone, kwani ni mara ya kwanza!!
 
France, Tanzania na SA hawajaenda Rwanda na wala hawachukui hata maji ya kunywa toka Rwanda. Wapo ndani ya ardhi ya DRC, na na serikali ya Kabila inaridhika na uwepo wa vikosi vya askari wa hizo nchi chini ya UN.

Ni kwanini serikali ya Rwanda inalalamikia uamuzi huu wa kuinusuru DRC, na hasa Kivu? Kwa nini pilipili iliyo DRC inamwasha Kagame? eh, bwana Kagame kelele za nini?

Mkuu,

Rwanda ina waasi the DRC (FDLR), zaidi wakiwa upande wa South na North Kivu. Kwa hali yakawaida Rwanda has a sense that the FDLR will be boosted.
 
Inawezekana though inaleta maswali mengi zaidi kuliko majibu
 
No sir, just another fabrications. Hawa wanoandika kutoka Congo ni sawa na akina Murutongore wanaoandika kutoka Kigali to save the master and monster Kagame

Je, Darfur tuna vikosi kwa sababu zipi
Je, Lebanon tuna vikosi kwa sababu zipi
Je, mgogoro wa Madagascar unahutusu kwa interest zipi
Je, Tulipokwenda Liberia kulikuwa na interest gani
Je, tuliposaidia FRELIMO kulikuwa na interest gani
Je, tuliposaidia Angola kulikuwa na interest gani

Hivi watu milioni 3 waliouawa na Kagame na M23 ni Tanzania au UN inayolaani.

Hizi ni kampeni za kumsafisha muuaji Kagame, lakini ajue siku zake sasa zinakaribia.
Congressional team ipo hapo ikirudi Washngton utasikia habari ya CIA. Hollande naye hachezi mbali kama alivyo Cameron.

Kagame is on the hook !

Ahsante ndugu.
Sometimes ni vizuri kuwaelemisha wajinga kama ulivyofanya.
Pokea LIKE ya kishindo ndugu natumia simu toka TAIPEI
 
Sishangai, hiv kweli hatujiuliZI!! NI m23 tu huko congo, vip hao ADF, FDLR, alafu hawa SA na France ndo wanyonyaji kabsa kabsa wa Africa na hasa huko Congo, ukiongeza na utajiri wa kijana wetu ambao hauelezeki vyanzo vyake.. kwanin Rwanda alaumiwe mwenyewe wakati hata Kabila kaua sana raia wake, tuache unafki haka ka habari kana ukweli kabsa..Ni kweli na Kagame alikuwa ana husika na alikiri na alianza kurudisha rasimali hizo za congo kuanzia mwaka jana, ninavyojua hakuna mtu mbaya kama mtu mweupe na soko la diamond linatawaliwa na SA ambaye anamaslahi naye congo, UN nayo ni shimo la wanyonyaji na france analitumia vyema kujineemisha. Waisha M23 then watakuja wenyingine ngoja tuone, kwani ni mara ya kwanza!!
Mkuu tuwe wakweli hapa, ni lini vurugu za kuchonga zilianzishwa nchini DRC? Lini uliwahi kusikia the late Habyalimana kavamia Uganda kusaka kundi la PK ambao walikuwa predominantly TUTSI rebels, ni lini uliwahi kusikia Wanyamlege wakilalamikia Dunia kwamba Mubutu anawatenga kwa kuwa wana damu ya Kitutsi? Matatizo yaliyo kithili nchini DRC chanzo chake na Administration ya Kigali wao ndio wanachonga multiple factions in DRC wakiwa na malengo makuu mawili: lengo la kwanza ni kutaka DRC specifically KIVU hisitawalike hivyo kujenga hoja kwamba DRC is too big a country kwa nini isigawane into nchini mbili kama walivyo igawa Sudan hivyo kuifanya KIVU hiwe huru eventually hiungane na Rwanda: Lengo la pili ni kuendelea kuiba rasilimali ya DRC, penye vurugu ni rahisi kuiba. Tusihanze kuwalahumu wazungu, wenye matatizo ni sisi Waswahili na akili zetu mbovu ndio maana wazungu wanatutumia ku-plunder bara letu. Kwani hujui nani alikuwa anampa nyenzo PK kufanya apendavyo bila ya kuogopa International Community - Tony Blair na William Clinton ni janga la Dunia yaani mtu ukiangalia sura zao ukalinganisha na majanga ambayo wamewahi kuitumbukiza nchi za Kiarabu na Congo si rahisi kuamini - jamaa hawa ni wauaji na wapenda utajiri kupindukia, jamaa hao ndio walihusika sana kumu-mold PK - sasa hivi wanahaha in a vain effort za kutaka kumtakaza PK wanafikili dunia haijui ubaya wao.
 
Kupoteza maisha ya mtu mnyonge(Kongo) "kwa mtutu" ili uishi maisha ya kifahari (Rwanda) ni makosa na unyama usiovumilika na jumuiya ya kimataifa.....hivyi basi ili kukomesha hili ni bora serikali ya Rwanda ipigwe tena haraka ikiwezekana
Na ilikuwa kosa kubwa sana kuikaribisha serikali ya Kagame EAC kwani ni mshenzi sana....anastahili kupigwa
 
No sir, just another fabrications. Hawa wanoandika kutoka Congo ni sawa na akina Murutongore wanaoandika kutoka Kigali to save the master and monster Kagame

Kagame is on the hook !


Naam ni ndoani ya kuvulia Papa,
Haivunjiki wala kamba haikatiki.
Tutmvua tu.​

Nadhani hajui Bongoland;
Ni chuo kikuu cha kijeshi (Army Universty) cha Afrika?
M7 Kaanzia wapi/
​
Kabila Sr na hata Jr kotokea wapi;
Garang alianzia wapi?​

Ni nani aliyelianzisha na Bongoland;
Akabaki salama.

Bazazi
 
Back
Top Bottom